Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.

  • Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
  • Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
  • Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
  • Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
  • Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!

Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Arusha haina ukitovu wowote wa mambo ya Kimataifa labda Utalii.

Pili mgawanyo wa rasilimali unatakiwa ufuate mchango wa Mkoa husika kwenye Pato la Taifa.
 
Mi nakuonaga unafact kumbe ndezi tu, Yani ni aheri kitombile wa mwanza we ni zumbukuku wa mwisho 🤣🤣Kuna mkoa Tanzania hii Kuna ofisi nyingi za kimataifa kuliko Arusha??
 
📌📌🔨 Arusha haina ukitovu wowote.Turudi kwenye drawing board Kila Mkoa upate unachostahili.

Arusha mtapata kidogo hata Geita itawashinda 🤪🤪

Arusha ndio mnakula keki ya Mbeya kenge nyie.
 
Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.

  • Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
  • Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
  • Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
  • Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
  • Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!

Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Makusanyo yanaendaa wapi !?? Haujui au unatania!?? ... Haujui kwamba mapato yote Tanzania yanaendaa Benki Kuu(Serikali kuu) ndio wawapangie matumizi...si mlimsifu Jiwe .... Twendeni hivihivi....
 
📌📌🔨 Arusha haina ukitovu wowote.Turudi kwenye drawing board Kila Mkoa upate unachostahili.

Arusha mtapata kidogo hata Geita itawashinda 🤪🤪

Arusha ndio mnakula keki ya Mbeya kenge nyie.
Anaekula keki ya taifa ni dodoma kutengeneza mji mkuu mpya zama hizi kwa nchi maskini kama yeti lazima miundombinu ya sehemu zingine itayumba, tayari kulikua na bunge dodoma kwanini tusingefanya kama south Africa tuwe na miji mikuu miwili hadi mitatu ikibidi badala yake tunaenda kujenga majengo mengine na kuyaacha yaliyokuwepo magofu, tunavyoongea muda huu Kuna Barbara dom hazina hata magari zinasubiri watu outer ringroad peke yake imegharimu zaidi ya bl 250 lakini tunduma border hadi Leo magari hayatembei tungeweza kuanza na hiyo kwanza lakini tatizo wewe ni team dodoma🤣🤣 huwezi kuargue
 
Wivu tu na mbeya yako😄😄
Ila mbona mnawekewa njia 4 igawa hadi tunduma na flyover pale mafiat, uwanja wa songwe ni mkubwa kuliko mwanza jumlisha mradi wa tactic ukikamilika mbona mbeya itakua poa tu
Tunastahili zaidi ya hako kamradi kamoja.Tunachangia Uchumi wa Tzn Kwa Trilion 9.5 Third in Tanzania harafu unazungumzia hako ka road kamoja?

Huko Arusha mnajengewa viwanja wakati hamna hata timu Championship ,Mbeya tuna timu 2 Ligi kuu na 3 championship likewise kwenye sekta zingine.

Nyie mafisi ndio mnakula pesa ya Mbeya,turudi kwenye meza tugawane Upya pumbavu sana.
 
Machadema yamewetelekeza imagine miaka 15 yupo Lema hakuna anachofanya.

Mbeya hatutaki ujinga baada ya kumpiga Chini Sugu Sasa walau Kuna Dalili zinaonekana.
Kwani mbunge wa Arusha ni nani ?
Kuna jimbo nchi hii mbunge hatokei ccm Tena ukiachana na like la nkasi
 
Tunastahili zaidi ya hako kamradi kamoja.Tunachangia Uchumi wa Tzn Kwa Trilion 9.5 Third in Tanzania harafu unazungumzia hako ka road kamoja?

Huko Arusha mnajengewa viwanja wakati hamna hata timu Championship ,Mbeya tuna timu 2 Ligi kuu na 3 championship likewise kwenye sekta zingine.

Nyie mafisi ndio mnakula pesa ya Mbeya,turudi kwenye meza tugawane Upya pumbavu sana.
Ndio maana nakwambia wewe ni zumbukuku 😄 Arusha Kuna timu mbili championship tma na mbuni mbeya Kuna timu mbili mbeya city na kengold mbeya kwanza ilishauzwa kitambo ni timu ya mtwara
 
Timu ya Mtwara yet inatumia jina la Mbeya? 😁😁 Ona huyu mbuzi.

Harafu hakuna timu itakayopanda Daraja kutoka Arusha ,mnachoweza ni bangi na kuvaa maviati makuubwa kama mafurushi ya mavi.

Turudi kwenye mada,tabia ya upendeleo wa vimikoa vya kishenzi ikome mara Moja.
 
Kwani mbunge wa Arusha ni nani ?
Kuna jimbo nchi hii mbunge hatokei ccm Tena ukiachana na like la nkasi
Baada ya Gambo ndio maana hata stand na Barabara mtapata awamu hii vinginevyo mngeendelea na bangi zenu na kina Lema 🤪🤪
 
Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.

  • Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
  • Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
  • Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
  • Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
  • Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!

Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Uko sahihi kabisa

Poor roads, Hakuna mitaro, mipango miji Iko poor na pi Kuna uchafu sana
 
Timu ya Mtwara yet inatumia jina la Mbeya? 😁😁 Ona huyu mbuzi.

Harafu hakuna timu itakayopanda Daraja kutoka Arusha ,mnachoweza ni bangi na kuvaa maviati makuubwa kama mafurushi ya mavi.

Turudi kwenye mada,tabia ya upendeleo wa vimikoa vya kishenzi ikome mara Moja.
🤣🤣
 
Anayependelea ni nani ilhali hatujawah kuwa na raisi kutoka Arusha hakuna waziri hata mmoja serikalini anayetoka huko??
Na sio nyie ndio mnaotucheka hatuna stendi Wala miundombinu 🤣🤣
 
Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.

  • Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
  • Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
  • Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
  • Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
  • Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!

Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
cc iran RAMON
 
Anayependelea ni nani ilhali hatujawah kuwa na raisi kutoka Arusha hakuna waziri hata mmoja serikalini anayetoka huko??
Na sio nyie ndio mnaotucheka hatuna stendi Wala miundombinu 🤣🤣
Hawa wavivu wakiona Arusha iko vibrant wanadhani serikali inabeba ilhali wakati Arusha watu wanachapa kazo wao wanarogana na kuoa na kuacha kila kukicha
 
Tatizo jiji la Arusha lina siasa za kiwaki sana hasa ndani ya CCM wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom