bado upo meta? nina liten hapa
[emoji23]haya banaNikupe namba uone km sina njaa? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]haya bana
sogea hapa hotel desderia chap😂Ss hivi nipo uhindini ongeza ten iwe twenty umbali ushaongezeka [emoji23][emoji23][emoji23]
sogea hapa hotel desderia chap[emoji23]
Naona kuna vitu unapiga sa hii[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona unakwepa sasa?!! Nikupe namba uweke mzigo kesho niwahi Dar? [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kuna vitu unapiga sa hii[emoji23][emoji23][emoji23]
Tutoke huku kidogo aisee, twende pembeni
Mmh tutoke huku, utarudi baadae[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna kitu nilitaka nikuchekeshe leo afu nikapotezea
Niko kwenye novena wala sipigi chochote
Mmh tutoke huku, utarudi baadae
[emoji23][emoji23][emoji23] tutoke bana, kweli nna issueNije na namba ya kutuma nauli mchumba? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] tutoke bana, kweli nna issue
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila jua siku akikuweka kwenye 18 zake atacheza na line zote 2Mchaga mmoja alituma nauli net Hakuna hata ya kula njiani…. Nikaona hii ni maajabu kabisaaaa
Hela nilikulaa na sikutokeaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]duhEnzi hizo sijafocus kwenye puli kuna Ile Afu salasini na nane na miatano niliyoituma akaila na kuzima simu, inaniumaga mpaka leo. Lakini,Aisee lile Tako lilinichanganya akili [emoji1787][emoji1787]. Halafu nilivyokuwa jingajinga mwenye UPWIRU nikaja nikatuma afustini nyingine na yenyewe akaila [emoji1787][emoji1787]
Sasa hivi ni single mother, ana watoto wawili na kila mtoto ana baba yake. Halafu kanenepa kama simtank [emoji1787][emoji1787]. Akinionaga analia sana, mpaka anapiga magoti yaani ananitia aibu sana mbele za watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh ishawahi nitokea hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ankal muongo hakuna cha kurogwa wala nini anatutisha tyuuuu!!!
Kuna mmoja nilimlia nauli alijilalamisha mpk nikamtumia nusu ya muamala wake, tugawane hasara [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh ishawahi nitokea hiyo
Acheni ubahili tutumieni nauli hizo hahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
Duh so vizuriAlikula nauli ya kuja Moro toka dar nikamoasia namba mshkaj mwanza akachekecha dem kaingia kingi kaenda mwanza jamaa kakaanae siku 4 hoteli badae akamtelekeza na hotel hakulipa, akawa hapokei simu za dem nikamlima text huyo ni mimi