Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

Hiyo ya kitimoto ni kweli kabisa tena kuna wakati huwa na fikiria hayo makatazo ya dini na vitabu mbalimali vya kuzuia ulaji wa kitumoto ndivyo vimefanya huyu mnyama kuendelea kuwepo kwenye uso wa dunia, vinginevyo angeshatoweka duniani au bei yake ingekuwa kubwa sana ili kupunguza kasi ya walaji ili kumlinda asitoweke.
 
Mimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
Tukomboke ktk Hili
 
Pombe mkuu, imeniumiza kisaikolojia kwa miaka zaidi ya 5, kwa sasa nina miezi miwili.. Napambana nayo, nitatoboa hata punyeto pia.

Ila betting na kitimoto sitoacha..hahaha
Pombe mixa Nyeto [emoji23] unakua kama mfu
 
Mimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
Ibilisi akikukamata huchomoki aisee
 
Kabisa umeongea ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…