Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Vitu tunavyo vijua ni vichache sana kuliko vile ambavyo hatuvijui.

Kuna vitu vingi sana hatuvijui.

Kwa hiyo sisi binadamu tunaweza kujikuta kwamba tuna maarifa na akili nyingi kuliko asili yenyewe, Lakini tuna jidanganya tu.

Asili ikiamua yake tunaweza kufutika kabisa kwenye uso wa dunia.

Mfano ikatokea Tectonic plates movement na maji yaka amua kufunika sehemu yote ya nchi kavu , binadamu tutapotea tu. Tutake tusitake.

Au miamba mikubwa kutoka angani ianguke duniani, tutatoweka wote licha ya kujidai tuna maarifa.

Asili ni noma sana.
Kweli.
 
Yeah sure mkuu.

Asili (nature) itachukua mkondo wake kama binadamu ataacha kuzaa.

Kwa sababu binadamu ni sehemu ya asili hiyo hiyo.

We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are a part of the mysteries we are trying to solve.

Asili itaamua.
Umemaliza kila kitu 👏
 
Unajua kajiua kisa nn? Watu wawili unakupa familia inampa mzigo ..

Huyu mwingine ,ninachoongelea hapa ni matatizo ,unaweza kupata watoto ila matatizo yako pale pale unakosa furaha.
View attachment 3281077
Huyo sababu za kujiua zimeainishwa hapo mume, madeni na msongo wa mawazo.

Hoja itabaki pale pale mtoto analeta furaha na faraja, ila mtoto haondoi taabu shida na majanga, vitakuwepo ila mtoto atakuwa faraja katika mazingira hayo, mke atakapogombana na mume wake mtoto atakuwa faraja, ndio maana utaona watu wanagombania watoto, ingekuwa watoto ni majanga nani angegombania majanga?
 
Kwa mazingira haya hebu eleza ni jinsi gani hawa watoto wanaleta furaha na faraja?

Kwa kutazama hii picha, Je watoto hawa wanaleta furaha au huzuni?
FB_IMG_1710533066467.jpg
 
wanashida kwenye mifumo yao ya akili, huoni wengine wana adopt watoto ili tu angalau wawe na furaha
Kwa nini kuna watoto wengi wa mitaani na omba omba ambao hawachukuliwa na watu ili wapate furaha?
 
Habari zenu ndugu zangu ,

Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma!
Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki.

Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja kuwatesa watoto.

Kiuhalisia mimi mambo nisiyoyapenda sipendi mwingine yamtokee never katika maisha , uzoefu wa maisha yangu ni kwamba maisha ni ya hovyo; hayana furaha muda wote hata upate vitu vyote ,umaskini ,magonjwa ,upweke ,shida na mihangaiko,kejeli ,ulemavu , utapeli ,mauaji , utapeli ,unyonyaji.

Yote hayo bado binadamu tunapambana kuzaa tena kwa kuwa na furaha kabisa kuzaa watoto...Je, huu ni ubinafsi au laah.

Binafsi Mtu akijiua naona kafanya jambo la maana sana ,utawezaje kuvumilia vitu vinavyokutesa huku ukipewa motives za kinafiki..Mifumo inayotaka watu wazaliane ni mifumo inayotaka kupata faida; serikali (kupata kodi na kuendeleza taifa) , wazazi(kupata watumwa kama wasaidizi wa kuwasumbua wakiwa wazee) , matajiri (kupata cheap labor na wateja wa bidhaa zao?

Je , mtoto unayemzaa ataweza kuvumilia yote hayo ? Na kwa nini kusiwe na chaguo la mtu kuzaliwa?
​
Kuhusu kuwa na chaguo la mtu kuzaliwa hilo haliwezakani. Kuna vitu ambavyo binadamu anakuwa na chaguo la kufanya lakini mengine yanakuwa nje ya uwezo wako. Mfano unaweza kuchagua chakula, nguo, n.k. lakini kamwe huwezi kuchagua kuzaliwa kwani hata wazazi waliokuzaa hawakujua kuwa utazaliwa wewe ambaye sasa unadai upewe uwezo wa kuchagua kuzaliwa.
 
Tumefika pabaya sana kama watu hawafahamu malengo/madhumuni ya maisha dunian, ni bora kutozaliwa kama hujui dhumuni la wewe dunian, wengi hata humu hawajui madhumuni ya haya maisha zaidi ya kukalili uongo kutoka katka stories za kidini.

Karibu asilimia kubwa hawajui nini maana ya maisha na wanaishi kwa melengo gani, wapowapo kusindikiza wengine, na hili ijulikane maana ya maisha si kula na kuzaana wala kufanikiwa kimaisha na kutimiza matamanio yako(ndoto) hii si maana ya maisha, maana kama ingekuwa tunazaliwa ili tutimize ndoto basi kusingekuwa na ulazima wa kuzitimiza kwakuwa tayari unazoo akilini(jambo ulilo nalo akilini ni nusu ya kulipata katika uhalisia) sasa iweje tuzaliwe ili kutimiza mambo ambayo tayari ukizaliwa una option ya kuyapata?

Maana ya maisha itapatikana pale watu watakapoujua uhalisia wa maisha na ASILI ya maisha nje ya masimulizi ya uongo ya Quran, biblia, History ya uongo mashuleni na masimulizi ya mababu waliopotosha ukweli.

Ili tujue maana ya maisha ni lazima kila mtu aurudie uhalisia kwa kufuata sheria za asili zinasema vipi? Kusudi la mwanzo wa maisha lilikuwa lipi? Na kwanini tupo? Ilikuwaje viumbe wa aina tofauti wapo ktk dunia moja yenye sheria mbalimbali za kibaiolojia, kijiografia, kifizikia, kiastronomia mpaka kiroho?.

Tukijua maana ya hivyo vitu basi tutajua kwanini uzae? Na kwanini uruhusu viumbe wapya(watoto) waje kuishi katika ulimwengu huu wa tabu, mateso na fujo za kila aina, ukijua misingi na maana ya maisha basi utakuwa na option ya kuchagua kuleta kiumbe ama kutoleta kiumbe ktk haya maisha maana utaujua muongozo na kuwafanya hao uliowaleta waendane na hio miongozo ya Asili ya maisha inavyotaka.

Bahati mbaya hii elimu ilishachakachuliwa na wahuni wa kisiasa na kidini baadhi yao wakahusisha maana ya maisha na hizo ngonjera Zao za kidini kuwa tumeumbwa tumuabudu sijui Mungu na tuzaane kwaajili hiyo, jambo ambalo si kweli, huyo Mungu anaviumbe wengi wenye nguvu na maarifa kuliko binadamu sasa kwanin ategemee furaha yake kuabudiwa na viumbe dhaifu kama binadamu?.

Yaani mateso yote haya tunapitia kisa kumfuraisha huyo anaetaka kuabudiwa? hii ni stories za upuuzi wa wazungu waliotunga hii dini.
Kama watu wataamka na kuujua ukweli ambao wachache baadhi yetu tunaamka na kuujua basi maana ya maisha itapatikana na hakutokuwa na uzao mwingine wowote maana malengo na target ya walioupata ukweli itakuwa ishafika na hapa dini zenu ziliiga zinasema utakuwa mwisho wa dunia, ni kweli mwisho wa dunia upo na utakuwepo lakini si kama mnavyodanganywa na dini zenu.

Uzao wa viumbe wote dunian utakoma pale mtu atakapoamka kiakili/kifikra na kutambua ASILI ya maisha na melengo ya maisha ni yapi, tofauti na hapo tutaendelea na hii circle ya kuzaana, kusomesha watoto katika ujinga na kuwapa elimu ya ujinga kutoka kila angle na wao watazaana na baadae waendeleze uzao wa wapuuzi wasiojua maisha ni nini miaka kwa miaka mpaka pale kitakapopatikana kizazi cha uamsho wa akili+fikra za asili.

Baadhi ya wapuuzi wanaofaidika na huu ujinga wa watu kutotambua maana ya maisha ndio hao wanaunda vijisecret societies vya kufubaza/ kupumbaza watu akili wasiamke ili watimize malengo yao.

Ndiomaana kutwa watu wako bize hata humu kujadiliana upuuzi, muda wote mada zisizo na maana yaani vitu vya msingi vinapigwa vita au kutopewa airtime kama upuuzi unavyopewa muda.

Amkeni jamani
 
Changamoto ni sehemu ya maisha. Hata dunia nzima ingekuwa na watu mia moja pekee changamoto zisingekosekana.
Kuna haja gani ya changamoto kwa sababu binadamu ni kiumbe hakina hatia.
 
Huyo sababu za kujiua zimeainishwa hapo mume, madeni na msongo wa mawazo.

Hoja itabaki pale pale mtoto analeta furaha na faraja, ila mtoto haondoi taabu shida na majanga, vitakuwepo ila mtoto atakuwa faraja katika mazingira hayo, mke atakapogombana na mume wake mtoto atakuwa faraja, ndio maana utaona watu wanagombania watoto, ingekuwa watoto ni majanga nani angegombania majanga?
Umenielewa ? Soma kichwa cha uzi ; hivyo vyote ulivyosema kama ni sababu ndiyo matatizo ya maisha .

Kiufupi maisha yenyewe ni tatizo unless uwe kichaa.
 
wanashida kwenye mifumo yao ya akili, huoni wengine wana adopt watoto ili tu angalau wawe na furaha
Bora kumaliza matatizo ya hawa waliobaki , mayatima tuwaasili sio wateseke huku tunaleta wengine.
 
Kuhusu kuwa na chaguo la mtu kuzaliwa hilo haliwezakani. Kuna vitu ambavyo binadamu anakuwa na chaguo la kufanya lakini mengine yanakuwa nje ya uwezo wako. Mfano unaweza kuchagua chakula, nguo, n.k. lakini kamwe huwezi kuchagua kuzaliwa kwani hata wazazi waliokuzaa hawakujua kuwa utazaliwa wewe ambaye sasa unadai upewe uwezo wa kuchagua kuzaliwa.
Lakini wazazi walipanga wao kuzaa japo hawakujua kama ni wewe ,basi hapo umetokana na tamaa za watu ...Just assume utaendelea kufuata yale ya wazazi wak hata kama ni mambo ya kijinga mpaka unakua mkubwa unakuja kujua ...Yaani unazinduka dunia ukiwa na miaka kadhaa baad ya kujitambua ,unaanza kujua kwamba hatma ya maisha yako ni wewe mwenyewe.
 
Mngenisikia ningewashauri tugome kuzaliana kisha baada ya miaka 100 watu wote waishe duniani ili kama Mungu yupo achukue maamuzi mapya
Unakuta mtu anatenda uovu anamaisha mazuri kuliko mtu mwema. Unajiuliza Mungu ametuumba ili atutese sisi wengine au? Kila bahati mbaya inakufata tu haijalishi juhudi unazoeka.
 
Tumefika pabaya sana kama watu hawafahamu malengo/madhumuni ya maisha dunian, ni bora kutozaliwa kama hujui dhumuni la wewe dunian, wengi hata humu hawajui madhumuni ya haya maisha zaidi ya kukalili uongo kutoka katka stories za kidini.

Karibu asilimia kubwa hawajui nini maana ya maisha na wanaishi kwa melengo gani, wapowapo kusindikiza wengine, na hili ijulikane maana ya maisha si kula na kuzaana wala kufanikiwa kimaisha na kutimiza matamanio yako(ndoto) hii si maana ya maisha, maana kama ingekuwa tunazaliwa ili tutimize ndoto basi kusingekuwa na ulazima wa kuzitimiza kwakuwa tayari unazoo akilini(jambo ulilo nalo akilini ni nusu ya kulipata katika uhalisia) sasa iweje tuzaliwe ili kutimiza mambo ambayo tayari ukizaliwa una option ya kuyapata?

Maana ya maisha itapatikana pale watu watakapoujua uhalisia wa maisha na ASILI ya maisha nje ya masimulizi ya uongo ya Quran, biblia, History ya uongo mashuleni na masimulizi ya mababu waliopotosha ukweli.

Ili tujue maana ya maisha ni lazima kila mtu aurudie uhalisia kwa kufuata sheria za asili zinasema vipi? Kusudi la mwanzo wa maisha lilikuwa lipi? Na kwanini tupo? Ilikuwaje viumbe wa aina tofauti wapo ktk dunia moja yenye sheria mbalimbali za kibaiolojia, kijiografia, kifizikia, kiastronomia mpaka kiroho?.

Tukijua maana ya hivyo vitu basi tutajua kwanini uzae? Na kwanini uruhusu viumbe wapya(watoto) waje kuishi katika ulimwengu huu wa tabu, mateso na fujo za kila aina, ukijua misingi na maana ya maisha basi utakuwa na option ya kuchagua kuleta kiumbe ama kutoleta kiumbe ktk haya maisha maana utaujua muongozo na kuwafanya hao uliowaleta waendane na hio miongozo ya Asili ya maisha inavyotaka.

Bahati mbaya hii elimu ilishachakachuliwa na wahuni wa kisiasa na kidini baadhi yao wakahusisha maana ya maisha na hizo ngonjera Zao za kidini kuwa tumeumbwa tumuabudu sijui Mungu na tuzaane kwaajili hiyo, jambo ambalo si kweli, huyo Mungu anaviumbe wengi wenye nguvu na maarifa kuliko binadamu sasa kwanin ategemee furaha yake kuabudiwa na viumbe dhaifu kama binadamu?.

Yaani mateso yote haya tunapitia kisa kumfuraisha huyo anaetaka kuabudiwa? hii ni stories za upuuzi wa wazungu waliotunga hii dini.
Kama watu wataamka na kuujua ukweli ambao wachache baadhi yetu tunaamka na kuujua basi maana ya maisha itapatikana na hakutokuwa na uzao mwingine wowote maana malengo na target ya walioupata ukweli itakuwa ishafika na hapa dini zenu ziliiga zinasema utakuwa mwisho wa dunia, ni kweli mwisho wa dunia upo na utakuwepo lakini si kama mnavyodanganywa na dini zenu.

Uzao wa viumbe wote dunian utakoma pale mtu atakapoamka kiakili/kifikra na kutambua ASILI ya maisha na melengo ya maisha ni yapi, tofauti na hapo tutaendelea na hii circle ya kuzaana, kusomesha watoto katika ujinga na kuwapa elimu ya ujinga kutoka kila angle na wao watazaana na baadae waendeleze uzao wa wapuuzi wasiojua maisha ni nini miaka kwa miaka mpaka pale kitakapopatikana kizazi cha uamsho wa akili+fikra za asili.

Baadhi ya wapuuzi wanaofaidika na huu ujinga wa watu kutotambua maana ya maisha ndio hao wanaunda vijisecret societies vya kufubaza/ kupumbaza watu akili wasiamke ili watimize malengo yao.

Ndiomaana kutwa watu wako bize hata humu kujadiliana upuuzi, muda wote mada zisizo na maana yaani vitu vya msingi vinapigwa vita au kutopewa airtime kama upuuzi unavyopewa muda.

Amkeni jamani
Very true ,kuna wapuuzi wananufaika...Inakuwaje hata serikali inamfunga mtu aliyetaka kujiua ,hapa kuna siri kubwa inawezekana watu kuzaana wananufaika watu fulani.

Tukianza leo ,kuna watoto mayatima na wa mtaani : kwa nn tusiwachukue ili kupunguza matatizo badala yake kila mtu anazaa wapya huku waliopo wanaishi kwa tabu sana .

Ifike stage ,watu wwchukue mayatima na watoto wa mtaani wote then kama tutaondoa matatizo tutaendelea kuzaa....Inakuwaje watu wanakasirika na kumlaumu aliyetaka kujiua kwa matakwa yake binafsi?

Kiuhalisia huu mfumo ni upatu wa pyramid ,watu wanazaa kwa shinikizo bila ya kujijua maana hawajui nn wanataka.
 
Unakuta mtu anatenda uovu anamaisha mazuri kuliko mtu mwema. Unajiuliza Mungu ametuumba ili atutese sisi wengine au? Kila bahati mbaya inakufata tu haijalishi juhudi unazoeka.
Tuanze na mayatima , watoto wa mtaani , ombaomba hawa wote hatujatatua tunaongeza watu wapya ... Kiufupi tunalea matatizo hayatokaa yaishe milele.
 
Back
Top Bottom