Let's chat

Kuwa single sio shida
Kwanini furaha yako itokee kwenye mahusiano? Kwamba yasipokuwepo unabaki na mood mbovu 24/7!!?

Hapa nilipo natafuta namna ya kumuacha mtu nakosa πŸ˜‚πŸ˜‚

Heee! πŸ˜‚
Furaha yangu haipo kwenye mahusiano kwa asilimia zote,lakini kiasi chake nikijua kuna mtu tunafanya hivi na vile ni amazing
 
sasa si ungedelete na sms za miamala?

Joanah jitahidi unywe maji mengi na ule vizuri inasaidia sana mda mwingine huwa ni njaa tu. Ila kupenda usipopendwa/jaliwa ni mbaya sana isikie tu kwa jirani.
Hapana. Sms za miamala uwa sifuti kabisa.
zipotee zenyewe bahati mbaya kama nilibadili simu pasipo kufanya data transfer.

Kama hujawahi kutwa na tukio endelea kufuta πŸ™Œ

Mimi Faza house hata anapokaa sijui.
Nachojua tar zikikaribia natuma tu hela.
Weee kuna sku ananiambia hajaona pesa. Na zishapita siku kibao tokea nimetuma.
Nikarudi ktk sms zangu nikasolve chap.
 
nilikuwa kwenye mahusiano ya hivyo...sijui aliniroga yule jamaaa yaani ilikuwa nashindwa kutoka for four years ups and down za kutosha, anakupiga tukio moja ananipooza na treats kadhaa nazubaa tu siondoki leo atanipa hiki kesho kile, tutaenda huku mara kule mradi tu anipooze.......hili la mwisho nikasema ya nini mieeeeeee nilisema basi na ikawa basiiiii sikuwahi kurudi nyuma ni ngumu sana ila nimejikuta nmeshazoea...anateseka yeye kwa sasa
 
wewe unapenda sana kipindi
 
Hiyo ngoma ya blu Cantrell umenikumbisha mbali, wazungu wanasema long time ago.

Unaingia night shift, unafanya kazi ya ulinzi wapi mzee mwenzangu nije nikuunge mkono, nami ni mlinzi wa k4s security, tukeshe wote 🀣
 
kutesa kwa zamu inaumaga hiyo, sahivi anakulilia baada ya kuona umebadilika sio mnyonge tena
 
4yrs? Hongera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Siwezi vumilia matukio ndani ya miezi 6… mpaka kuna muda najiuliza nitaweza kweli mambo ya for better for worse, until death do us apart πŸ™Œ
 
Sijasema hayako good πŸ˜…

Hamkorofishani nyie?
Hata the way una type inaonesha uko na ka "love ujeuri" kwa babe alaf huombi msamahaπŸ˜…
Yako good sasa pole ya nini

JF ukiandika kitu kuhusu jambo fulani lazima uweke kwenye hilo jambo,ukitetea single mamas na wewe unawekwa kwenye usinge mamas,ukitetea wachagga na wewe unakuwa mchagga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
4yrs? Hongera πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Siwezi vumilia matukio ndani ya miezi 6… mpaka kuna muda najiuliza nitaweza kweli mambo ya for better for worse, until death do us apart πŸ™Œ
ndyo maana nasema huyu mpare aliniloga sio bure.... na tulikuwa mbali mbali na sikuwahi mcheat kabisa mavideo call anapiga kila saa khakikisha nipo kazini kweli au nyumbani....aliniweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…