Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

Wataalamu wa masuala ya madawa ya kulevya wanadai kuacha madawa ya kulevya kama cocaine ndiyo suala gumu mno mnoo...wanadai kias cha starehe unayopata katika kusisimuliwa misuli ya mwili kwa ngono ni units ndogo sana kuliko kias cha starehe utakayopata kwa kusisimuliwa misuli ya fahamu ukitumia madawa ya kulevya.ni zaidi ya mara kumi wanavyodai.mpaka sasa hakuna rehab house ya kuacha pombe au sigara au kiti moto ila kuna rehab house kwa ajili ya madawa ya kulevya hasa cocaine...almost neary to impossible kuacha hiyo makitu..weka mbali na wakubwa kwa watoto .,wazee kwa vijana
 
Mbona zipo rehab za pombe?
 
Kwenye ulozi, namwita Mshana Jr, yeye alitumbia ameacha.
Je aliwazaje?
 
Sigara sawa kuacha yaitaji mtu kujikata kabisa.Puli nayo kuacha ni rahisi Sana yaitaji uwe n msichana ambaye ukimuhitaji mdaa wwt anakuja,pombe zipo dawa zakuacha pia,
Pombe mkuu, imeniumiza kisaikolojia kwa miaka zaidi ya 5, kwa sasa nina miezi miwili.. Napambana nayo, nitatoboa hata punyeto pia.

Ila betting na kitimoto sitoacha..hahaha
 
Hii niliwahi sikia, wakat unaejaculate kale ni karaha kadogo sanaaa.

Ndio maana wazee wa unga mpaka udenda unatoka kwa marahaaaa alafu umuachishe, we acha kabisa.
 
Pombe mkuu, imeniumiza kisaikolojia kwa miaka zaidi ya 5, kwa sasa nina miezi miwili.. Napambana nayo, nitatoboa hata punyeto pia.

Ila betting na kitimoto sitoacha..hahaha
Pombe ni noma, mwaka wa 12 ila hakuna kukata tamaa. Betting niliiogopa toka mwanzo na ivyo vingine sio sana. Ukiwa na addiction mbili na zaidi kwa mara moja lazima ufe maskini.
 
Wakristo gani wnaosema Kitimoto ni haramamu...???? Una maruwani ehh

Wanaotumia Biblia wote na kuifuta na wanaotumia Quran wote na kuifuata wanajua Nguruwe ni haramu kulingana na maagizo ya huyo Mungu wa hivyo vitabu.

Achana na Hawa Wakristo wanaofuata tamaa zao na mashauri ya viongozi wao, hao wanakula chochote kulingana na matakwa ya Nafsi Yao.
 
Dah. Fegi fegi fegi! Aisee, maub waanze kuzitengeneza fupi fupi.
 
Yote nafanya hakuna nilichoshindwa kujizuia vyote vina nafasi katika maisha yangu sababu navifanya kwa sababu UKUM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…