๐๐๐๐Kushaanzaa kuchangamkaaaMngenisikia ningewashauri tugome kuzaliana kisha baada ya miaka 100 watu wote waishe duniani mungu ajisifie mwenyewe na kujiabudu mwenyewe....
Kujiua ni mtazamo wa kijamii ipo siku itabadilika ..Si umesikia kariakoo kuna mfanyabishara kajiuAlietuumba alitushikamanisha na upendo kwa watoto wetu. Alitushikamanisha na upendo wa kuishi licha ya shida na majanga mbalimbali ndo sababu asilimia Ni ndogo ya wanaojiua. Pia Ni faida kuishi kwa sababu hujui baada ya kifo Nini kitafuata.
Wengine hawajitambui,na wanadanganyika katika imani walipo kuwa mpo kuongezeka na kuijaza dunia bila kuangalie uwezo wa kuihudumia dunia iliyojazwa.Habari zenu ndugu zangu ,
Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma!
Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki.
Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja kuwatesa watoto.
Kiuhalisia mimi mambo nisiyoyapenda sipendi mwingine yamtokee never katika maisha , uzoefu wa maisha yangu ni kwamba maisha ni ya hovyo; hayana furaha muda wote hata upate vitu vyote ,umaskini ,magonjwa ,upweke ,shida na mihangaiko,kejeli ,ulemavu , utapeli ,mauaji , utapeli ,unyonyaji.
Yote hayo bado binadamu tunapambana kuzaa tena kwa kuwa na furaha kabisa kuzaa watoto...Je, huu ni ubinafsi au laah.
Binafsi Mtu akijiua naona kafanya jambo la maana sana ,utawezaje kuvumilia vitu vinavyokutesa huku ukipewa motives za kinafiki..Mifumo inayotaka watu wazaliane ni mifumo inayotaka kupata faida; serikali (kupata kodi na kuendeleza taifa) , wazazi(kupata watumwa kama wasaidizi wa kuwasumbua wakiwa wazee) , matajiri (kupata cheap labor na wateja wa bidhaa zao?
Je , mtoto unayemzaa ataweza kuvumilia yote hayo ? Na kwa nini kusiwe na chaguo la mtu kuzaliwa?
Nilipata watoto kipindi sijajitambua... Ungekuta ndio kipindi hiki hata iweje nisingekubali kuleta wapendwa wangu kwenye huu ulimwengu wenye kila aina ya hatari... Alafu hiki kitu sio kwamba watu hawajui sema ndio hivyo wanafarijiana upumbavu wakati ni kitu kipo wazi kabisa kwamba kukubali kuzaa au kuzalisha ni kama kujikuta gerezani alafu ufanye juu chini umlete mpendwa wako aje kuishi humohumo gerezani๐๐Hii pyramid ni noma kila mtu ana tamaa .
Kila mnyama anayo akili kwenye zone yakeBinadamu ana akili ,amejitahidi kupambania matatizo yake ila matatizo yanabaki kama asili.
๐๐Gejeee kaka๐๐Watu wanaona sifa kuzaa kama kuna nguvu inawasukuma .