Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Yapo mawili wamejenga kama maframe pembeni ya soko kuu.Mwanza hayapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo mawili wamejenga kama maframe pembeni ya soko kuu.Mwanza hayapo
Hapo ulipoweka Dodoma naona kama ubawasanifu wagogo tu 😄 🤣 😂 😆?!!!-International Airport ya nini wakati KIA is primarily for Arusha? On top of that Kuna Arusha Airport mpyaa kabisa.
-Arusha hakuna University? Au unataka university hapo Mbauda ndio ujue ipo? Nelson Mandela ni kitu gani? Arusha University ni nini? Kwanza Arusha Ina higher learning Institutions nyingi kushinda Mwanza tena Zenye upekee Fulani.eg Gemological Centre
View attachment 2911769
Mwisho mambo ya stand sijui masoko ni kama ujenzi umeanza kule Bondeni City na wewe unajua ingawa hamtakaa mlingane na Jiji la Dar au Dom the Capital City
😀😀😀 anawasanifu kweli kweli imagine sensa ya majengo imefanyika kipindi ambacho ndio mji wa kiserikali unajengwa lakini imezidiwa magorofa zaidi ya mara 3 mapato ya tra kimkoa dom imezidiwa mara 3 na arusha na haupo bado utalii haujachanganya vizurHapo ulipoweka Dodoma naona kama ubawasanifu wagogo tu 😄 🤣 😂 😆?!!!
Mkuu anyway airport ya Arusha ndio inaongoza kwa congestion Tz na ni moja chache zinazo operate with profit KIA Ni mbali km60 sioni kama ni fair mbona Mbeya mna international Airport lakin haipishani sana na chato hakuna ndege ngeni inatua
Bwege wewe Airport ya Mbeya Ina kampuni 2 za ndege na Zina operate daily flights.Hapo ulipoweka Dodoma naona kama ubawasanifu wagogo tu 😄 🤣 😂 😆?!!!
Mkuu anyway airport ya Arusha ndio inaongoza kwa congestion Tz na ni moja chache zinazo operate with profit KIA Ni mbali km60 sioni kama ni fair mbona Mbeya mna international Airport lakin haipishani sana na chato hakuna ndege ngeni inatua
😄 🤣 😂 hahaaa mkuu uwanja toka 2006 haujapata certification tatizo ni nini??Bwege wewe Airport ya Mbeya Ina kampuni 2 za ndege na Zina operate daily flights.
Hatuna Utalii wa kufanya airport iwe busy kama Arusha.
Serikali inakamilisha cold rooms Ili ndege ya mizigo iwe inabeba parachichi zetu Nje ya Nchi.
Mwisho Bado uwanja haujapokea internaycertification Ili walau international flights ziwe zinatua japo kujaza Mafuta au kama emergency landing.
Ukome kulinganisha Songwe Airport na Chato
Nani ameisahau, watu wa lindi na katavi wasemeje, hakuna mkoa unaopendelewa kama Dar, Arusha na dodoma hakuna asiyejua.Huu ni ukweli mtupu, Sijui kwann Arusha imesahaulika kwa kiasi kikubwa namna hiyo
Bado ana mawazo ya pori huyu mkinga, eti ndege zibebe maparachichi ndio kaona fursa kubwa huko.😄 🤣 😂 hahaaa mkuu uwanja toka 2006 haujapata certification tatizo ni nini??
Sasa si utaanza kuchakaa?!! Kabla ya huduma.
Well bado nawaza international travelers watakuwa wanafuata nini huko pengine mbuga za wanyama za kanda ya kusini magharibi zipewe promo sana . Lakin swala la ndege kubeba parachichi achana na hayo mawazo ni biashara kichaa (monkey business) and uneconomic. Ni sawa na ule wa Chato ambao walipanga kusafirishq Ng'ombe na mbuzi
Kumbe ni mkinga??!! 😄 🤣 😂 niko naelekea kwao makete kwa kweli mkinga anaepanda mdege ni mmoja tu Vunjabeo hawa jamaa hata China wanaenda kwa meli wabahili mpare anasubiri.Bado ana mawazo ya pori huyu mkinga, eti ndege zibebe maparachichi ndio kaona fursa kubwa huko.
😂😂😂😂Kumbe ni mkinga??!! 😄 🤣 😂 niko naelekea kwao makete kwa kweli mkinga anaepanda mdege ni mmoja tu Vunjabeo hawa jamaa hata China wanaenda kwa meli wabahili mpare anasubiri.
Mkinga ana million 100 bank anashindia kande
Na sisi wa Mwanza tusemeje ulishaona barabara kuu ya ya kuingia Mwanza au ulishatembea mikoa mingine nakuona jinsi miundombinu ilivyo, ukitoa Dar, upendeleo unaofuatia huwa ni Arusha na Dodoma.Kwa kweli Tanzania inapoteza fursa za kiuchumi kwa serikali 'kuipotezea' jiji la Arusha. Uchumi wa nchi nzima ungelinufaika kwa ongezeko kubwa la uwekezaji, makusanyo ya kodi na fedha za kigeni iwapo serikali ingewekeza miundo mbinu mizuri katika Jiji la Arusha. Arusha ni kitovu cha utalii, ni makao makuu ya EAC, mahakama ya Africa, IPU ni kitovu cha soko la madini ya Tanzanite na kituo cha mikutano kimataifa nk. Hila za za makusudi za kisiasa za kulifanya jiji hili kuwa la hovyo ni serikali kujihumu yenyewe. #make_Arusha_great again.
Na sisi wa Mwanza tusemeje ulishaona barabara kuu ya ya kuingia Mwanza au ulishatembea mikoa mingine nakuona jinsi miundombinu ilivyo, ukitoa Dar, upendeleo unaofuatia huwa ni Arusha na Dodoma.
Mnajengewa uwanja wa mpira mzuri zaidi ya allianz arena utaongeza uchumi wa jiji lenu ukiongeza na lile jengo la PAPU, mtakuwa na uchumi mkubwa kuliko Dar.Wewe weka hoja za Mwanza mezani, na sio kulalamika. Ikiwa jambo jema halitokei, haijalishi ni wapi au kwanani tutalisemea tu! Wazungu wanasema: two wrongs do not make it right👌🏽
Mnajengewa uwanja wa mpira mzuri zaidi ya allianz arena utaongeza uchumi wa jiji lenu ukiongeza na lile jengo la PAPU, mtakuwa na uchumi mkubwa kuliko Dar.
Mengi husemwa na hata uzinduzi hufanyika lakini hakuna linalofanyika. Mfano ni barabara ya njia mbili mpaka Holili iliyofadhiliwa na Japan kwa mardi wa EAC na kuzinduliwa na Samia na Uhuru Kenyatta ipo wapi? Jiji limekuwa slum kubwa... mipango hakuna. Mkuu wa mkoa anasifia bangi ya Arusha ni kali! Ombaomba kila mahali! uwapi mpango jiji unaolipelekea jiji kuvutia uwekezaji wa kimataifa?Mnajengewa uwanja wa mpira mzuri zaidi ya allianz arena utaongeza uchumi wa jiji lenu ukiongeza na lile jengo la PAPU, mtakuwa na uchumi mkubwa kuliko Dar.
Kwani kuweka hiyo kanuni ya mgawanyo Kunahitaji Majimbo? Inatakiwa tuwe na kanuni ya mgawanyo na tuboreshe Serikali za mitaa Ili sehemu kubwa ya Rasilimali tuzalishe kwenye maeneo yetu na kutumia huko huko bila kusubiria Central Gvt ndio Nchi itaendelea fasta.Jawabu ni serikali majimbo 40% ya kodi ibaki Arusha mfano 2022 TRA ukitoa utalii ilikusanya bilioni 450 ni jiji la pili mapato Baada ya Dar, 40% % ni bilioni 200 kwa mwaka ziboreshe miundombinu ya Arusha
Samia hajawahi weka Jiwe la msingi wa Ujenzi wa njia 4 huko Arusha.Mengi husemwa na hata uzinduzi hufanyika lakini hakuna linalofanyika. Mfano ni barabara ya njia mbili mpaka Holili iliyofadhiliwa na Japan kwa mardi wa EAC na kuzinduliwa na Samia na Uhuru Kenyatta ipo wapi? Jiji limekuwa slum kubwa... mipango hakuna. Mkuu wa mkoa anasifia bangi ya Arusha ni kali! Ombaomba kila mahali! uwapi mpango jiji unaolipelekea jiji kuvutia uwekezaji wa kimataifa?
Sisi tulishaacha kutegemea kudra za hii serikali wala hatuangaiki nayo.Mengi husemwa na hata uzinduzi hufanyika lakini hakuna linalofanyika. Mfano ni barabara ya njia mbili mpaka Holili iliyofadhiliwa na Japan kwa mardi wa EAC na kuzinduliwa na Samia na Uhuru Kenyatta ipo wapi? Jiji limekuwa slum kubwa... mipango hakuna. Mkuu wa mkoa anasifia bangi ya Arusha ni kali! Ombaomba kila mahali! uwapi mpango jiji unaolipelekea jiji kuvutia uwekezaji wa kimataifa?
Unaijua Mikoa iliyosahaulika wewe? Swala la Barabara ni tatizo Tzn nzima isipokuwa Dar na Dodoma ndio wanapewa kipaombeleHuu ni ukweli mtupu, Sijui kwann Arusha imesahaulika kwa kiasi kikubwa namna hiyo
Na bado wanalia lia je Mwanza, Tanga na mbeya tutasemaje kila miradi mikubwa Dar, dodoma na arusha hazikosi.Samia hajawahi weka Jiwe la msingi wa Ujenzi wa njia 4 huko Arusha.
Japan wametetereka kiuchumi hawawezi tena kufadhili Ile Barabara .
Arusha inapendelewa yaani hakuna hata mpira wa maana Wala mashabiki ila wanapelekewa uwanja wa AfCoN kisa eti Utalii.
Pia huko Mnajengewa Kumbi kubwa kabisa ya Mikutano KICC na Mji Mpya.