ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Mkuu mimi pia mwenyeji Ar jamaa ana hoja sio wa kumpuuza ni kweli barabara karibia zote ni nyembamba mfano kutoka clock tower kwenda mbauda barabara sio ya hadhi ya mji kama Ar.Kwenu ni wapi, we ni wa kuachwa tu uendelee na upumbavu na wivu wako. Ktk hivyo vitu ulivyovitaja mji wa Arusha unaulinganisha na mji upi hapa nchini. We poyoyo hufahamu nchi hii. Barabara nyembamba ulikuwa na futi kamba kuzipima? Nataka niwajulishe watanzania ambao hawajafika Arusha, Mjini kati yaani ndani ya CBD ya Arusha hakuna barabara ya vumbi naweza kusema hata moja tofauti na miji mingine hapa nchini. We una kale kaugonjwa kachuki, ila ndg yangu anayejenga miundo mbinu ni serikali na nchi yetu serikali ni moja.
Pia barabara za mitaa ni nyembamba sana ukiacha ile ya uzunguni toka sanawri hadi impala, barabara za mitaa ni nyembamba kwa kasi ya ukuaji wa mji sio siku nyingi folen zitakuwa kama Dar. Mji unahitaji barabara quality na wide kama hii ya toka tengeru hadi Ngaramtoni