Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,932
Reaction score
34,918
Hey Hey JF,

Maisha ya binadamu kwa kawaida yamejaa majaribio kwa maana ya 'Trial & Error'. Leo unaanzisha kitu, ukidhani kita work out lakini kinaishia pabaya kuliko hata ulivyodhani.

Hili limekuwepo sana kwenye kila tufanyacho yakiwemo pia mambo ya mahusiano. Watu wanakutana leo, wanaanza mahusiano then baada ya muda unasikia wameachana.

Hapo kwenye kuachana sasa ndio panageuka Drama kila mmoja akimtupia mwenzake lawama kuwa ndiye mkosaji na hafai.

Sasa let's share kwa mujibu wa Ex wako unadhani wewe una tatizo gani hasa ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu ngoja nifikirie[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Aliona eti nampenda sana mpaka inampa kero na kiburi, from there ndiyo nikajifunza kubalance shobo, sahii namringia mpaka bae halafu nashangaa ndiyo napendwa zaidi!!
Ana bahati kama hakukupoteza
 
Back
Top Bottom