cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,570
- 5,508
kamuulize kwanini hadi leo asange anaruka ruka na snowden harudi marekani...mkishapewa vijihela kidogo na hayo mashirika ndo mnapata nguvu ya kuchokonoa chokonoa kwa ajili ya posho...haya sasa kaanzisheni thread twitter mtaelewekaKutaka katiba mpya ni kuichokonoa Jamhuri kivipi?
Mtu akiwa na kosa kuna utaratibu wa kisheria wa ukamataji watu, Siyo kupelekewa na Noah na watu wasiojulikana na kuanza kuteka watu