Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Kwenu ni wapi, we ni wa kuachwa tu uendelee na upumbavu na wivu wako. Ktk hivyo vitu ulivyovitaja mji wa Arusha unaulinganisha na mji upi hapa nchini. We poyoyo hufahamu nchi hii. Barabara nyembamba ulikuwa na futi kamba kuzipima? Nataka niwajulishe watanzania ambao hawajafika Arusha, Mjini kati yaani ndani ya CBD ya Arusha hakuna barabara ya vumbi naweza kusema hata moja tofauti na miji mingine hapa nchini. We una kale kaugonjwa kachuki, ila ndg yangu anayejenga miundo mbinu ni serikali na nchi yetu serikali ni moja.
Acha kutetea uozo hta kama arusha ni mji wako pendwa

Maana haiwezekani watu ishirini wamuunge mkono mleta mada halafu we umpinge bila ya ushahidi

Labda nikuulize swali stand kuu ya arusha ipo wapi na iko na hali gani kwa sasa?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
We acha tu, leo mtu anakuja kudhiaki eti barabara ya lami nyembamba, kwani huko arusha kuna foleni gani? Watu wanataka hata barabara za changarawe wanaishia kuziona kwenye tv.
Kuna Wilaya nimetembea, kuanzia Mkoa wa Jirani kuingia kwao pana umbali wa kilomita zaidi ya 100 ni rough road. Ningekuwa na gari ya chini chini huenda ningevunja mabampa yote ya mbele pamoja na Kuua Shockups

Ajabu ile Wilaya wanakusanya fedha nyingi za Mapato Serikalini maana wana Migodi zaidi ya 3.
 
Mkuu wajinga wapo wengi sana.
 
Kuna vitu serikali kuu ianatakiwa ifanye na kuna vingine mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya
 
Tumepiga kelele sana humu ila watu wanakuwa chawa kwa kushangilia ujinga.

Tumesema Arusha ni jiji linalochangamka halina stendi; Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ambaye kwa sasa ni mbunge Mh. Gambo akiwa mkuu wa mkoa na viongozi wengine wamekuwa wanatengeneza njia ya upigaji kupitia ujenzi wa stendi.

Arusha inavutia ukiwa barabara kuu za mitaa ila ukichepuka kidogo tu ndipo utaijua vizui Arusha au kipindi hiki cha mvua.

Lile jengo la PAPU lilipokuwa linafunguliwa watu walishangilia hata leo but nashangaa, badala kulilia hata stendi wao wanafaidika na wenye majumba na biashara za hapo 'village stand'.
 
Kuna Wilaya nimetembea, kuanzia Mkoa wa Jirani kuingia kwao pana umbali wa kilomita zaidi ya 100 ni rough road. Ningekuwa na gari ya chini chini huenda ningevunja mabampa yote ya mbele pamoja na Kuua Shockups

Ajabu ile Wilaya wanakusanya fedha nyingi za Mapato Serikalini maana wana Migodi zaidi ya 3.
We acha tu wanabakiziwa mashimo ya kuwazikia, hii nchi ngumu sana.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu.

Stendi ni kilio cha Kila siku masoko ndio usiseme miundo mbinu mibovu sana.

Mfano soko la Tengeru hamna choo Wala maji. Walijenga jengo la choo pale stendi lakini mpaka Leo hakitumiki kimefungwaga watu wanajisaidia kwenye fremu zilizojengwa pembeni mwa stendi na kuachwa na wamiliki Kwa sababu hakuna biashara. Walijenga zile femu wameishia kupata hasara halmashauri kazi Yao kukusanya Kodi. Serekali saidieni Tengeru na USA hasa siku ya soko ni kero sana

Stendi yenyewe haitumiki magari yanapaki barabarani yaani siku ya soko ni tafrani tupu pale Tengeru sijui hata hao wanaopita kupeleka watalii Serena hotel Huwa wanafanyaje Mimi nakereka Kila nikipita siku ya soko watu wengi sana hapo barabarani na wanatandika vitu katikati ya barabara najiuliza kwanini wasiende kule ndani wakati hakuna watu.

Mamlaka zimekaa kimya hakuna anayefuatilia
 
Katikati ya mji ni ngumu kupata eneo Arusha.
Hakuna eneo la wazi
Kweli hii?...

Mnaona kile kijistendi cha morroco dar...wanaweza jenga kile mjini kati...haiwezi kukosa...waombe hata taasisi za serikali
 
Ni muda wa kutoka CBD
Hata stendi wakiipeleka mbali bado hapo kati kutahitajika stendi ya Daladala...

Bukoba wamefanya hivyo...wanajenga mjini kati stendi ndogo na jengo la kisasa la biashara na kule 8km from town wanajenga stendi kuu...

Msije mkafanya makosa ya Iringa, songea, Dodoma, morogoro kujenga stendi mbali na kuwatesa tena wananchi kupanda mibajaji inayopaki ovyo ovyo mjini...
Same us Dar....kariakoo hakunaga stendi ya daladala magari yanapaki ovyo hovyo barabarani
 
Mkoa wa Arusha una shida tena kubwa tuu.Wengine tulishaona na kusema lakini bado hali ni Ile Ile.
Viongozi wa Arusha karibu ngazi zote hawana nia ya dhati ya kufanya maboresho kwenye vitu kama uwepo wa stand za kisasa.Ni miaka mingi swala la stand limekuwa ni kama jambo la kufikirika TU hakuna uhalisia.
Kuna WILAYA na Manispaa hapa Tanzania Zina miundo mbinu mizuri kuliko hiyo Arusha wanayoikuza.
Na Viongozi wengi (watendaji) wanaonekana wanamizizi mirefu ya kutokutolewa hapo Arusha.
Wakazi nao wa Arusha wamezubaa sana hawajuwi mambo mazuri ukiwakuta wamejazana kwenye vipanya(vi ford) wao wanaitwa utafikiri ni watoto wadogo na Wala hawakereki na aina hiyo ya usafir.
 
Kuna Wilaya nimetembea, kuanzia Mkoa wa Jirani kuingia kwao pana umbali wa kilomita zaidi ya 100 ni rough road. Ningekuwa na gari ya chini chini huenda ningevunja mabampa yote ya mbele pamoja na Kuua Shockups

Ajabu ile Wilaya wanakusanya fedha nyingi za Mapato Serikalini maana wana Migodi zaidi ya 3.
Manzese kahama kwenda kakola
 
We acha tu, leo mtu anakuja kudhiaki eti barabara ya lami nyembamba, kwani huko arusha kuna foleni gani? Watu wanataka hata barabara za changarawe wanaishia kuziona kwenye tv.
Well said 👏
Barabara yenyewe ya kuingia stendi haina magari ikifika saa 1 usiku traffic inawaka njano tu
Kuna maeneo mengi yanahitaji huduma nchi kubwa hii hadi leo barabara ya geita kahama haina lami na ni kipande kifupi sana ingeokoa muda wa kuzungukia busisi
 
Stendi ujenzi uko unaendelea mkuu

View: https://youtu.be/7ZTH29imLeg?si=tQjKerFR1sos2l0_

Bukoba mbona iko vzr tu hasa huko vijijini....ni stendi tu na soko kuu ndo viligombaniwa..

Lakin sasa vinajengwa upya...
Sasa kunajengwa barabara za njia nne, stendi mbili na masoko matatu Bukoba...
Bukoba utakuwa mji mzr tuView attachment 2804748View attachment 2804750

Nataka arusha na nnapapenda sana bukoba pamoja na mkoa mzima wa kagera kwa sababu ni mkoa wenye potential kubwa kama tungekua makini ndio maana idd amini alikua anautaka sana na nnafurahia mafanikio yake kwa sasa acheni ushindani wa kishamba yote ni 🇹🇿
 
Back
Top Bottom