princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
We ulisikia Wapi memes zina level ya elimu? What's this? Nawe tafuta master's basi uandike memes zenye Akili tukuo
Ko wew unaona haki kwa mtu kama yeye kufany huo ujinga tena kioo cha jamiii kuna maish ukishakuwa na level fulan au cheo fulan jamii inakumlik na kukuangalia unaachana navuo tuWe ulisikia Wapi memes zina level ya elimu? What's this? Nawe tafuta master's basi uandike memes zenye Akili tukuone
Imeniuma sana post zaidi ya 70 hamna hata meme mojaNDIO ni Null and Void ab initio
Ukweli acha usemwe haijalishi anaesema ana Masters au PhD au Standard 7 Failure, what's this?Ko wew unaona haki kwa mtu kama yeye kufany huo ujinga tena kioo cha jamiii kuna maish ukishakuwa na level fulan au cheo fulan jamii inakumlik na kukuangalia unaachana navuo tu
Wamezingua sanaOnyo bila picha ni sawa na Hamas bila Rafah
Mkuu Sean,Wangeanza kumchukulia hatua Kikwete kwanza aliyesema "ili ule lazima nawe uliwe"
Kisha akasema "Kikwete hii hachomoi nikauliza kwani nimechomeka nini?"
Ni ngumu sana kuunda kesi ya maana kwa memes au kauli kama hizo.
NDIO uwaambie hao LHRC wakuwekee hio meme wanayoipigia makeleleImeniuma sana post zaidi ya 70 hamna hata meme moja
Dah mkuu mshamba_hachekwi umebadilisha jina?Weka mifano hapa mkuu.
Ni shida yao LHRC sio shida ya Oscar Oscar, say that againMkuu Sean,
Asilimia kubwa baadhi yetu Watanzania ni watu wenye mawazo ya ngono.
Yaani hawataki kukubali kwamba lugha au maneno yanaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Lakini wao wanalazimisha maana yao ili ku-justify madai yao.
Katika watu wote hapa wanaosema Oscar ni mdhalilishaji Embu mwambie mtu hata mmoja atuletee post ambayo amedhihaki au kukejeli jinsia ya kike.
Kama mtu kaamua kutoa tafsiri yake kichwani mwake sababu tu ni mtu aliyejaa mawazo ya ngono hiyo ni shida yake na sio ya Oscar.
Nimefanyaje tena!!Oooooh Lord!
Hata hili Lina maana kubwa Sana miss..Wanaacha kufatilia mambo ya maana
NDIO ni Null and Void ab initio
Mimi naelewa ni sehemu ya kupita.passion_amo1 umeshaambiwa elewa neno njia, wewe unataka kusemaje hapo? What's this?
Ko mzee wew jakaya au wazir mkuu atoke na hizo meme kam za jamaa aanike mitandaoni alafu usimame kusem ni memes kwel wazungu wamefanikiwa pakubwa kuangamiza kizazi cha waafrica kimtizamo na kimawazo wamefuzu kuharibUkweli acha usemwe haijalishi anaesema ana Masters au PhD au Standard 7 Failure, what's this?
Soma memes za Oscar zina maswali ya kawaida tu, wewe una mawazo yako ya kingono ngono ukakimbilia LHRC kwenda kureport watoe tamko kwa kosa lipi alilofanya Oscar? What's this?Ko mzee wew jakaya au wazir mkuu atoke na hizo meme kam za jamaa aanike mitandaoni alafu usimame kusem ni memes kwel wazungu wamefanikiwa pakubwa kuangamiza kizazi cha waafrica kimtizamo na kimawazo wamefuzu kuharib
Mr or Mrs? What's this?