LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

Kutaka katiba mpya ni kuichokonoa Jamhuri kivipi?

Mtu akiwa na kosa kuna utaratibu wa kisheria wa ukamataji watu, Siyo kupelekewa na Noah na watu wasiojulikana na kuanza kuteka watu
kamuulize kwanini hadi leo asange anaruka ruka na snowden harudi marekani...mkishapewa vijihela kidogo na hayo mashirika ndo mnapata nguvu ya kuchokonoa chokonoa kwa ajili ya posho...haya sasa kaanzisheni thread twitter mtaeleweka
 
Bungeni wanasemaje kuhusu hili tukio
 
hivi nyie watu wapuuzi sana pamoja ni hiyo LHRC yenu wapumbavu sana mnakimbilia kumsema vibaya rais kani yeye ndiyo kamchukuwa? je mnajuwaje huyo mtu wenu kama anatumia kichaka cha katiba kutenda maovu yake ili asiguswe mkasema ni katiba acheni ujinga wenu pengine ni lihalifu fulani tu hilo limelikoroga huko likkapata wababe wake mnaiangushia serikali
 
kamuulize kwanini hadi leo asange anaruka ruka na snowden harudi marekani...mkishapewa vijihela kidogo na hayo mashirika ndo mnapata nguvu ya kuchokonoa chokonoa kwa ajili ya posho...haya sasa kaanzisheni thread twitter mtaeleweka
Huyu anadai katiba mpya, wakati Assange alilikisha taarifa za nchi. Ni vitu viwili tofauti.
 
Huyu anadai katiba mpya, wakati Assange alilikisha taarifa za nchi. Ni vitu viwili tofauti.
swala ni kuleta chokochoko na kuhatarisha usalama wa nchi..wanaita national security...na mara nyingi hawa watu huwa wanakua sponsored tu na hayo mataifga ya nje...na picha kubwa ni kua Tanzania ni kubwa kuliko hivyo viper DM wanavyopewa
 
Kutaka katiba mpya ni kuichokonoa Jamhuri kivipi?

Mtu akiwa na kosa kuna utaratibu wa kisheria wa ukamataji watu, Siyo kupelekewa na Noah na watu wasiojulikana na kuanza kuteka watu
Mbona hilo jukwaa hamkuliunda kipindi cha mwendazake?
 
Inabidi tuwachunguze nyinyi mnaoituhumu serikali, kwa kuwa malalamiko yenu yamebeba ajenda ya siri. Inawezekana mnamjua hiyo MTU alipo.
Utapewa ukuu wa wilaya endelea kutishatisha watu humu.
Uzuri unatumia jina halisi. Weka namba yako kabisa. Hata Jerry Muro alianza hivyo hivyo.
 
Ntawasamehe CCM kwa dhambi zote, ila sio ya kumpa kijiti mtu kama Magufuli. We'll never recover from him and his.
 
Yaani mnaichokonoa jamhuri mkinyooshwa kelele kibao..watanzania bana
Wewe ni mjinga Serikali ipo kwaajili ya wananchi so lazima iongoze kwa matakwa yao sarikali haipo madarakani kutekeleza matakwa ya kikundi kidogo huu upumbafu ndio mliuleta na kuutetea wakati wa jiwe ni UJINGA
 
Kituo cha sheria na haki za binadamu kimelaani utakejai wa viongozi wawili kana alhamisi na watu wasiojulikana.

Kama Samia atarithi hizi tabia za mwendazake, basi hatuna budi kumkosoa na kumpinga vikali. Na azma yake ya kuvuta uwekezaji utashindikana kwa namna hii maana inachafua nchi.

Ajiulize, is this the path she wants yo tread, it's up to her!!

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Taarifa ya LHRC inasema wametekwa na watu wasiojulikana. Baadaye inasema inataka Jeshi la Polisi liweke wazi walipo wahanga wa utekwaji. Kwa maana nyingine, LHRC inachojua ni kwamba wahanga wametekwa na maofisa wa polisi, na si hasa watu wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…