Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

sasa tuteseke peke yetu!, wacha tuwalete na wao wajionee maana sisi wenyewe tumeletwa tu tunashangaa imekuwaje...🤣
Ni ujinga kwa kweli , binadamu hawana huruma 😂
 
Habari zenu ndugu zangu ,

Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma!
Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki.

Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja kuwatesa watoto.

Kiuhalisia mimi mambo nisiyoyapenda sipendi mwingine yamtokee never katika maisha , uzoefu wa maisha yangu ni kwamba maisha ni ya hovyo; hayana furaha muda wote hata upate vitu vyote ,umaskini ,magonjwa ,upweke ,shida na mihangaiko,kejeli ,ulemavu , utapeli ,mauaji , utapeli ,unyonyaji.

Yote hayo bado binadamu tunapambana kuzaa tena kwa kuwa na furaha kabisa kuzaa watoto...Je, huu ni ubinafsi au laah.


Binafsi Mtu akijiua naona kafanya jambo la maana sana ,utawezaje kuvumilia vitu vinavyokutesa huku ukipewa motives za kinafiki..Mifumo inayotaka watu wazaliane ni mifumo inayotaka kupata faida; serikali (kupata kodi na kuendeleza taifa) , wazazi(kupata watumwa kama wasaidizi wa kuwasumbua wakiwa wazee) , matajiri (kupata cheap labor na wateja wa bidhaa zao?

Je , mtoto unayemzaa ataweza kuvumilia yote hayo ? Na kwa nini kusiwe na chaguo la mtu kuzaliwa?
​
k
😄😄Gejeee kaka
kiufupi hizi ni akili za watu weusi ambao hawana tofauti na ng'ombe haya mambo huwezi kuyakuta kwa mtu anajielewa, mtu mwenye hela zake anawatoto 2 masikini choka mbaya anatimu ya mpira na subs
 
k

kiufupi hizi ni akili za watu weusi ambao hawana tofauti na ng'ombe haya mambo huwezi kuyakuta kwa mtu anajielewa, mtu mwenye hela zake anawatoto 2 masikini choka mbaya anatimu ya mpira na subs
😂😂😂Huku tabu sana kwa kweli ,tuanze kuokota wa mitaani ...Sasa hakuna hata mwenye wazo la kuchukua hata Watoto yatima wa ndugu zak.
 
Binadamu asiyetaka zaa ni hasara duniani na wengi wao ni mashoga
 
Binadamu asiyetaka zaa ni hasara duniani na wengi wao ni mashoga
Haaha, mbinafsi una tabu sana unafanya mambo bila ya kutumia akili ...Mateso yote hay unataka mwanao mpendwa ayapate.

Hao mashoga ni matokeo ya uzao , endelea kuza uongeze idadi yq mashoga duniani.
 
Unajua sababu za kiafya za mtoto kulia anapozaliwa?​
Hayo ni matokeo ya kuzaa ? Soma kwanza tunaongelea nn? Huyo Mtoto anaingia kwenye ulimwengu wa hovyo kabisa ,tena atapitia matatizo mwishoe anakufa bila ya faida yoyote ile.
 
Back
Top Bottom