Sielewi brand product inakuwaje fake au wanawambwa ambazo ni unboxed? Sielewi kabisa aiseee...sema kuna products za kichuro ambazo hazidumu ila si tv fake aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muda mleta bango anatamani watu wasiendelee na comments hasa hizi za kumpa makavu live!
Lakini kuna muda pia huwa anajilaumu kwa nini nimeingia town kichwa kichwa!
Mwisho anajilaumu na kutokwa na yale mafua chirizi ya kwa nini yule.......kaniponza hivi.
Hayo yote ni majuto ya kweli kabisa
Mwisho wa yote, kututangazia jina Mlimani City sio kigezo cha kuuficha uzuzu wako zaidi ya kuendelea kuwa mtupu zaidi kwa watu.
Pole sana mkuu.
Maisha si kukariri
Narudia wee mbishi...kale chips samak samaki ulipe alfu kumi kisha uje hapa useme[emoji3] Sema Kweli
Sasa siukauzie huko wa Mlimani city! Wakati hapo kariakoo naipata 800kRuksa nenda kanunue karaoke boss, Kila mtu ana test yake.
Ila huwezi Kupata original LG smart tv 43 kwa chini ya 1.200.000.
Hii hapa chini ni bei ya Jana Mlimani city 19/11View attachment 1630697
Narudia wee mbishi...kale chips samak samaki ulipe alfu kumi kisha uje hapa useme
Aisee unakuwa hujui unachonunua ama elimu ndogo ya kuidentify phony products?Brother kuna tv fake kibao kariakoo tena brand kubwa kabisa.
Sasa siukauzie huko wa Mlimani city! Wakati hapo kariakoo naipata 800k
Mkuu kwa Mo ukichkua kimoja bei ni ghali, kwa kuwa yy ni Supplier hivyo ili upate bei nzuri lazima uchkue mzigo mwingi.Kariakoo unapata hata ukitaka size 50 kwa 800k unapata.’
Ila ni made in kariakoo by star times!
Huwezi kupata LG original popote chini ya 1.200.000 model km ya kwangu
Mkuu kwa Mo ukichkua kimoja bei ni ghali, kwa kuwa yy ni Supplier hivyo ili upate bei nzuri lazima uchkue mzigo mwingi. Ila ukweli ni kuwa tumenunua vitu vingi vzuri kkoo kabla hata ya hiyo Mlimani. Hata huko waweza pata vitu visivyo na ubora, kwa hiyo elewa kuwa kkoo kuna maduka ynayouza vitu quality pia.
Pamoja sana, hizi home appliances inatakiwa kuwa makini sana ila bei nayo huongezeka kulingana na mahali unapochukulia. Wikend njemaMkuu MO ana duka la rejareja pale mtaa wa Nkurumah, na ndie supplier wa LG nchi nzima, Sio Kweli kuwa ukinunua moja utauziwa kwa bei ya juu.
Kariakoo pia sio maduka yote wanauza fake, baadhi ya maduka ni genuine kabisa
Pamoja sana, hizi home appliances inatakiwa kuwa makini sana ila bei nayo huongezeka kulingana na mahali unapochukulia. Wikend njema
Mkuu mtumba Wa Samsung 32' ninaweza kupata kwa bei gani huko Zanzibar?Umepigwa.
Tv hio hio nakuletea kutoka Zanzibar kwa laki 6
We n mshamba Sana ndugu yangu Kwanza nikwambie hyo tv unayoita LG original hakuna original hyo n designed for African market ambapo ukienda China Kuna mtu kapewa leseni ya kutoa kitu grade 1,2 mpaka 3 hvyo hvyo hata kwenye vifaa vidogo vidogo ukitaka ufurahie maisha nunua kitu quality kwabei ndogo.Before buying home appliances it’s better you do window shopping to compare price and after service.
Ukijiridhisha ndipo unaweza kununua.
I did enough research kabla sijanunua tv yangu!
Mimi ninayoa nchi 55 lakini ya chogo karibu bei maeleaanno tuKuwa mkweli,haiingii akilini ununue TV then fasta unaibadilisha,maana ulikuwa na ndoto muda mrefu wa kununua LG 43" iweje ghafla ubadili maamuzi? Kama sio nzuri si vizuri kumpa msala mwenzako.
Kweli tv hazina thamani kwa sasa miaka ya 90 ilikuwa tv ni chombo cha thamani sana ukinujua kwa sasa hali imekuwa tofauti kabisaKuwa mkweli,haiingii akilini ununue TV then fasta unaibadilisha,maana ulikuwa na ndoto muda mrefu wa kununua LG 43" iweje ghafla ubadili maamuzi? Kama sio nzuri si vizuri kumpa msala mwenzako.
Aliyekuambia hiyo ni OG ni nani?Kariakoo unapata hata ukitaka size 50 kwa 800k unapata.’
Ila ni made in kariakoo by star times!
Huwezi kupata LG original popote chini ya 1.200.000 model km ya kwangu
We n mshamba Sana ndugu yangu Kwanza nikwambie hyo tv unayoita LG original hakuna original hyo n designed for African market ambapo ukienda China Kuna mtu kapewa leseni ya kutoa kitu grade 1,2 mpaka 3 hvyo hvyo hata kwenye vifaa vidogo vidogo ukitaka ufurahie maisha nunua kitu quality kwabei ndogo.
Hyo survey yako na akili ya kuamini kuwa ukiwa ghali ndo yenyewe hyi imekula kwako Bora iwe the same product at the same shop but different in price hapo ndo ujiulize mbona hivi Sasa wewe unaenda mliman city pale pako targeted kuwauzia watu wenye kipato Cha juu pia Kodi na kumuhudumia mfanyakazi n gharama hvyo lazima Bei iwe juu.
Huyo unaesema n dealer yeye n mfanyabiashara anajua na anaelewa jinsi ya kumake super profit anatoa order kwenye kampuni PC's 1000 anaeenda market popote pale anapopajua anachukua PC's 3000 kitu kulekule kila kitu kwenye display inawekwa ile ambayo ipo authorised na kampuni store ambayo utapewa wewe unakuwa n ile kutoka kwenye soko la kawaida.
Mliman City baa yoyote ile bia locally n kuanzia 3000-5000 mfano Kilimanjaro lakini bia hyo hyo ukivuka barabara ukiwa unasubiri gari uelekee mawasiliano bia Ile Ile kila kitu kilekile unauziwa 1500.
Jiulize Y?
Kila sehemu ipo targeted na mteja husika mliman city n kwa watu wenye kipato mikubwa mzee