Kuwa mkweli,haiingii akilini ununue TV then fasta unaibadilisha,maana ulikuwa na ndoto muda mrefu wa kununua LG 43" iweje ghafla ubadili maamuzi? Kama sio nzuri si vizuri kumpa msala mwenzako.
Mie nnayo LG smart inch 55 na nilinunua kariakoo na niko nayo mwaka wa pili sasa na ni kitu Original mkuu, kariakoo sio kila kitu ni fake bra.
ΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏ????????ΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏ???????ΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏΒΏ???????Acha kulinganisha hiyo takataka na LG aisee[emoji706]
Kuwa mkweli,haiingii akilini ununue TV then fasta unaibadilisha,maana ulikuwa na ndoto muda mrefu wa kununua LG 43" iweje ghafla ubadili maamuzi? Kama sio nzuri si vizuri kumpa msala mwenzako.
Kabisa anataka kuingiza mtu "KING".Kachanganyikiwa huyu, itakuwa wana wamemsanua kuwa amepigwa.[emoji23]
Haiwezekani LG anayoiita orijino ina warrant ya 12 months![emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliweka ofa ya 500k, sitaki tena ngastuka... machale gundesa.
Hiyo 1 year warranty na service centre unayovimbia si imeshaekspaya?
HahahahahahahLG 43β unalipaje 1.3M, kweli nchi hii ni tajiri!
HahahahahahahLG 43β unalipaje 1.3M, kweli nchi hii ni tajiri!
ππππ We kiumbe umenifanya nicheke chizi Sana.Aliekwambia ukanunue mliman city Nani?
Fake inategemea na wewe mwenyewe umeingiaje. Ukitaka kitonga lazma upewe famba kulingana na pesa yako. Black nigga gotta eat!Mie nnayo LG smart inch 55 na nilinunua kariakoo na niko nayo mwaka wa pili sasa na ni kitu Original mkuu, kariakoo sio kila kitu ni fake bra.
Mambo ya kujimwambafyππππ We kiumbe umenifanya nicheke chizi Sana.
ππππππMambo ya kujimwambafy
Hivi kuna TV fake hasa za brands[emoji23][emoji23][emoji23]TV LG fake?
We jamaa
Wee mbishi sana na hutoweza kuuza hiyo TV as teyari nishagundua hujui kuuza kitu....Jidanganye tu kuwa M.City ndio wanauza genune products only.Nenda kariakoo utapata Star times tv Nzuri tu boss
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] We Jamaa, Kuwa Na Huruma BasiNiliweka ofa ya 500k, sitaki tena ngastuka... machale gundesa.
Hiyo 1 year warranty na service centre unayovimbia si imeshaekspaya?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Si MchezoItakuwa aliongozana na demu wake!
Sielewi brand product inakuwaje fake au wanawambwa ambazo ni unboxed? Sielewi kabisa aiseee...sema kuna products za kichuro ambazo hazidumu ila si tv fake aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Fake inategemea na wewe mwenyewe umeingiaje. Ukitaka kitonga lazma upewe famba kulingana na pesa yako. Black nigga gotta eat!