ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mnachoshindwa kuelewa ni kwamba kama ambavyo Arusha ilipendelewa na Serikali pamoja na Dar Kwa miaka minhi ndio ikavutia na Biashara zingine Hadi kujengwa hayo magorofa ndivyo na Dom itaendelea ku enjoy upendeleo wa Serikali na hivyo kuvutia zaidi sekta binafsi na kuwapiku nyie wote ndani ya miaka 10 ijayo..😀😀😀 anawasanifu kweli kweli imagine sensa ya majengo imefanyika kipindi ambacho ndio mji wa kiserikali unajengwa lakini imezidiwa magorofa zaidi ya mara 3 mapato ya tra kimkoa dom imezidiwa mara 3 na arusha na haupo bado utalii haujachanganya vizur
Mi nawaambiaga wasubiri serikali imagine kuwajengea majengo ya wizara wakae kwa kutulia wanaume tuwaonyeshe kaz
Ukitoka Dar,Dom ndio Jiji linajengwa Kwa Kasi magorofa ya private sector na Serikali Kwa Sasa kiasi kwamba Hadi sensa ijayo itaipita Arusha na kuwa ya pili baada ya Dar.. Tukutane 2032.