Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Aliona eti nampenda sana mpaka inampa kero na kiburi, from there ndiyo nikajifunza kubalance shobo, sahii namringia mpaka bae halafu nashangaa ndiyo napendwa zaidi!!
Ndiyo inavyokuwaga..
That Moment unampenda analeta mashauzi.. Ile ukiacha na yeye sasa.. Wivu na ugomvi usioisha..Pyuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey Hey JF,

Maisha ya binadamu kwa kawaida yamejaa majaribio kwa maana ya 'Trial & Error' !!

Leo unaanzisha kitu, ukidhani kita work out lakini kinaishia pabaya kuliko hata ulivyodhani.

Hili limekuwepo sana kwenye kila tufanyacho yakiwemo pia mambo ya mahusiano.

Watu wanakutana leo, wanaanza mahusiano then baada ya muda unasikia wameachana.

Hapo kwenye kuachana sasa ndio panageuka Drama kila mmoja akimtupia mwenzake lawama kuwa ndiye mkosaji na hafai.!!

Sasa let's share kwa mujibu wa Ex wako unadhani wewe una tatizo gani hasa ?
. Ie ex wangu aliniambia mzabzab wee hujui kutambua a gud woman...
 
Ndiyo inavyokuwaga..
That Moment unampenda analeta mashauzi.. Ile ukiacha na yeye sasa.. Wivu na ugomvi usioisha..Pyuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo yake imebaki story, amebaki analia lia haamini kweli kaachwa na wakati alisema kwa jinsi ninavyompenda siwezi kumuacha..!!😅😅

Guys, ukiwa na mtu mfanye kabisa ajue unampenda lakini make sure afahamu vizuri kabisa kwamba, unaweza ishi bila yeye.!!
 
Unajua nimeshangaa sana mleta mada alivyotaja hilo kabila manake ni kweli ex alikuwa mngoni 😂😂

Wangoni wanaume wanapenda sana ngono,ila nilimpenda sana aseee
Nimeskia hivyo sana pia though sijawahi kuishi nao so siwafahamu kiundani..!
Hivyo ni wanaume tu? Ama mpaka wanawake? Kama ni mpaka wanawake basii Mimi siye miongoni mwa wangoni walaqhi'..!
 
Kabisa.. Nikiwa na mtu nampa Upendo wangu wote..Ila Upendo ukiondoka tu.. nakuwa sina cha kupoteza tena.
Huyo yake imebaki story, amebaki analia lia haamini kweli kaachwa na wakati alisema kwa jinsi ninavyompenda siwezi kumuacha..!![emoji28][emoji28]

Guys, ukiwa na mtu mfanye kabisa ajue unampenda lakini make sure afahamu vizuri kabisa kwamba, unaweza ishi bila yeye.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeskia hivyo sana pia though sijawahi kuishi nao so siwafahamu kiundani..!
Hivyo ni wanaume tu? Ama mpaka wanawake? Kama ni mpaka wanawake basii Mimi siye miongoni mwao walaqhi'..!
Hata mie nilikuwa nasikia na nikaja kujionea kwa mahusiano yangu na yule mtu 😁
Kwa wanawake sina uhakika manake sijawahi kuwa na urafiki wa karibu na mdada wa kingoni
 
Back
Top Bottom