Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ondoa stress just be fun Don Clericuzio wengine sisi ni wajinga flani tu tunapumzikia humu baada ya misoto ya hapa na pale kama utatake serious itakuumiza mkuu
Vizuri, binafsi nilimwelewa anachokitafuta na style aliyotaka kuja nayo.

Kuna jinsi anavyodhani wewe ni mgumu, kwa hiyo anatafuta attention yako kigumu.

Very unfortunately anajikuta ana cross line.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana aisee kwa kusumbuliwa na mahusiano yenu mm na mama chanja wangu we good na watoto wetu.

CC HAPPY FAMILY.

121.
 
Vizuri, binafsi nilimwelewa anachokitafuta na style aliyotaka kuja nayo.

Kuna jinsi anavyodhani wewe ni mgumu, kwa hiyo anatafuta attention yako kigumu.

Very unfortunately anajikuta ana cross line.

Ni heri akajiunge na wenzake tusije kufika pabaya
 
Back
Top Bottom