Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Hata sijui, maana aliondoka bila hata kuaga nami nikajiongeza tu, kuwa hii meli ishatia nanga.
 
Ndani ya mahusiano alisema nina mfuatilia Sana (over protective) eti na yeye ana maisha yake mengine so nimpe nafasi afurahie. Inshort alikuwa mtu wa mitoko sana, party kila siku, rafiki zake wanapenda bata kichizi Monday to monday... Nilimwambia nataka nijue kila anapoenda na happy ndio akasema namuingilia sana. Akaanza kunipotezea mdogo mdogo hata siku tatu hatujatafutana yaani hata text tu hakuna nikaona isiwe tabu nikavuta mali mpya classic kuliko ya awali kuja kushtuka yeye ndio akawa mchepuko.... Akawa Hana uhuru wa kunitafuta, alijutia sana baadae akapata mchizi ndio akaanza kuniletea story kwamba huyo mchizi huwa anampa vitasa yaani anadundwa Everytime... Anajutia Hadi leo...

Kwa huyu wa Sasa sipo protective Sana najaribu kurekebisha madhaifu ya awali Kama kweli ni madhaifu.
 
Back
Top Bottom