Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arusha haina ukitovu wowote wa mambo ya Kimataifa labda Utalii.Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
- Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
- Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
- Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
- Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
- Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!
Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Mi nakuonaga unafact kumbe ndezi tu, Yani ni aheri kitombile wa mwanza we ni zumbukuku wa mwisho 🤣🤣Kuna mkoa Tanzania hii Kuna ofisi nyingi za kimataifa kuliko Arusha??Arusha haina ukitovu wowote wa mambo ya Kimataifa labda Utalii.
Pili mgawanyo wa rasilimali unatakiwa ufuate mchango wa Mkoa husika kwenye Pato la Taifa.
📌📌🔨 Arusha haina ukitovu wowote.Turudi kwenye drawing board Kila Mkoa upate unachostahili.Mi nakuonaga unafact kumbe ndezi tu, Yani ni aheri kitombile wa mwanza we ni zumbukuku wa mwisho 🤣🤣Kuna mkoa Tanzania hii Kuna ofisi nyingi za kimataifa kuliko Arusha??
Makusanyo yanaendaa wapi !?? Haujui au unatania!?? ... Haujui kwamba mapato yote Tanzania yanaendaa Benki Kuu(Serikali kuu) ndio wawapangie matumizi...si mlimsifu Jiwe .... Twendeni hivihivi....Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
- Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
- Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
- Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
- Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
- Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!
Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Anaekula keki ya taifa ni dodoma kutengeneza mji mkuu mpya zama hizi kwa nchi maskini kama yeti lazima miundombinu ya sehemu zingine itayumba, tayari kulikua na bunge dodoma kwanini tusingefanya kama south Africa tuwe na miji mikuu miwili hadi mitatu ikibidi badala yake tunaenda kujenga majengo mengine na kuyaacha yaliyokuwepo magofu, tunavyoongea muda huu Kuna Barbara dom hazina hata magari zinasubiri watu outer ringroad peke yake imegharimu zaidi ya bl 250 lakini tunduma border hadi Leo magari hayatembei tungeweza kuanza na hiyo kwanza lakini tatizo wewe ni team dodoma🤣🤣 huwezi kuargue📌📌🔨 Arusha haina ukitovu wowote.Turudi kwenye drawing board Kila Mkoa upate unachostahili.
Arusha mtapata kidogo hata Geita itawashinda 🤪🤪
Arusha ndio mnakula keki ya Mbeya kenge nyie.
Tunastahili zaidi ya hako kamradi kamoja.Tunachangia Uchumi wa Tzn Kwa Trilion 9.5 Third in Tanzania harafu unazungumzia hako ka road kamoja?Wivu tu na mbeya yako😄😄
Ila mbona mnawekewa njia 4 igawa hadi tunduma na flyover pale mafiat, uwanja wa songwe ni mkubwa kuliko mwanza jumlisha mradi wa tactic ukikamilika mbona mbeya itakua poa tu
Machadema yamewetelekeza imagine miaka 15 yupo Lema hakuna anachofanya.Jiji limeoza kwa kuongozwa na viongozi wa hovyo
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwani mbunge wa Arusha ni nani ?Machadema yamewetelekeza imagine miaka 15 yupo Lema hakuna anachofanya.
Mbeya hatutaki ujinga baada ya kumpiga Chini Sugu Sasa walau Kuna Dalili zinaonekana.
Ndio maana nakwambia wewe ni zumbukuku 😄 Arusha Kuna timu mbili championship tma na mbuni mbeya Kuna timu mbili mbeya city na kengold mbeya kwanza ilishauzwa kitambo ni timu ya mtwaraTunastahili zaidi ya hako kamradi kamoja.Tunachangia Uchumi wa Tzn Kwa Trilion 9.5 Third in Tanzania harafu unazungumzia hako ka road kamoja?
Huko Arusha mnajengewa viwanja wakati hamna hata timu Championship ,Mbeya tuna timu 2 Ligi kuu na 3 championship likewise kwenye sekta zingine.
Nyie mafisi ndio mnakula pesa ya Mbeya,turudi kwenye meza tugawane Upya pumbavu sana.
Timu ya Mtwara yet inatumia jina la Mbeya? 😁😁 Ona huyu mbuzi.Ndio maana nakwambia wewe ni zumbukuku 😄 Arusha Kuna timu mbili championship tma na mbuni mbeya Kuna timu mbili mbeya city na kengold mbeya kwanza ilishauzwa kitambo ni timu ya mtwara
Baada ya Gambo ndio maana hata stand na Barabara mtapata awamu hii vinginevyo mngeendelea na bangi zenu na kina Lema 🤪🤪Kwani mbunge wa Arusha ni nani ?
Kuna jimbo nchi hii mbunge hatokei ccm Tena ukiachana na like la nkasi
Uko sahihi kabisaMiundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
- Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
- Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
- Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
- Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
- Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!
Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Ngoja tuone😄 maanake mama sio mbaguziBaada ya Gambo ndio maana hata stand na Barabara mtapata awamu hii vinginevyo mngeendelea na bangi zenu na kina Lema 🤪🤪
🤣🤣Timu ya Mtwara yet inatumia jina la Mbeya? 😁😁 Ona huyu mbuzi.
Harafu hakuna timu itakayopanda Daraja kutoka Arusha ,mnachoweza ni bangi na kuvaa maviati makuubwa kama mafurushi ya mavi.
Turudi kwenye mada,tabia ya upendeleo wa vimikoa vya kishenzi ikome mara Moja.
Anayependelea ni nani ilhali hatujawah kuwa na raisi kutoka Arusha hakuna waziri hata mmoja serikalini anayetoka huko??Timu ya Mtwara yet inatumia jina la Mbeya? 😁😁 Ona huyu mbuzi.
Harafu hakuna timu itakayopanda Daraja kutoka Arusha ,mnachoweza ni bangi na kuvaa maviati makuubwa kama mafurushi ya mavi.
Turudi kwenye mada,tabia ya upendeleo wa vimikoa vya kishenzi ikome mara Moja.
cc iran RAMONMiundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
- Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
- Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
- Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
- Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
- Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!
Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Majengo gani serikali imejengea Arusha??Kila siku mnajengewa majengo nyie Arusha ,toa kelele zako hapa!
Hawa wavivu wakiona Arusha iko vibrant wanadhani serikali inabeba ilhali wakati Arusha watu wanachapa kazo wao wanarogana na kuoa na kuacha kila kukichaAnayependelea ni nani ilhali hatujawah kuwa na raisi kutoka Arusha hakuna waziri hata mmoja serikalini anayetoka huko??
Na sio nyie ndio mnaotucheka hatuna stendi Wala miundombinu 🤣🤣