Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

Addiction mbaya sana hii, japo hupuuzwa
Kuna siku tupo na washikaji, tunajiuliza ikiwa sisi watu wazima hii mitandao tunashindwa kuitawala, je wadogo zetu wa primary, o level, a level na chuo inakuaje..

Hawana majukumu, ni hatari sana kizazi hiki, ila watu tunachukulia poa.

Nina mshikaji yeye insta anabidi atumie website tu, ataki app, na tiktok unailimit muda ila ukiisha unaongeza tena muda.

Social netwrk ni hatariii mnooo
 
Mimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
Utafika kwa SIR GOD uko hoi
 
Wasabato wana pinga, ila nachojua mimi wasabato na hizi cult religion's hazi hesabiki kama wakristo.
Upo sawa kabisa... SDA ni moja ya xtian Cult, zingine Jehova witness, Mormon, na Xtian Scientology
 
Ndio maana nimekuambia wewe una maruwani
 
Nyeto babalao

Nilikuwa nashangaa eti waliooa nao wanapiga,nikawa najiwazia wanawezaje lakin kumbe inawezekana kabisa

Unajua inawezekanaje,kama unapenda kumtia mkeo mpaka aridhike unajua anahitaji maandaliz mengi sana na unatakiwa ujiandae wewe usipate raha sana maana yake unatumia nguvu nyingi na muda mpaka kumfikisha anapostahili kwahyo ili kukwepa huo mlolongo siku zingine unaamua kujimaliza mwenyew tu
 
1. Kuingia chumvini. Hii kitu hata Kama mwanamke hajaoga lazima uzame.
2. Mawaziri kupiga madili makubwa makubwa hasa wizara za fedha, maliasili, madini, tamisemi na ujenzi. Hata Kama mtu anamiliki magorofa Kariakoo. Kuwacha mpaka atenguliwe.
 
mkuu Robert, hii Punyeto kuiweka namba 1 unamaanisha ndio king'ang'anizi sanaa na ngumu zaidi kwa muhusika kuachana nayo au uliiorodhesha tu hapo bila kuthaminisha kwa namba!?
 
Amna Mtu anaye Piga puli au addicted nauwo mchezo akimuingilia mwanamke kuanzia bao ya pili anaweza asimwage mbk demu aseme kw sbb uyo mtu ume wake umezoea ngozi ngumu na kipenyo cha kujikadilia so ningumu kumwaga kwa Alaka Pia ahisi utamu wa ngono km akipiga puli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…