LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi

Makonda avuliwe Ukuu wa Mkoa
Makonda hana sifa hata moja ya kuweza kuongoza binadamu, labda wanyamapori.

Hii ndio hatari ya Watu 'mbumbumbu' kupewa mamlaka ya kutawala ktk nchi.
 
Makonda awe makini. Kwa mtindo wake wa kazi Anatengeneza maadui wengi sasa kuna saa atajaa kwenye 18 anayemlinda atashindwa kumlinda.
Sinaga baya sana na huyu mshkaji, ila nimeona ile video hakika imenikwaza sana....he was too much
 
LHRC ni Tawi la UWT mbona wanaume kila uchwao wanadharirishwa na hamsemi
 
Waliotoa onyo unajua kazi zao lkn? Naona kama unachanganya mambo.
 

Sasa wewe ndo unaonesha UJUHA. Umesema mwenyewe kuwa ungekuwa wewe ungejibu hivyo. Sasa kwa nini tena unatokwa povu? Au unatamani kuwa mwanamke? Haya kuwa.
 
Sasa wewe ndo unaonesha UJUHA. Umesema mwenyewe kuwa ungekuwa wewe ungejibu hivyo. Sasa kwa nini tena unatokwa povu? Au unatamani kuwa mwanamke? Haya kuwa.
Huyo juha mwenzako hana akili kama wewe. Kwani mimi nimekwambia nina tatizo la kuitwa mwanamke? Japo mimi ni mwanaume lakini mpumbavu kama wewe akiniita mwanamke kwa nia ya kunidhalilisha huwa naona fahari kwa sababu mama yangu ndiye role model wangu.
 
Makonda aondolewe
 
MAKONDA HANA SIFA ZA KUWA KIONGOZI NA HAFAI NI DIKTETA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…