Let's Share : Unadhani Tatizo lako kwenye mahusiano ni nini kwa mujibu wa 'Ex' Wako?

Aliona eti nampenda sana mpaka inampa kero na kiburi, from there ndiyo nikajifunza kubalance shobo, sahii namringia mpaka bae halafu nashangaa ndiyo napendwa zaidi!!
Ndiyo inavyokuwaga..
That Moment unampenda analeta mashauzi.. Ile ukiacha na yeye sasa.. Wivu na ugomvi usioisha..Pyuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Ie ex wangu aliniambia mzabzab wee hujui kutambua a gud woman...
 
Ndiyo inavyokuwaga..
That Moment unampenda analeta mashauzi.. Ile ukiacha na yeye sasa.. Wivu na ugomvi usioisha..Pyuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo yake imebaki story, amebaki analia lia haamini kweli kaachwa na wakati alisema kwa jinsi ninavyompenda siwezi kumuacha..!!πŸ˜…πŸ˜…

Guys, ukiwa na mtu mfanye kabisa ajue unampenda lakini make sure afahamu vizuri kabisa kwamba, unaweza ishi bila yeye.!!
 
Unajua nimeshangaa sana mleta mada alivyotaja hilo kabila manake ni kweli ex alikuwa mngoni πŸ˜‚πŸ˜‚

Wangoni wanaume wanapenda sana ngono,ila nilimpenda sana aseee
Nimeskia hivyo sana pia though sijawahi kuishi nao so siwafahamu kiundani..!
Hivyo ni wanaume tu? Ama mpaka wanawake? Kama ni mpaka wanawake basii Mimi siye miongoni mwa wangoni walaqhi'..!
 
Kabisa.. Nikiwa na mtu nampa Upendo wangu wote..Ila Upendo ukiondoka tu.. nakuwa sina cha kupoteza tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeskia hivyo sana pia though sijawahi kuishi nao so siwafahamu kiundani..!
Hivyo ni wanaume tu? Ama mpaka wanawake? Kama ni mpaka wanawake basii Mimi siye miongoni mwao walaqhi'..!
Hata mie nilikuwa nasikia na nikaja kujionea kwa mahusiano yangu na yule mtu 😁
Kwa wanawake sina uhakika manake sijawahi kuwa na urafiki wa karibu na mdada wa kingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…