Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Betting hatari imenilia cash zangu hatariBetting nayo noma ukianza
Nakumbuka baada ya kuweka nia ya kuacha kwa muda mrefu, hatimae mara ya mwisho niliamua kupiga puli kwa kutumia pilipili mbichi, yapata miaka zaidi ya 8 sasa ila ikitimia 10 ndio nitaamini kweli nimeacha.Nyeto babalao
Nilikuwa nashangaa eti waliooa nao wanapiga,nikawa najiwazia wanawezaje lakin kumbe inawezekana kabisa
Unajua inawezekanaje,kama unapenda kumtia mkeo mpaka aridhike unajua anahitaji maandaliz mengi sana na unatakiwa ujiandae wewe usipate raha sana maana yake unatumia nguvu nyingi na muda mpaka kumfikisha anapostahili kwahyo ili kukwepa huo mlolongo siku zingine unaamua kujimaliza mwenyew tu
Wasabato wanaipiga vita Kitimoto na vifungu wanakupa kutoka kwenye vitabu vya Waefeso, Wakorinto, Wagalatia, Wafilipi, Wathethalonike pamoja na WakolosaiWakristo gani wnaosema Kitimoto ni haramamu...???? Una maruwani ehh
Wasabato siyo Wakristo... full stop and long breakWasabato wanaipiga vita Kitimoto na vifungu wanakupa kutoka kwenye vitabu vya Waefeso, Wakorinto, Wagalatia, Wafilipi, Wathethalonike pamoja na Wakolosai
Punyeto, Sigara, Pombe, Uzinzi na Kuchepuka, Madawa ya kulevya... ukimpokea Yesu sawa na kukubali maisha yako yaongozwe na Roho Mtakatifu. Uwe na uhakika haya utashinda na utakuwa mtu mzuri tu.Kwema Wakuu!
Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;
1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.
2. Kitimoto
Huyu mnyama licha ya kupigwa vita na dini karibu zote, sio Waislam, sio Wakristo vitabu vyote vinaeleza kuwa ni najisi na haliwi lakini ukishakula nyama yake kutoka ni ngumu.
3. Sigara
Inasemekana ni rahisi kuacha pombe lakini mziki wa sigara sio mchezo. Kuacha mpaka uombewe.
4. Pombe
5. Chipsi Yai
Hiki chakula tuacheni masikhara ni kitamu kuliko vyakula vingi, hata Baga na pizza havioni ndani.
Licha ya kupigwa vita hasa Kwa wanaume lakini hiki chakula sio leo wala kesho kuachwa kuliwa.
Chips zege Kwa wanawake kuacha ni kitu ambacho hakiwezrkaniki,
6. Uzinzi na Kuchepuka
Ukishaanza kuchepuka kuacha ni kazi kubwa Sana.
Hakuna raha ya Mapenzi Kwa wanaume hasa Kwa mwanamke usiye na uhakika naye. Ukishajiingiza kwenye uzizi kutoka ni KAZI Sana.
7. Madawa ya kulevya
8. Ulozi
Wataalamu wa mambo wanakuambia ukijiingiza kwenye ulozi kutoka hutotaka utoke. Tena ukishaanza Kula nyama za watu.
Ongezea mengine
Smart phoneKwema Wakuu!

😂Songesha
Usimsingizie ibilisi we padriMimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
Hapo ni vitu vinne tu ndiyo vina arosto ya kutosha kuweza kusumbua mtu kuacha naweza kusapoti.Kwema Wakuu!
Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;
1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.
2. Kitimoto
Huyu mnyama licha ya kupigwa vita na dini karibu zote, sio Waislam, sio Wakristo vitabu vyote vinaeleza kuwa ni najisi na haliwi lakini ukishakula nyama yake kutoka ni ngumu.
3. Sigara
Inasemekana ni rahisi kuacha pombe lakini mziki wa sigara sio mchezo. Kuacha mpaka uombewe.
4. Pombe
5. Chipsi Yai
Hiki chakula tuacheni masikhara ni kitamu kuliko vyakula vingi, hata Baga na pizza havioni ndani.
Licha ya kupigwa vita hasa Kwa wanaume lakini hiki chakula sio leo wala kesho kuachwa kuliwa.
Chips zege Kwa wanawake kuacha ni kitu ambacho hakiwezrkaniki,
6. Uzinzi na Kuchepuka
Ukishaanza kuchepuka kuacha ni kazi kubwa Sana.
Hakuna raha ya Mapenzi Kwa wanaume hasa Kwa mwanamke usiye na uhakika naye. Ukishajiingiza kwenye uzizi kutoka ni KAZI Sana.
7. Madawa ya kulevya
8. Ulozi
Wataalamu wa mambo wanakuambia ukijiingiza kwenye ulozi kutoka hutotaka utoke. Tena ukishaanza Kula nyama za watu.
Ongezea mengine
😆😆😆😆Usimsingizie ibilisi we padri
(.)/// si ndiyo?Wasabato siyo Wakristo... full stop and long break
Boss.Sugaring,chumvi
Hivyo vitu vyote karibia ulivyovitaja
Ni addiction ,na matibabu yake unapewa sawa na mtumiaji wa madawa ya kulevya
Ova