Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

Hiyo ya kitimoto ni kweli kabisa tena kuna wakati huwa na fikiria hayo makatazo ya dini na vitabu mbalimali vya kuzuia ulaji wa kitumoto ndivyo vimefanya huyu mnyama kuendelea kuwepo kwenye uso wa dunia, vinginevyo angeshatoweka duniani au bei yake ingekuwa kubwa sana ili kupunguza kasi ya walaji ili kumlinda asitoweke.
 
Mimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
Tukomboke ktk Hili
 
Pombe mkuu, imeniumiza kisaikolojia kwa miaka zaidi ya 5, kwa sasa nina miezi miwili.. Napambana nayo, nitatoboa hata punyeto pia.

Ila betting na kitimoto sitoacha..hahaha
Pombe mixa Nyeto [emoji23] unakua kama mfu
 
Mimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
Ibilisi akikukamata huchomoki aisee
 
Nyeto bado sijaacha.

Inaniwezesha kugonga Wanawake idadi yoyote Ile ,umri wowote ule kwa muda ninaotaka. Nafanya haya yote kwa sababu nalinda damu yangu isiingiliwe na magonjwaa. Na nikipata demu bao la kwanza hata kama na wenge kiasi Gani lazima litoke baada ya yeye kulowa ukeni kwa maji mengi, bao la kwanza huwa namwaga na kuunganisha, the time nimeunganishaa hamu ya mapenzi hupotea kwa sababu nakuwa teali nimemwaga na uume unataka kulala so napambana kuzuia uume usilale, so nitaendelea kumlizisha yeye kwanza kwa dk kama 15 then uume hupata nguvu Tena ukiwa ndani ya uke, then hamu ya ngono hurudi Tena pasipo mwanamke kunote kitu chochote.

Asee round ya pili kumwaga hunichukua muda sanaa Hadi mwanamke aseme nimechoka, asilimia kubwa wakati nafanya ngono natumia akili 80% na hisia 20% so kwa mwanamke kunigundua ni kazi sana , kwa sababu asilimia 80% natumia akili kuhack ubongo wake, then asilimia 20% natumia hisia ili namimi nipate Raha ya ngono.

Madhara ya nyeto mala nyingi napoteza concentration na kumbukumbu kwa haraka, ila faida yake kubwa inaniepushaa na tamaa ya ngono zembe maana Kuna kupataa maradhi ya damu.

Kuiacha ni rahisi sana ukipata mwanamke wa karibu mkaishi wote na ukaridhika nae kingono.
napambana na mimi niiache. ili vingine ulivyotaja sijawa addicted kabisa
Kabisa umeongea ukweli
 
Back
Top Bottom