Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Miji inayopendelewa kwa huge projects hapa nchini ni Dsm,Dodoma na Arusha, kwingine ni kama sio Tanzania sasa wana chuga mnataka mfanyiwe nini?
 
Watu wa Arusha hamna shukrani mnapendelewa sana na serikali ya mama SSH,mnataka awape nini ?
Kila mradi wa kimataifa wanapata wao sijui wanataka wafanyiwe nini hawa wala ngada.
 
Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
..Labda wanaacha kuweka lami ili kulinda uasilia wa jiji kama ambavyo hairuhusiwi kuweka lami ndani ya hifadhi...😁😎

Karibu Arusha, karibu Tanzania nchi tajiri Omba omba.
 
Miji inayopendelewa kwa huge projects hapa nchini ni Dsm,Dodoma na Arusha, kwingine ni kama sio Tanzania sasa wana chuga mnataka mfanyiwe nini?
Wanataka roho ya mama yetu mpendwa.
 
..Labda wanaacha kuweka lami ili kulinda uasilia wa jiji kama ambavyo hairuhusiwi kuweka lami ndani ya hifadhi...😁😎

Karibu Arusha, karibu Tanzania nchi tajiri Omba omba.
Kiongozi 😂😂
 
Eti tupo mavumbini

Ila hii Nchi bado tunasafari ndefu sana ya Maendeleo
We acha tu, leo mtu anakuja kudhiaki eti barabara ya lami nyembamba, kwani huko arusha kuna foleni gani? Watu wanataka hata barabara za changarawe wanaishia kuziona kwenye tv.
 
Dogo huwezi kuandika taira😅😅😅jamaa ndio elimu ya kwenu kama sio ujinga.

😂😂😂 Umebadilisha kiazi wewe

Kiazi huyo hapo kweny picha ndugu yenu😅😅
Screenshot_20231105-100813.png
 

Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha.

  • Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo.
  • Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo ndiyo kitovu cha utalii nchini .
  • Stendi za daladala,hapa sio aibu tu bali ni fedhea ya hali ya juu mfano stendi ya hiace ya kilombero,samunge,kisongo,ngaramtoni,mbauda etc stendi zote hizi ni mbovu mno.
  • Stendi kuu,hapa ni zaidi ya aibu,stendi hii ni ndogo,chafu etc
  • Masoko,hapa pia pana kazi kubwa ya kufanya! Masoko yote yaliopo ndani ya jiji la Arusha yana-miundombinu mibovu kupitiliza.
Aibu kubwa pia ni kwamba makusanyo ya mapato ndani ya jiji la Arusha ni makubwa mno lakini fedha hazijulikani zinaenda wap?? Mkurugenzi wa jiji yupo,meya wa jiji yupo,mwenyekiti wa halmashuri yupo!!
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba ukiondoka Arusha ukarudi hata baada ya miaka mitano utalikuta jiji lipo vilevile hakuna mabadiliko yoyote ya maana!!


Mamlaka husika chukueni hatua tafadhali hili jiji lipo overrated sana,kuna kazi kubwa ya kufanya ili hili jiji liendana na sifa linazopewa.
Hili Jiji ni aibu kwa kweli na hangaya anazuru kila mara lakin sijui anafichwa na watendaji wake
 
Back
Top Bottom