LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

Sio wale waliofunzwa na Ole Sabaya?
FB_IMG_1622210249583.jpg
 
Kituo cha sheria na haki za binadamu kimelaani utakejai wa viongozi wawili kana alhamisi na watu wasiojulikana.

Kama Samia atarithi hizi tabia za mwendazake, basi hatuna budi kumkosoa na kumpinga vikali. Na azma yake ya kuvuta uwekezaji utashindikana kwa namna hii maana inachafua nchi.

Ajiulize, is this the path she wants yo tread, it's up to her!!
View attachment 1800199

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Nanai kawatuma watekaji hao wakati Magufuli hayupo!
 
Utekaji umerudi kwa sababu kivuli cha Kayafa bado kinatawala Tanzania.
4jHF.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Naona wazee wa legacy wanaendelea kuilinda
 
Mnachekesha. Kwa hiyo mlidhani kwamba suala la kuweka watu kwenye custody (nyie mnaita kuteka) ni suala la aina ya mtu aliyepo ikulu?

Yaani vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi wake vijiridhishe kwamba watu au mtu fulani ni tishio kwa usalama wa nchi, report ipelekwe kwa kiongozi wa nchi, halafu kiongozi wa nchi asite kuamuru detention kisa ataonekana sawa na yule mwingine aliyepita? Huu utakuwa utoto sasa.

Turudie kusema, hakuna kitu chochote alichokifanya JPM ambacho hakikutakiwa kufanywa kwa mazingira ya nchi aliyorithi kutoka kwa mtangulizi wake. Hadi 2015, nchi ilishakaribia kuwa a failed state na hicho mnachokiita kutekana ilikuwa ni safisha safisha kurudisha law and order. Mama kwa muda mfupi aliokalia kiti ashaanza kusoma gemu. Hii nchi ngumu sana, akicheka na nyani atakula mabua.
Na hadi 2020 we pimbi inchi hii ilikua almost a gang of murderers and a failed state
 
Mnachekesha. Kwa hiyo mlidhani kwamba suala la kuweka watu kwenye custody (nyie mnaita kuteka) ni suala la aina ya mtu aliyepo ikulu?

Yaani vyombo vya ulinzi na usalama vifanye uchunguzi wake vijiridhishe kwamba watu au mtu fulani ni tishio kwa usalama wa nchi, report ipelekwe kwa kiongozi wa nchi, halafu kiongozi wa nchi asite kuamuru detention kisa ataonekana sawa na yule mwingine aliyepita? Huu utakuwa utoto sasa.

Turudie kusema, hakuna kitu chochote alichokifanya JPM ambacho hakikutakiwa kufanywa kwa mazingira ya nchi aliyorithi kutoka kwa mtangulizi wake. Hadi 2015, nchi ilishakaribia kuwa a failed state na hicho mnachokiita kutekana ilikuwa ni safisha safisha kurudisha law and order. Mama kwa muda mfupi aliokalia kiti ashaanza kusoma gemu. Hii nchi ngumu sana, akicheka na nyani atakula mabua.
Wewe nawe ni mtekaji? Mbona huna akili? Nini kazi ya mahakama? Jinga sana wewe!
 
Mama kaishasema yeye na Jiwe ni kitu kimoja, mnashangaa nini alisema askari wao wanamafunzo risasi tatu akukose hana kazi . Flee mwenyekiti wa kamati ya kudai katiba mpya please unknown men
 
Tatizo letu ni kupenda kumgeuza Rais afanane na jalala.

Mtu afanye upumbavu wake halafu lawama atupiwe rais. Mtu apotelee kwa mchepuko wake na lawama abebeshwe Rais.

Mtu agombane na marafiki zake na wamuue kwa risasi na lawama ziende kwa Rais, that is stupidity.
Jinga wewe hatajakukuta shwain
 
Kituo cha sheria na haki za binadamu kimelaani utakejai wa viongozi wawili kana alhamisi na watu wasiojulikana.

Kama Samia atarithi hizi tabia za mwendazake, basi hatuna budi kumkosoa na kumpinga vikali. Na azma yake ya kuvuta uwekezaji utashindikana kwa namna hii maana inachafua nchi.

Ajiulize, is this the path she wants yo tread, it's up to her!!
View attachment 1800199

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Kwa Unafiki tulionao Watanzania na Chuki zetu bila kusahau na tabia yetu tuliyobarikiwa nayo ya Umbea, Uwongo na Uzushi nimekuwa mgumu sana Kuamini Taarifa kama hizi ambazo nimegundua wanaozianzisha baadae huja Kuneemeka Kiuchumi kutoka kwa wale wanaowatuma na Kuwatumikisha Kuichafua Tanzania na hasa Tawala iliyopo ambayo hawaipendi kutokana na Itikadi zao za Kisiasa.
 
Back
Top Bottom