Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

Wanaendekeza siasa za kishenzi, huyo mama wa US kawahoji maswali ya msingi ndio wanajifanya kutoa hadithi za kuchomekea. Hawa viongozi wetu ndio wanachangia wazungu kuendelea kutufananisha na nyani
Bila Mzungu weusi tutauana kwa uroho wa madaraka. Kumbuka tuliuzana utumwani eti kukomoana.
 
Hakuna emoji inayofaa Ku-express emotions zangu, uneandika vizuri kabisa asante!
 
Muongo mkubwa wewe nani aliipigia kura ccm Mliiba kura
Kwa kulazimisha CCM ndio hao hao huku mitaani wanasema Mama ametuangusha.Ki uhalisia wanaonekana Chadema wanaongea sana kwa kumpinga Mama,ila tunaoishi na wanaccm huku wanamteta hadi aibu,wanafukunyua mambo mazito mno.
 
Ratiba za KUDEMKA ziliendelea bila shida yoyote ile. Wapuuzi wanahaha sasa baada ya kuona pressure imekuwa kubwa dhidi ya hii Serikali haramu. Tunaipiga hazina sasa si kwa bunduki, mabomu wala mawe bali tunaipiga ili kuathiri mapato ya Serikali. Tukifanikiwa hata kwa 10% itakuwa ni pigo kubwa sana. Ukinunua chochote usiombe risiti, miamala susia tafuta mbadala, starehe au unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara punguza. Safari zako kama inawezekana tumia boda ili uepuke kununua petroli iliyo na kodi kubwa sana. Hakuna sababu ya kumwaga damu ya Mtanzania yeyote yule lakini tunaweza kuiathiri pale panapohusu zaidi.

Kumbe ndio maana wametoka nje kupayuka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…eti ratia ziliingiliana
 
Angalia hizi kauli!Serikali ya Tanzania huwa inaamini kuwa wananchi ni wajinga kupindukia.
 
Best nisaidie jinsi ya kuingia space ya Maria Sarungi
 
Reactions: BAK
Hivi huyu anaeupiga mwingi atataka tena 2025...? Nitamshangaa na kushangaa sana...ccm pia nitawashangaa sana
 
Uko Twitter? Saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki nenda kwenye page yake utaiona kidirisha cha Maria space na kuna mahali imeandikwa join click hapo kisha utaona message start listening click hapo. Juu kabisa mkono wa kulia utaona message leave. Ukitaka kutoka click hapo.
Best nisaidie jinsi ya kuingia space ya Maria Sarungi
 
πŸ™πŸΎShukran
 
Reactions: BAK
Naam, Tanzania inayoongozwa na wanafiki, waongo, wezi wa kura wasio na uhalali wa kuwepo madarakani. Utawajua tu kwa kauli zao za kimagumashi na vitendo vyao
 
Reactions: BAK
Kwa hiyo wanaongangania madaraka kwa gharama yeyote hata kuua wananchi ili tu wasitoke madarakani, siyo walafi wa madaraka.? Ila wanaotaka kuingia madarakani kwa ridhaa ya wananchi ndio walafi? Nonsense and stupid comment.
 
Kwa hiyo wanaongangania madaraka kwa gharama yeyote hata kuua wananchi ili tu wasitoke madarakani, siyo walafi wa madaraka.? Ila wanaotaka kuingia madarakani kwa ridhaa ya wananchi ndio walafi? Nonsense and stupid comment.
ccm kila miaka mitano mabadiliko ya viongozi yapo chadema ni lini mlibadirisha mwenyekiti?mkpewanchi mtaua kila kitu na democrasia
 
kuna siku itafika tu huu ujinga wa wanasiasa na police utafika kikomo cjui mataga wataweka wapi sura zao cku hyo....cjui ni lini lakin ipo tu cku yao ujinga ukishatoka kwa baadhi ya watanzania tutaongea lugha moja.

wait and see
Ni lini siku hiyo? Mwakani au 2035?
 
Samia aendelee kuonea wapinzani kwa sababu kashika Bunduki na Mabomu,wala siye hatuna shida ya kukutana na Samia,hana faida yoyote kwa Taifa aende zake huko
Sasa tusiskie kelele hapa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na wewe tukuite raia anae wajibika kwa nchi yake kweli? Mm hapana wewe ni raia anaewajibika kwa tumbo lake.
 
Unachekesha. Hivi unaweza kutuambia, katika kura za maoni za ccm 2020, pamoja na vitendo lukuki vya utoaji na upokeaji rushwa, iweje TAKUKURU walikaa kando? Wengine tuliwasikia kwenye clip wakijinadi jinsi walivyogawa bahasha.
Unafikiri kwa nini serikali ya ccm inatoa sh. Milioni 200 kwa wabunge kama kiinua mgongo? Hizo ni mtaji wao wa rushwa. Sasa kama rushwa ndio imetamalaki hivyo, hiyo katiba bora kabisa iliyopendekezwa na Tume ya Warioba ndiyo ingetoa muarobaini wa kweli wa rushwa. Huko kununua haki unakosema, ingekuwa historia.
Lakini wewe inaonekana unafaidika na mfumo wa sasa wa upigaji
 
Hahahaahahahahaahahah

Wewe huna cha kumwambia mama. Tafuta hela ule na watoto utulie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…