Hayo ni masalia ya Mwendazake yataisha tu,wanaotaka kutekana waende BurundiSasa hivi si mpo kwenye utawala wa sheria?
Yeye Samia siyo ukoko wa mwendazake?Mama anatakiwa asafishe ule ukoko wa MwendazakeView attachment 1800206
Samia hawezi kuwa ukoko wa Wahuni yeye ni Mstaarabu wa VisiwaniYeye Samia siyo ukoko wa mwendazake?
Unataka ajisafishe?
Utakuta ni vijana wa mbowe wameanza kazi yaoMama anatakiwa asafishe ule ukoko wa MwendazakeView attachment 1800206
Sio wale waliofunzwa na Ole Sabaya?U
Utakuta ni.vujana wa mbowe wameanza kazi yao
Maana walizoea kuchafua serikari
Alikubali vipi kuwa makamu wa wahuniSamia hawezi kuwa ukoko wa Wahuni yeye ni Mstaarabu wa Visiwani
Kama alisingiziwa kwanini matukio yote Yale yahakufanyiwa investigation na serikali yake?Jiwe alisingiziwa tu!
Ufipa siyo wa kuwaamini sana!
mbwembwe nyingi keyboard warrior...kikao kinaendelea kesho cha kudai hiyo katiba..nenda tu buguruni pale unataste sumu kwa mdomo sioWewe ni mjinga Serikali ipo kwaajili ya wananchi so lazima iongoze kwa matakwa yao sarikali haipo madarakani kutekeleza matakwa ya kikundi kidogo huu upumbafu ndio mliuleta na kuutetea wakati wa jiwe ni UJINGA
Mludai mwendazake aliwateka kwa sababu hakutaka kukosolewa,hawa wametekwa sababu zipi?Yeye Samia siyo ukoko wa mwendazake?
Unataka ajisafishe?
Kwamba akwilina kuuwawa kwake ilikuwa ni kurudisha law and order ?Mnachekesha. Kwa hiyo mlidhani kwamba suala la kuweka watu kwenye custody (nyie mnaita kuteka) ni suala la aina ya mtu aliyepo ikulu?
Yaani vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi wake vijiridhishe kwamba watu au mtu fulani ni tishio kwa usalama wa nchi, report ipelekwe kwa kiongozi wa nchi, halafu kiongozi wa nchi asite kuamuru detention kisa ataonekana sawa na yule mwingine aliyepita? Huu utakuwa utoto sasa.
Turudie kusema, hakuna kitu chochote alichokifanya JPM ambacho hakikutakiwa kufanywa kwa mazingira ya nchi aliyorithi kutoka kwa mtangulizi wake. Hadi 2015, nchi ilishakaribia kuwa a failed state na hicho mnachokiita kutekana ilikuwa ni safisha safisha kurudisha law and order. Mama kwa muda mfupi aliokalia kiti ashaanza kusoma gemu. Hii nchi ngumu sana, akicheka na nyani atakula mabua.
swa kabisa mkuu kuna vichwa huw linapokuja suala la pesa wanauza nchi kabisa kama kina kabendera kwa sura ya machoni wanatia huruma lakini wangefaulu mision zao nchi inalia machozi wao wanacheka na watu kama uamsho sasa hivi mnawahurumia lakini mbona mngeomba pooMnachekesha. Kwa hiyo mlidhani kwamba suala la kuweka watu kwenye custody (nyie mnaita kuteka) ni suala la aina ya mtu aliyepo ikulu?
Yaani vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi wake vijiridhishe kwamba watu au mtu fulani ni tishio kwa usalama wa nchi, report ipelekwe kwa kiongozi wa nchi, halafu kiongozi wa nchi asite kuamuru detention kisa ataonekana sawa na yule mwingine aliyepita? Huu utakuwa utoto sasa.
Turudie kusema, hakuna kitu chochote alichokifanya JPM ambacho hakikutakiwa kufanywa kwa mazingira ya nchi aliyorithi kutoka kwa mtangulizi wake. Hadi 2015, nchi ilishakaribia kuwa a failed state na hicho mnachokiita kutekana ilikuwa ni safisha safisha kurudisha law and order. Mama kwa muda mfupi aliokalia kiti ashaanza kusoma gemu. Hii nchi ngumu sana, akicheka na nyani atakula mabua.
kwani hapo aliyesababisha ni nani kama siyo genge la kihuni la kina mbowe na wenzake wakulaumiwa hapo ni hao tena walitakiwa wawe jela maana walisababisha mauajiKwamba akwilina kuuwawa kwake ilikuwa ni kurudisha law and order ?
Wewe ni mpumbavu
Tamko kali labda kwa PR. Lakini kama hao ni watu wa serikali anatakiwa kuchukua hatua madhubuti kubomoa hicho kitengo mara moja ndio aongee. Vinginevyo, ataanza kutiliwa shaka kuwa na yeye kama JPM, anategemea "shadow governmental institutions" kushughulikia upinzani (dissent) - hii ni tofauti na vyama vya upinzani.Ajabu sana, haya mambo yatakuwa yanafanywa bila yeye kujua, kwa muonekano wake Rais hafanani na hayo matendo, anatakiwa atoe tamko kali awaamshe usingizi wale wanaodhani bado tuko awamu ya tano.