1) Ile 1.5 trillion ambayo haikujulikana matumizi yake kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG, mnatumbiaje leo?Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
CCM maana yake nini?Habari zenu watanzania!
Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais...
Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm aendelee kulinyoosha taifa.
Hizo kauli hazimaanishi kwamba maendeleo hayatafika maeneo yenye wapinzani, kwa mfano mpinzani anaweza kusema, "Ccm tangu uhuru hadi sasa haijafanya maendeleo yoyote" we unaona ni kweli kauli hiyo? Kwa hiyo kuna muda ambapo viongozi wa ccm au vyama vingine huwa wanaongea maneno ya kuwavuta watu waende kwenye vyama vyao ila sio kila kinachosemwa ndo kilivyo.Sasa wewe unaharibu mjadala! Video clips zipo kuanzia za Ma-DC hadi Mwenyekiti wako na most recent akiwa kwenye jumbo la Mheshimiwa Bwege aliongea pia ina akiwa Morogoro aliongea hadi akaambiwa kuwa ni jimbo linaloongozwa na CCM. Brother usitufanye wote vilaza
Takwimu hiyo umeipata wapi ndugu?
Karibu sana ccm chama tawala.
Nashauri usiwe mpiga debe wa mgombea yeyote.Kuna maendeleo makubwa yamefanywa zaidi ya hizo laptop na million50 kwa kila kijiji...
Karibu ccm ndugu chama tulivu.
Naomba nikushauri jambo, huu mjadala huuwezi na ni ngumu sana kuwatetea CCM! MÀra unakana Mara unakubali....jitahidi kuachana na kuitetea CCM utapasuka kichwa! Evidence zote zipo huko, nenda hata hapo Kibamba tu kaangalie, kisa? Walimchagua Mpinzani! Sasa wewe leo unajifanya kukataa!! Unatia hasira sana!Hizo kauli hazimaanishi kwamba maendeleo hayatafika maeneo yenye wapinzani, kwa mfano mpinzani anaweza kusema, "Ccm tangu uhuru hadi sasa haijafanya maendeleo yoyote" we unaona ni kweli kauli hiyo? Kwa hiyo kuna muda ambapo viongozi wa ccm au vyama vingine huwa wanaongea maneno ya kuwavuta watu waende kwenye vyama vyao ila sio kila kinachosemwa ndo kilivyo.
Hoja nzuri ni kwamba unaposema wapiga kura wa ccm ni watu wasio na elimu unapaswa kuweka wazi vile umelitambua jambo hilo vinginevyo ni kwamba unaleta ubishi tu...ccm ina watu wa kila ainaSasa ulitegemea takwimu kama hizo nitazipata NBS kweli?.. Jibu swali, uliulize swali. Kwanini wapiga kura wengi wa CCM ni watu wasiokuwa na elimu na uwezo mkubwa wa kupambanua hali halisi ya uchumi wa watu na wa nchi??
Usipate hasira ndugu, twende kidogokidogo tu tutaelewana...mambo mazuri yanahitaji mpangilioNaomba nikushauri jambo, huu mjadala huuwezi na ni ngumu sana kuwatetea CCM! MÀra unakana Mara unakubali....jitahidi kuachana na kuitetea CCM utapasuka kichwa! Evidence zote zipo huko, nenda hata hapo Kibamba tu kaangalie, kisa? Walimchagua Mpinzani! Sasa wewe leo unajifanya kukataa!! Unatia hasira sana!
Hahahahaha maisha yangu yote ya hapa sijawahi kupata hasira tena kwa mjadala mwepesi kama huu??Usipate hasira ndugu, twende kidogokidogo tu tutaelewana...mambo mazuri yanahitaji mpangilio
Lete data mkuu usiongee kama mwanasiasa.Ajira zinatolewa ila sio rahisi kwa vijana wote kupata ajira, hakuna kabisa nchi inayoweza kufanya hivo...sisi tunajitahidi kwa kadri ya uwezo wetu ili angalau % kubwa ya vijana wapate ajira
Ahadi ilikua ni ya kipindi cha kuanzia 2015 hadi 2020, na mna uhakika gani mtarejea madarakani ?Ahadi hiyo itatekelezwa awamu hii inayokuja, tumetangulia kwanza kufanya mambo makubwa.
Asante.
Hizi story mlidanganya nazo 2015 watumishi wakawapa kura alafu mmewatelekeza kwa miaka 6 alafu tena mnakuja na ahadi ile-ile mliyodanganya.Sio kila jambo litakamilika kwa wakati mmoja, tunaenda kidogokidogo chagua ccm tena ili yale ambayo hayatekelezwa awamu ya 2015-20 yatekelezwe 2020-25
Karibu ccm
Na ana miaka mingapi ?Msemaji wa Chama Ameoa??
Ccm =chama cha makumbafu!Makumbafu ndo manini mzee?
Haa chagua CCM ili uchumi wa mtu mmoja mmoja uendelee kudidimiaSio kila jambo litakamilika kwa wakati mmoja, tunaenda kidogokidogo chagua ccm tena ili yale ambayo hayatekelezwa awamu ya 2015-20 yatekelezwe 2020-25
Karibu ccm