LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

Hakuna mwenye akili timamu wa kumteka mtu kama huyo, ni utopolo wa masalia ya Sukuma GANG.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mnachekesha. Kwa hiyo mlidhani kwamba suala la kuweka watu kwenye custody (nyie mnaita kuteka) ni suala la aina ya mtu aliyepo ikulu?

Yaani vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi wake vijiridhishe kwamba watu au mtu fulani ni tishio kwa usalama wa nchi, report ipelekwe kwa kiongozi wa nchi, halafu kiongozi wa nchi asite kuamuru detention kisa ataonekana sawa na yule mwingine aliyepita? Huu utakuwa utoto sasa.

Turudie kusema, hakuna kitu chochote alichokifanya JPM ambacho hakikutakiwa kufanywa kwa mazingira ya nchi aliyorithi kutoka kwa mtangulizi wake. Hadi 2015, nchi ilishakaribia kuwa a failed state na hicho mnachokiita kutekana ilikuwa ni safisha safisha kurudisha law and order. Mama kwa muda mfupi aliokalia kiti ashaanza kusoma gemu. Hii nchi ngumu sana, akicheka na nyani atakula mabua.
 
Tatizo letu ni kupenda kumgeuza Rais afanane na jalala.

Mtu afanye upumbavu wake halafu lawama atupiwe rais. Mtu apotelee kwa mchepuko wake na lawama abebeshwe Rais.

Mtu agombane na marafiki zake na wamuue kwa risasi na lawama ziende kwa Rais, that is stupidity.
 
Hii ni aibu kubwa!.

We didn't think these criminal acts would continue in Samia's administration.

We still have faith in her that she will not tolerate kidnappings, otherwise it will be a disaster if things continue like this.

We want freedom of speech, freedom to organise, freedom of assembly and be treated fairly within the bounds of the law!
 
Hii itakuwa ni kazi inayofanikishwa na Jiwe Virtual Machine
 
Wewe ni mjinga Serikali ipo kwaajili ya wananchi so lazima iongoze kwa matakwa yao sarikali haipo madarakani kutekeleza matakwa ya kikundi kidogo huu upumbafu ndio mliuleta na kuutetea wakati wa jiwe ni UJINGA
mbwembwe nyingi keyboard warrior...kikao kinaendelea kesho cha kudai hiyo katiba..nenda tu buguruni pale unataste sumu kwa mdomo sio
 
Mnachekesha. Kwa hiyo mlidhani kwamba suala la kuweka watu kwenye custody (nyie mnaita kuteka) ni suala la aina ya mtu aliyepo ikulu?

Yaani vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi wake vijiridhishe kwamba watu au mtu fulani ni tishio kwa usalama wa nchi, report ipelekwe kwa kiongozi wa nchi, halafu kiongozi wa nchi asite kuamuru detention kisa ataonekana sawa na yule mwingine aliyepita? Huu utakuwa utoto sasa.

Turudie kusema, hakuna kitu chochote alichokifanya JPM ambacho hakikutakiwa kufanywa kwa mazingira ya nchi aliyorithi kutoka kwa mtangulizi wake. Hadi 2015, nchi ilishakaribia kuwa a failed state na hicho mnachokiita kutekana ilikuwa ni safisha safisha kurudisha law and order. Mama kwa muda mfupi aliokalia kiti ashaanza kusoma gemu. Hii nchi ngumu sana, akicheka na nyani atakula mabua.
Kwamba akwilina kuuwawa kwake ilikuwa ni kurudisha law and order ?

Wewe ni mpumbavu
 
swa kabisa mkuu kuna vichwa huw linapokuja suala la pesa wanauza nchi kabisa kama kina kabendera kwa sura ya machoni wanatia huruma lakini wangefaulu mision zao nchi inalia machozi wao wanacheka na watu kama uamsho sasa hivi mnawahurumia lakini mbona mngeomba poo
 
Hiki kituo cha LHRC kimekosa kazi za kufanya, kama kuna ushahidi katekwa pelekeni polisi wafuatilie....na wakamatwe.

LHRC acheni kuchochea mambo.Badala ya kutoa taarifa polisi nyinyi mnaibuka kulaaani.

kuna watu wanauliwa na majambazi mbona huwa hamlaaani? au hilo haliwahusu? kinacho wahusu nyinyi ni KATIBA tu sio kutetea uhai w watu? acheni unafiki. badilikeni msitumike. chungeni malengo yenu.
 
Kwamba akwilina kuuwawa kwake ilikuwa ni kurudisha law and order ?

Wewe ni mpumbavu
kwani hapo aliyesababisha ni nani kama siyo genge la kihuni la kina mbowe na wenzake wakulaumiwa hapo ni hao tena walitakiwa wawe jela maana walisababisha mauaji
 
Ajabu sana, haya mambo yatakuwa yanafanywa bila yeye kujua, kwa muonekano wake Rais hafanani na hayo matendo, anatakiwa atoe tamko kali awaamshe usingizi wale wanaodhani bado tuko awamu ya tano.
Tamko kali labda kwa PR. Lakini kama hao ni watu wa serikali anatakiwa kuchukua hatua madhubuti kubomoa hicho kitengo mara moja ndio aongee. Vinginevyo, ataanza kutiliwa shaka kuwa na yeye kama JPM, anategemea "shadow governmental institutions" kushughulikia upinzani (dissent) - hii ni tofauti na vyama vya upinzani.
 
Back
Top Bottom