Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Magufuli alijenga stand mikoa mingi Arusha akairuka,sijui alikua na shida gani na Arusha

Mama samia anaijenga stand,soko na uwanja
Mama anaupiga mwingi
Tatizo sio magufuli, pesa imetolewa miaka mingi sana ya kujenga stand, tatizo mvutano kwenye viongozi wa jiji wamejaa ulaku.

Hujui kuna wengine wako mahakamani hadi sasa?
 
Hivi mbona elimu imeingia muda mrefu sana Bukoba, nini hasa iliwachelewesha kufanya mambo makubwa?

Ubishi?
Ujuaji?
Mlipaswa kuwa mbali kuliko Arusha, Moshi nk
Lakini ukweli mko nyuma, sio stand, masoko wala miundombinu kwanini?
Stendi ujenzi uko unaendelea mkuu

View: https://youtu.be/7ZTH29imLeg?si=tQjKerFR1sos2l0_

Bukoba mbona iko vzr tu hasa huko vijijini....ni stendi tu na soko kuu ndo viligombaniwa..

Lakin sasa vinajengwa upya...
Sasa kunajengwa barabara za njia nne, stendi mbili na masoko matatu Bukoba...
Bukoba utakuwa mji mzr tu
1699159009506.jpg
1699159005990.jpg
 
Aliyekutangulia amekutangulia tu.
we endelea kusema hivyo...mtazidiwa hadi na kigoma...Kigoma wamepanua barabara za kuwa njia nne, wana stendi tatu na airport yao inajengwa upya...

Mbona Dodoma ilishawapita Arusha kimaendeleo...si mliitanguliwa
 
Mbona stand ndogo inapitwa hadi na Mpanda?
Ni stendi ya Daladala hiyo mkuu...stendi kuu inajengwa eneo lingine tofauti na hapo...km 8 kutoka bukoba mjini kati na ni kubwa sana...mabasi yote wameyahamisha

Yaani nyinyi kilombero ndo mnahitaji stendi kama hii ya Daladala...ndo kinachijengwa Bukoba sasa...
 
Tatizo sio magufuli, pesa imetolewa miaka mingi sana ya kujenga stand, tatizo mvutano kwenye viongozi wa jiji wamejaa ulaku.

Hujui kuna wengine wako mahakamani hadi sasa?
Kwa mamlaka aliyokua nayo hao wasingefua dafu angeamua
 
Ni stendi ya Daladala hiyo mkuu...stendi kuu inajengwa eneo lingine tofauti na hapo...km 8 kutoka bukoba mjini kati na ni kubwa sana...mabasi yote wameyahamisha

Yaani nyinyi kilombero ndo mnahitaji stendi kama hii ya Daladala...ndo kinachijengwa Bukoba sasa...
Kilomberi ni eneo dogo sana, hiyo stand ni mradi wa watu tu
 
Magufuli alijenga stand mikoa mingi Arusha akairuka,sijui alikua na shida gani na Arusha

Mama samia anaijenga stand,soko na uwanja
Mama anaupiga mwingi
Acha kutafuta pa kupeleka lawama walikuwa wapi kujenga kipindi cha hawamu ya kwanza, pili, tatu na nne?
 
We jamaa kule kubadilike ili iweje?
We nenda kale nyama choma na mbususu Teresia bia urudi kwenu ulikotoka .
Usiwapangie cha kufanya
 
Back
Top Bottom