Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

Kwenu ni wapi, we ni wa kuachwa tu uendelee na upumbavu na wivu wako. Ktk hivyo vitu ulivyovitaja mji wa Arusha unaulinganisha na mji upi hapa nchini. We poyoyo hufahamu nchi hii. Barabara nyembamba ulikuwa na futi kamba kuzipima? Nataka niwajulishe watanzania ambao hawajafika Arusha, Mjini kati yaani ndani ya CBD ya Arusha hakuna barabara ya vumbi naweza kusema hata moja tofauti na miji mingine hapa nchini. We una kale kaugonjwa kachuki, ila ndg yangu anayejenga miundo mbinu ni serikali na nchi yetu serikali ni moja.
 
Wewe kwel Taira tena mkubwa! Nani kafanya comparison hapa?? Mimi ni mtu wa Arusha vitu nilivyoandika navijua acha ujinga wewe kiazi.
 
Wewe akili zipo sawa?? Hilo bunge serikali ndo imejenga? Hilo jengo serikali tu ndo imejenga?
πŸ˜…πŸ˜…Ndio maana nakwambia wewe kichaa ,huko mkoa ulipewa hadhi na promo ndio maana upo hapo kuna jengo gani la maaa zaidi ya hotel na ofisi au kuna nyumba ya baba ako ambayo ni gorofa kweny katikati ya mjii?

Hizo gorofa ndio zinafanya kuwe pale hovyo kabisa mshamba mkubwa.
 
Wewe kwel Taira tena mkubwa! Nani kafanya comparison hapa?? Mimi ni mtu wa Arusha vitu nilivyoandika navijua acha ujinga wewe kiazi.
Hamna neno taira ni tahira ,we jamaa hauna akili hayo maendeleo utayajua!?
 
Huna point hujui unachoongea fala tu another wasted sperm.
 
Umeongea ukweli kabisa arusha ni jina tu na maeneo machache mazuri ila miundombinu bado sana yaani bado sana japo hakuna mji uliokamilika ila kwa majiji yetu arusha nayo iangaliwe sio poa
 
Umeongea ukweli kabisa arusha ni jina tu na maeneo machache mazuri ila miundombinu bado sana yaani bado sana japo hakuna mji uliokamilika ila kwa majiji yetu arusha nayo iangaliwe sio poa
Bora wewe mkuuπŸ‘πŸ‘πŸ‘ kuna viazi hapa kama huyu Accumen Mo hajui chochote ni ushabiki tu
 
Huna point hujui unachoongea fala tu another wasted sperm.
Mpotezee wa kaskazini tupo na tungetetea ila ukweli usemwe. Yaani anatetea ujinga wakati saa hizi akiambiwa arudi uswahilini kwao anakazi ya kukunja suruali msamehe bure hajielewi.
 
UKWELI USIO PINGIKA ARUSHA NI JIJI ILA MIUNDO MBINU BADO SANA NA SIO ARUSHA TU MAJIJI YOTE HAYAJAJITOSHELEZA MIUNDOMBINU KAMA BARABARA MITARO YA MAJI KALAVATI MADARAJA FIRE STATIONS STENDI ZA DALADALA NA BUS OFISI NA MIUNDOMBINU YA MASHULE HOSPITALI. KIUFUPI TZ BADO HATUPO TULIPOTAKIWA KUWEPO WAPO WATU WATALETA USHABIKI KWENYE HILI ILA KWELI BADO UTABAKI PALE PALE UKITAKA KUAMINI INGIA GOOGLE MAP NENDA ARUSHA ALAFU WEKA SATELLITE UONE MJI ULIVYOKAA.
 
Miaka ya nyuma ilisemekana ni kutokana na wao kuchagua Upinzani.

Lakini majimbo yote kuanzia 2020 hadi sasa yapo chini ya Chama tawala lakini wameshindwa kujenga barabara wala stendi ya kisasa πŸ™Œ
 
Miaka ya nyuma ilisemekana ni kutokana na wao kuchagua Upinzani.

Lakini majimbo yote kuanzia 2020 hadi sasa yapo chini ya Chama tawala lakini wameshindwa kujenga barabara wala stendi ya kisasa πŸ™Œ
Mkuu point πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ni aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…