LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike kutoka Longido

Akitoa taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga, amesema ""Tumepokea kwa masikito Video inayomuonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha akimdhalilisha Mtumishi wa jinsia ya Kike kule Longido. Tunakemea vikali kauli hizo hasa kwa Mtu kama yeye Mkuu wa Mkoa"

Aidha, LHRC imemtaka Makonda kuomba radhi na kuacha tabia hiyo kwasababu inatweza Utu wa Mwanamke na kushusha juhudi za kutetea Haki za Wanawake huku Viongozi kama yeye wakitoa kauli zinatoa mifano mibaya kwa watu wengine

Kupitia Video hiyo, RC Makonda anasikika akimtaka Mtumishi huyo kuzungumza vizuri na si kama anaongea na mtu anayetaka kumposa au yuko kwenye Kitchen Party na pia yeye (RC) ana Mke mzuri
Makonda avuliwe Ukuu wa Mkoa
Makonda hana sifa hata moja ya kuweza kuongoza binadamu, labda wanyamapori.

Hii ndio hatari ya Watu 'mbumbumbu' kupewa mamlaka ya kutawala ktk nchi.
 
Makonda awe makini. Kwa mtindo wake wa kazi Anatengeneza maadui wengi sasa kuna saa atajaa kwenye 18 anayemlinda atashindwa kumlinda.
Sinaga baya sana na huyu mshkaji, ila nimeona ile video hakika imenikwaza sana....he was too much
 
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike kutoka Longido

Akitoa taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga, amesema ""Tumepokea kwa masikito Video inayomuonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha akimdhalilisha Mtumishi wa jinsia ya Kike kule Longido. Tunakemea vikali kauli hizo hasa kwa Mtu kama yeye Mkuu wa Mkoa"

Aidha, LHRC imemtaka Makonda kuomba radhi na kuacha tabia hiyo kwasababu inatweza Utu wa Mwanamke na kushusha juhudi za kutetea Haki za Wanawake huku Viongozi kama yeye wakitoa kauli zinatoa mifano mibaya kwa watu wengine

Kupitia Video hiyo, RC Makonda anasikika akimtaka Mtumishi huyo kuzungumza vizuri na si kama anaongea na mtu anayetaka kumposa au yuko kwenye Kitchen Party na pia yeye (RC) ana Mke mzuri
LHRC ni Tawi la UWT mbona wanaume kila uchwao wanadharirishwa na hamsemi
 
Hiki kituo nacho ni bora kiitwe kituo cha polisi tu maana naona na kazi za polisi sasa ni zao za mahakama nizao yaani imekuwa ni taasisi ya kutetea haki za wananwake juzi oscar kala onyo leo makonda kala onyo mbona hamtoi onyo kwa Rais kutumia ndege kubwa kama ile kupigia misele huku ndege ya rais ipo? Au mbona hamtoi onyo kwa bunge kuto kujadili report ya CAG iliyopita maana lilidai kuwa baada ya bunge lililopita ingejadili report hiyo mpk leo limeanza bunge lingine na repprt nyingine imetoka yenye madudu kibao mbona hamtoi onyo kwa wizara ya ardhi double taxing zinazofanywa kwenye majengo hebu mwende huko onyo kwa RC utamfanya nini?
Waliotoa onyo unajua kazi zao lkn? Naona kama unachanganya mambo.
 
Najua kwa ujuha wako kama wa Makonda unaniita mimi ni mwanamke ukidhani umenidhalilisha na wewe ni mjanja. Mimi huyu juha mwenzako Makonda hawezi kuingia kwenye anga zangu hata siku moja kwa sababu litakalompata atakuja kusimulia mpaka wajuu zake. Unadhani mimi ni kama hao wafanyakazi waoga wanaoitikia kila kitu ''ndiyo mheshimiwa mkuu wa mkoa?''.

Sasa wewe ndo unaonesha UJUHA. Umesema mwenyewe kuwa ungekuwa wewe ungejibu hivyo. Sasa kwa nini tena unatokwa povu? Au unatamani kuwa mwanamke? Haya kuwa.
 
Huyo juha mwenzako hana akili kama wewe. Kwani mimi nimekwambia nina tatizo la kuitwa mwanamke? Japo mimi ni mwanaume lakini mpumbavu kama wewe akiniita mwanamke kwa nia ya kunidhalilisha huwa naona fahari kwa sababu mama yangu ndiye role model wangu.
 
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike kutoka Longido

Akitoa taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga, amesema ""Tumepokea kwa masikito Video inayomuonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha akimdhalilisha Mtumishi wa jinsia ya Kike kule Longido. Tunakemea vikali kauli hizo hasa kwa Mtu kama yeye Mkuu wa Mkoa"

Aidha, LHRC imemtaka Makonda kuomba radhi na kuacha tabia hiyo kwasababu inatweza Utu wa Mwanamke na kushusha juhudi za kutetea Haki za Wanawake huku Viongozi kama yeye wakitoa kauli zinatoa mifano mibaya kwa watu wengine

Kupitia Video hiyo, RC Makonda anasikika akimtaka Mtumishi huyo kuzungumza vizuri na si kama anaongea na mtu anayetaka kumposa au yuko kwenye Kitchen Party na pia yeye (RC) ana Mke mzuri
Makonda aondolewe
 
MAKONDA HANA SIFA ZA KUWA KIONGOZI NA HAFAI NI DIKTETA.
 
Back
Top Bottom