LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi

Hivi siku hizi mwanamke hakemewi Kumbe.
Kila mtu siku hizi anatafuta pa kutokea
LHCR Nao wameona wasibaki Nyuma
Hii nchi ina laana si bure. Mbona wengi tu wanaingia makazini kwa rushwa za Ngono Hawana sifa za hiyo kazi wanayofanya Hilo hamsemi Mnasibiri siku akikemewa Kwa utendaji mbovu.....Hili nalo mkaliangalie
 
Kukemewa ni sawa, mtindo wa kukemea si sawa. Angeweza kumkemea bila kuhususha masuala ya ngono au mkewe.
 
Makonda avuliwe Ukuu wa Mkoa
Shida ni moja mtu akiwa mkwel anaomekana kama anadharirisha kumbe hata jinsia ya kiume pia anaongea nao vilevile ko kunamda tukubali mabadiliko wananchi wanao lipa Kodi ndo wanajua maumivu wanayoyapata Kwa ubovu wa miundo mbinu
 
HUYU K* ANAJUONAGA KAMA MUNGU HAPA NCHINI NA SIJUI WANAMKUBALI NN NA HANA HADHI YA KUONGOZA BINADAMU
HAYA NDO MATOKEO YA SIASA ZA DRAMA.
 
Umesema ungekuwa wewe nafasi yako ungejibu hivyo. Haya jibu dada mbona umepaniki sana. Just calm down haya mambo hayataki hasira. Itafika zamu yako.
 
Kama wanawake wanataka haki sawa
Mbona mnalalamika maneno ambayo mwanaume akipewa anaona NI poa tu?
Kama wanataka haki sawa wajikaze
Wasichague maneno ya kuambiwa
Angeambiwa Mwanaume maneno haya LHCR msingetojitokeza huku
Kwanza kuna Jamaa anaitwa Fred Arusha hapo kuna jambo lake tumemfichia tu kama kijana mwenzetu
 
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wakati Samia anatukanwa kilikuwa hakijaanzishwa???🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…