Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Katikati ya mji ni ngumu kupata eneo Arusha.Basi watafute eneo zuri katikati ya mji wajenge stendi ya Daladala
Hakuna eneo la wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katikati ya mji ni ngumu kupata eneo Arusha.Basi watafute eneo zuri katikati ya mji wajenge stendi ya Daladala
Acha kutetea uozo hta kama arusha ni mji wako pendwaKwenu ni wapi, we ni wa kuachwa tu uendelee na upumbavu na wivu wako. Ktk hivyo vitu ulivyovitaja mji wa Arusha unaulinganisha na mji upi hapa nchini. We poyoyo hufahamu nchi hii. Barabara nyembamba ulikuwa na futi kamba kuzipima? Nataka niwajulishe watanzania ambao hawajafika Arusha, Mjini kati yaani ndani ya CBD ya Arusha hakuna barabara ya vumbi naweza kusema hata moja tofauti na miji mingine hapa nchini. We una kale kaugonjwa kachuki, ila ndg yangu anayejenga miundo mbinu ni serikali na nchi yetu serikali ni moja.
Kuna Wilaya nimetembea, kuanzia Mkoa wa Jirani kuingia kwao pana umbali wa kilomita zaidi ya 100 ni rough road. Ningekuwa na gari ya chini chini huenda ningevunja mabampa yote ya mbele pamoja na Kuua ShockupsWe acha tu, leo mtu anakuja kudhiaki eti barabara ya lami nyembamba, kwani huko arusha kuna foleni gani? Watu wanataka hata barabara za changarawe wanaishia kuziona kwenye tv.
Mkuu wajinga wapo wengi sana.Acha kutetea uozo hta kama arusha ni mji wako pendwa
Maana haiwezekani watu ishirini wamuunge mkono mleta mada halafu we umpinge bila ya ushahidi
Labda nikuulize swali stand kuu ya arusha ipo wapi na iko na hali gani kwa sasa?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
We acha tu wanabakiziwa mashimo ya kuwazikia, hii nchi ngumu sana.Kuna Wilaya nimetembea, kuanzia Mkoa wa Jirani kuingia kwao pana umbali wa kilomita zaidi ya 100 ni rough road. Ningekuwa na gari ya chini chini huenda ningevunja mabampa yote ya mbele pamoja na Kuua Shockups
Ajabu ile Wilaya wanakusanya fedha nyingi za Mapato Serikalini maana wana Migodi zaidi ya 3.
Ndio huyu kawa mwanamke kabisa huko kwao mapunga kibao.Huyu ndio yule mkazi wa asili wa chuga
Kweli hii?...Katikati ya mji ni ngumu kupata eneo Arusha.
Hakuna eneo la wazi
Hata stendi wakiipeleka mbali bado hapo kati kutahitajika stendi ya Daladala...Ni muda wa kutoka CBD
Manzese kahama kwenda kakolaKuna Wilaya nimetembea, kuanzia Mkoa wa Jirani kuingia kwao pana umbali wa kilomita zaidi ya 100 ni rough road. Ningekuwa na gari ya chini chini huenda ningevunja mabampa yote ya mbele pamoja na Kuua Shockups
Ajabu ile Wilaya wanakusanya fedha nyingi za Mapato Serikalini maana wana Migodi zaidi ya 3.
Utasema haikusanyi KodiManzese kahama kwenda kakola
Well said 👏We acha tu, leo mtu anakuja kudhiaki eti barabara ya lami nyembamba, kwani huko arusha kuna foleni gani? Watu wanataka hata barabara za changarawe wanaishia kuziona kwenye tv.
Stendi ujenzi uko unaendelea mkuu
View: https://youtu.be/7ZTH29imLeg?si=tQjKerFR1sos2l0_
Bukoba mbona iko vzr tu hasa huko vijijini....ni stendi tu na soko kuu ndo viligombaniwa..
Lakin sasa vinajengwa upya...
Sasa kunajengwa barabara za njia nne, stendi mbili na masoko matatu Bukoba...
Bukoba utakuwa mji mzr tuView attachment 2804748View attachment 2804750
Hakuna haja ya kuifikia Arusha....Bukoba iwe na miundombinu bora tu ndo kinachohitajika.....
Hapa wanajenga shopping mall Bukoba...
View: https://youtu.be/u0IolZESrpI?si=jysyvHjfUaIyzDV1