LHRC yamuonya Oscar Oscar kwa Vitendo vya Udhalilishaji dhidi Wanawake

Mimi naelewa ni sehemu ya kupita.

sasa hapo kazi ni kwako ututafutie kwenye kamusi maana unayoifahamu ya njia.

Nipo hapa kujifunza
Wewe niambie kosa lipo wapi kwenye hio sentence msomee mwanao hilo swali alafu sikiliza jibu lake, what's this?
 
Afrika haitakaa iendelee kwa upumbavu wa watu wake. Hata Charles Taylor pamoja na kuua watu wengi sana bado vijana ambao waliachwa yatima waliamua kumpigia kura na kumchagua tena ambapo akaendelea kuwaua na wao. Huyu OscarOscar anafanya ushenzi ila kuna mataahira wanamtetea hapa.
 
Hawa lhrc nao sometime wanakosaga kazi za kufanya
Kwanini sometimes wakati no kazi yao? So ulitaka wanyamaze na Oscar huwa anatukana sana wenye memes zake. Au ulitakaje mkuu?
 
Tanzania ni nchi siyo kanisa wala msikiti.
 
Oscar ni mpuuzi sana tena sana. Anatukana mno halafu anajionaga mtu mwenye akili na macho yake ya utosini. Mjinga sana huyu jamaa.
 
  • Binafsi hayo mambo ya Oscar siyajui, sidhani kama niyajitahidi kuuajua.
  • Ila hao LHRC wakithubutu kukemea wanawake kukidhalilisha wenyewe, manyimbo ya Bongo fleva yenye viashiria vya wazi vya udhalilishaji, Naomba mnijulishe.
  • Je wamefanya hivyo ili kupata kielelezo cha kuombea fedha toka kwa 'wawezeshaji' wao?
 
Mkuu,
Kwani hata mwanamke wako si unamhudumia ili akufurahishe, mkimaliza unampa nauli, ukitaka aje kwako si unatuma nauli?

Naona wanakuwa wakali, ukweli unauma sana. They were made to make us happy!
Mkuu Eroni,

Kufanya mjumuisho wanawake kuwa ni chombo cha starehe huo ni uvunjivu wa hoja “fallacy of generalization “

Mkuu wangu Eroni,
Mpaka unafika hapo kwa kiasi kikubwa kuna uwepo wa mwanamke ambaye amepambana kwa kiasi kikubwa. Sidhani kama unaweza kupata nguvu ya kusema mwanamke huyo ni chombo cha starehe tu.

Kama unafikiri mwanamke unamuhudumia ili awe chombo cha starehe kwako ni mtazamo wako na ninauheshimu.
Fikiria ni kwa kiasi gani mama au mlezi wako yoyote wa jinsia KE alivyopambana kwa ajili ya maisha yako. Ni sawa kumuita chombo cha starehe? Sababu chombo cha starehe ni kwa ajili ya starehe na raha tu.

Hii ni mitandao na Hivi vitu kuna watoto ambao wapo kwenye early’s 18 wanapita humu atakapokutana na kauli. Kama hizi hujui zitamjenga kiasi gani.

Halafu hii sentensi “They were made to make us happy” sio sawa sababu wapo wanawake wenye pesa ambao hutumia kuwapata vijana wasiotaka kufanya kazi na kujituma hivyo ni halali kusema “ Men are made to make us happy”

Halafu sentensi “They were made to make us happy” ni sentensi uliyoitengenezea majibu yako kwamba mwanamke ameumbwa na kitu fulani ambacho hata tukikuambia uthibitishe hutaweza.

Kama unatumia kigezo cha Imani it rather to use “ were made to make happy each of us” sababu wote tunahisia, tunapenda, tunakasirika.

Kusema jinsia fulani ipo kwa ajili ya kuipa furaha jinsia fulani si kweli.

I hope your mama is very of proud of who you are today. And I hope your daughters if you have them they are very happy to have a father-figure like you.
 
Noma sana Mkuu...
 
Mkuu,
Kwani hata mwanamke wako si unamhudumia ili akufurahishe, mkimaliza unampa nauli, ukitaka aje kwako si unatuma nauli?

Naona wanakuwa wakali, ukweli unauma sana. They were made to make us happy!
Mkuu unaongea point tupu

Watabisha tu lakini hoja unazotoa zina mashiko sana
 
Oscar ndo aina ya waandishi wa habari "vihiyo" waliojaa kwenye hizo redio zao....

Kama kweli ana masters basi haimsaidii kitu...jinga moja
 
Jamaa anajua kutengeneza mambo!
Unasoma unacheka mwenyewe!
Osca mm nipo pamoja na wewe!

Kwani ni uongo wanawake ni chombo cha starehe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…