Kwa hiyo hao wapiga kura wanataka hizo pesa tu hawataki maendeleo mengine? Sawa nimekuelewa ndugu...kero zote zitaisha awamu inayofata.Brother narudia tena, sizungumzii ukubwa au udogo wa mlichokifanya, nazungumzia 50m ambayo mliahidi na hamkuitoa! Anything nje na 50m ni utapeli! Mlilaghai wapiga kura, walipiga kura kwasababu ya ahadi ya 50m sio ya hayo mambo mengine
Jibu jepesi ni kwamba kashindwa kubuni njia za kuajiri wasomi,Jk aliwezaje?
Hiyo kazi imefanyika kiustadi kwenye maeneo mengi tu ila si yote, na viongozi wetu wameliona hilo na utekelezaji wake unaandaliwa...
Karibu ccm ndugu.
Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Pathetic!Wasomi ni wengi kwa hiyo wapo watakaopata nafasi ya kuajiriwa na wengine watakosa nafasi hiyo...
Hapana, don't get me wrong! Ninachoamini ni kwamba, hadi kufikia kuahidi publicly ni kwamba kuna taarifa zimeshafanywa na kukusanywa! Sasa kuja kubadili bila taarifa kwa kisingizio cha maendeleo ni uhuni na uzandiki! I stand to be correctedKwa hiyo hao wapiga kura wanataka hizo pesa tu hawataki maendeleo mengine? Sawa nimekuelewa ndugu...kero zote zitaisha awamu inayofata.
Ajira zinatolewa ila sio rahisi kwa vijana wote kupata ajira, hakuna kabisa nchi inayoweza kufanya hivo...sisi tunajitahidi kwa kadri ya uwezo wetu ili angalau % kubwa ya vijana wapate ajiraNaondoka zangu naona umeshindwa kunipatia ufumbuzi wa maslahi ya wafanyakazi na kutoa ajira kwa vijana.
Sasa wewe unaharibu mjadala! Video clips zipo kuanzia za Ma-DC hadi Mwenyekiti wako na most recent akiwa kwenye jumbo la Mheshimiwa Bwege aliongea pia ina akiwa Morogoro aliongea hadi akaambiwa kuwa ni jimbo linaloongozwa na CCM. Brother usitufanye wote vilazaHakuna maeneo yanayobaguliwa ndugu, maendeleo hayana chama
Asante kwa swali zuri, ni kwamba hakuna adui yeyote kati ya hao ambaye anaweza kutokomezwa kabisa ila tunachokifanya ni kumpunguza makali adui yetu.Baba wa Taifa alituambia tuna maadui watatu.
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi.
Vipi toka tupate uhuru 1961 adui yupi kati ya huyo mmeshammaliza.?
Maccm wengi Ni waongo na wanafiki sana.Napokuuliza hunipi jibu ninapoteza tu mda wangu,naondoka.Hakuna maeneo yanayobaguliwa ndugu, maendeleo hayana chama