mosses15
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 992
- 2,266
Uraibu wa betting ni hatari aisee.Mkuu unaijua KAMARI (BETTING)[emoji137]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uraibu wa betting ni hatari aisee.Mkuu unaijua KAMARI (BETTING)[emoji137]
SabathWakristo gani wnaosema Kitimoto ni haramamu...???? Una maruwani ehh
Addiction mbaya sana hii, japo hupuuzwaMitandao ya kijamii,,,(Facebook, Instagram, TikTok, Whatsapp) inatuchukuliwa mda mwingi sana wa kufanya mambo mengne productive,,,na kutumalizia hela za bando tu
Ulitumia njia gani, mpaka useme rahisiMimi pombe niliacha. Pombe ni rahisi kuacha ila sigara Sina idhoefu kabisa ila vingine ni noma
Na hela uwe nayo maana mbususu haiuzwi wala sio bure ndio wasemavyo warembo wa jfSa kupata msichana wa kukupa mbunye mda wowote ndio ugumu wenyewe huo..
Mana inabd uwe unambato si chini ya siku 4 kwa wiki
Kuna siku tupo na washikaji, tunajiuliza ikiwa sisi watu wazima hii mitandao tunashindwa kuitawala, je wadogo zetu wa primary, o level, a level na chuo inakuaje..Addiction mbaya sana hii, japo hupuuzwa
Utafika kwa SIR GOD uko hoiMimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
NiliokokaUlitumia njia gani, mpaka useme rahisi
Ni maamuzi tu. Hakunaga dawa ya kuacha pombe ila maamuzi tuUlitumia njia gani, mpaka useme rahisi
Wasabato siyo Wakristo....Sabath
Upo sawa kabisa... SDA ni moja ya xtian Cult, zingine Jehova witness, Mormon, na Xtian ScientologyWasabato wana pinga, ila nachojua mimi wasabato na hizi cult religion's hazi hesabiki kama wakristo.
Ndio maana nimekuambia wewe una maruwaniWanaotumia Biblia wote na kuifuta na wanaotumia Quran wote na kuifuata wanajua Nguruwe ni haramu kulingana na maagizo ya huyo Mungu wa hivyo vitabu.
Achana na Hawa Wakristo wanaofuata tamaa zao na mashauri ya viongozi wao, hao wanakula chochote kulingana na matakwa ya Nafsi Yao.
Betting ni ulaibu mbaya Sana SanaBetting nayo noma ukianza
mkuu Robert, hii Punyeto kuiweka namba 1 unamaanisha ndio king'ang'anizi sanaa na ngumu zaidi kwa muhusika kuachana nayo au uliiorodhesha tu hapo bila kuthaminisha kwa namba!?Kwema Wakuu!
Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;
1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.
2. Kitimoto
Huyu mnyama licha ya kupigwa vita na dini karibu zote, sio Waislam, sio Wakristo vitabu vyote vinaeleza kuwa ni najisi na haliwi lakini ukishakula nyama yake kutoka ni ngumu.
3. Sigara
Inasemekana ni rahisi kuacha pombe lakini mziki wa sigara sio mchezo. Kuacha mpaka uombewe.
4. Pombe
5. Chipsi Yai
Hiki chakula tuacheni masikhara ni kitamu kuliko vyakula vingi, hata Baga na pizza havioni ndani.
Licha ya kupigwa vita hasa Kwa wanaume lakini hiki chakula sio leo wala kesho kuachwa kuliwa.
Chips zege Kwa wanawake kuacha ni kitu ambacho hakiwezrkaniki,
6. Uzinzi na Kuchepuka
Ukishaanza kuchepuka kuacha ni kazi kubwa Sana.
Hakuna raha ya Mapenzi Kwa wanaume hasa Kwa mwanamke usiye na uhakika naye. Ukishajiingiza kwenye uzizi kutoka ni KAZI Sana.
7. Madawa ya kulevya
8. Ulozi
Wataalamu wa mambo wanakuambia ukijiingiza kwenye ulozi kutoka hutotaka utoke. Tena ukishaanza Kula nyama za watu.
Ongezea mengine
Amna Mtu anaye Piga puli au addicted nauwo mchezo akimuingilia mwanamke kuanzia bao ya pili anaweza asimwage mbk demu aseme kw sbb uyo mtu ume wake umezoea ngozi ngumu na kipenyo cha kujikadilia so ningumu kumwaga kwa Alaka Pia ahisi utamu wa ngono km akipiga puliNyeto babalao
Nilikuwa nashangaa eti waliooa nao wanapiga,nikawa najiwazia wanawezaje lakin kumbe inawezekana kabisa
Unajua inawezekanaje,kama unapenda kumtia mkeo mpaka aridhike unajua anahitaji maandaliz mengi sana na unatakiwa ujiandae wewe usipate raha sana maana yake unatumia nguvu nyingi na muda mpaka kumfikisha anapostahili kwahyo ili kukwepa huo mlolongo siku zingine unaamua kujimaliza mwenyew tu