Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Kuna jamaa wamekwambia huko kariakoo n 850k, Pili mliman city n kwa watu maalum waliokusudiwa Yan Wana kipato kikubwa pili gharama za kufanya Biashara n kubwa ndomana samaki samaki Kilimanjaro lager inavyouzwa na kwa mangi Bei n tofauti Sana acha ligi zinazokudhalilishaUmeandika riwaya bila point hata moja.
Nimekwambia fanya survey ukiona zipo za bei chini ya hapo Njoo toa ushuhuda hapa mm nitakupa 100k bure kabisa.
Nisipotekeleza hasi moderator wanipe ban.
Kuna jamaa wamekwambia huko kariakoo n 850k, Pili mliman city n kwa watu maalum waliokusudiwa Yan Wana kipato kikubwa pili gharama za kufanya Biashara n kubwa ndomana samaki samaki Kilimanjaro lager inavyouzwa na kwa mangi Bei n tofauti Sana acha ligi zinazokudhalilisha
Zipo sana tu, kuna jamaa yangu alinunua inch 50 lg kwa sh tsh 500,000 kasumbaresa mpaka wa zambia/congo alipoiwasha tu nikambwa fake, ilikua na resolution poor kishenziTV LG fake?
We jamaa
UmeuaAliekwambia ukanunue mliman city Nani?
Kweli mkuu ,zamani nyumba yenye TV ilikuwa inaheshimika!! Enzi zetu tulikuwa tunatembea umbali wa kilometer 7 kwenda kuangalia TV.Kweli tv hazina thamani kwa sasa miaka ya 90 ilikuwa tv ni chombo cha thamani sana ukinujua kwa sasa hali imekuwa tofauti kabisa
Bei za bidhaa zinategemea pia na eneo bidhaa hizo zinapouzwa, mfano: Chupa 1 ya bia zinazofanana kwa kila kitu inaweza kuuzwa bei kwenye hoteli za kitalii, lakini ikauzwa kwa bei ya chini kwenye kibanda cha Mangi. Bei za bidhaa za mlimani city huwa zinajumuisha mambo mengi yanayotokana na mazingira ya mlimani city, mambo kama kodi, usalama, hustle free environment, etc.,. Kwahivyo, unaponunua bidhaa mlimani city kwa gharama ya juu, sio lazima imaanishe kwamba bidhaa hiyo ina viwango bora zaidi ya zile za kariakoo, au endapo utanunua bidhaa hiyo hiyo kariakoo kwa bei ya chini, haimaanishi kwamba bidhaa za kariakoo zina viwango hafifu. Na kwa vyovyote vile, bei za Mlimani city zinaweza zisiwe ndio bei msingi za soko.Ruksa nenda kanunue karaoke boss, Kila mtu ana test yake.
Ila huwezi Kupata original LG smart tv 43 kwa chini ya 1.200.000.
Hii hapa chini ni bei ya Jana Mlimani city 19/11View attachment 1630697
Mpaka uiuze utakoma maana hizi hoja humu ni full mzuka.Aliekwambia ghafla ni nani?[emoji2379]
Bei za bidhaa zinategemea pia na eneo bidhaa hizo zinapouzwa, mfano: Chupa 1 ya bia zinazofanana kwa kila kitu inaweza kuuzwa bei kwenye hoteli za kitalii, lakini ikauzwa kwa bei ya chini kwenye kibanda cha Mangi. Bei za bidhaa za mlimani city huwa zinajumuisha mambo mengi yanayotokana na mazingira ya mlimani city, mambo kama kodi, usalama, hustle free environment, etc.,. Kwahivyo, unaponunua bidhaa mlimani city kwa gharama ya juu, sio lazima imaanishe kwamba bidhaa hiyo ina viwango bora zaidi ya zile za kariakoo, au endapo utanunua bidhaa hiyo hiyo kariakoo kwa bei ya chini, haimaanishi kwamba bidhaa za kariakoo zina viwango hafifu. Na kwa vyovyote vile, bei za Mlimani city zinaweza zisiwe ndio bei msingi za soko.
Nadhani Mkuu, wewe ndio huelewi ambacho wadau wanajaribu kukufahamisha. Kimsingi wadau wanajaribu kukueleza kwamba:Sasa hapa sijui nn hakieleweki.
Nimesema hivi tafuta popote tv ya aina hii inapouzwa chini ya 1.200.000 Njoo na vielelezo hapa mm nitakupa laki moja bure kabisa!
Suala la Mlimani city linakujaje hapo?
Nadhani Mkuu, wewe ndio huelewi ambacho wadau wanajaribu kukufahamisha. Kimsingi wadau wanajaribu kukueleza kwamba:
1.Bei unayouza hio TV ni kubwa kulingana na bei ya soko, hasa kwa kuzingatia tayari hio TV ni USED.
2. Vielelezo ulivyovitoa kuhusu bei ya hio TV mlimani city, havina msingi. Wadau wanakueleza kwamba bei ulionunua hiyo TV hapo mwanzo ulipigwa, na haikuwa bei halisi ya soko.
Kwenye bandiko langu hapo juu, nimejaribu kukufafanulia kwanini bei ya bidhaa za mlimani city inaweza kuwa juu ya bei halisi ya soko, na si kweli kwamba bidhaa zinazouzwa mlimani city ndio bora zaidi.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kuna muda mleta bango anatamani watu wasiendelee na comments hasa hizi za kumpa makavu live!
Lakini kuna muda pia huwa anajilaumu kwa nini nimeingia town kichwa kichwa!
Punguza jazba mkuu, utolewe tongotongo.Mwisho wa siku unagundua kuwa wengi hapa wanapiga story km kijiweni tu ila hawa wote wanatoa comment za kizembe zembe hakuna mnunuzi.
Otherwise serious buyers nafanya nao negotiations direct
AtakwambiaNarudia wee mbishi...kale chips samak samaki ulipe alfu kumi kisha uje hapa useme
Mwache ajishebedue tu hapaAtakwambia
"Chips za samak samak Ni ORIJINO kuliko chips za KARIAKOO"
Pole Sana mkuu, Naona umeshikwa pabayaPunguza porojo sababu hujui bei yake