Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Kwani tabu zinaletwa na watoto mkuu? na kwa akili yako unafikiri ukiacha kuzaa tabu zitaisha au utakuwa umetatua tatizo?

Watoto wanaleta furaha na faraja katika tabu hizo hizo kama huna mtoto jaribu kupata mmoja itakuja kufuta uzi wako huu
Unajua kajiua kisa nn? Watu wawili unakupa familia inampa mzigo ..

Huyu mwingine ,ninachoongelea hapa ni matatizo ,unaweza kupata watoto ila matatizo yako pale pale unakosa furaha.
1000038395.jpg
 
We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are a part of the mysteries we are trying to solve.

Kwanza hatujui na hatuelewi kwa nini tupo duniani, tumeshtukia tu tayari tumeshazaliwa duniani pasipo kuamua wala kuchagua.

Pili, Hatuelewi miaka bilioni moja iliyopita dunia ilikuwa vipi?

Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.

Endapo binadamu wote tukaamua kuacha kuzaa watoto kabisa, tutaendelea kufa na kupungua kabisa duniani na hatimaye tutafutika kabisa kwenye uso wa dunia.

Asili itabaki yenyewe kama ilivyo na viumbe wengine pamoja na mimea.
Hapo uliposema ''Kwanza hatujui na hatuelewi kwa nini tupo duniani, tumeshtukia tu tayari tumeshazaliwa duniani pasipo kuamua wala kuchagua''

Sasa hapa ni pakufanyia kazi ili kuokoa wanaokuja ,kwa sasa tunajua mimba inakuwaje hata njia za kuzuia kwa kiasi fulani.
 
Habari zenu ndugu zangu ,

Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma!
Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki.

Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja kuwatesa watoto.

Kiuhalisia mimi mambo nisiyoyapenda sipendi mwingine yamtokee never katika maisha , uzoefu wa maisha yangu ni kwamba maisha ni ya hovyo; hayana furaha muda wote hata upate vitu vyote ,umaskini ,magonjwa ,upweke ,shida na mihangaiko,kejeli ,ulemavu , utapeli ,mauaji , utapeli ,unyonyaji.

Yote hayo bado binadamu tunapambana kuzaa tena kwa kuwa na furaha kabisa kuzaa watoto...Je, huu ni ubinafsi au laah.

Binafsi Mtu akijiua naona kafanya jambo la maana sana ,utawezaje kuvumilia vitu vinavyokutesa huku ukipewa motives za kinafiki..Mifumo inayotaka watu wazaliane ni mifumo inayotaka kupata faida; serikali (kupata kodi na kuendeleza taifa) , wazazi(kupata watumwa kama wasaidizi wa kuwasumbua wakiwa wazee) , matajiri (kupata cheap labor na wateja wa bidhaa zao?

Je , mtoto unayemzaa ataweza kuvumilia yote hayo ? Na kwa nini kusiwe na chaguo la mtu kuzaliwa?
​
Na hawataki kufa wapate pumziko la milele lisilo na taabu 🤣🤣
 
Yeah sure mkuu.

Asili (nature) itachukua mkondo wake kama binadamu ataacha kuzaa.

Kwa sababu binadamu ni sehemu ya asili hiyo hiyo.

We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are a part of the mysteries we are trying to solve.

Asili itaamua.
Tena naona binadamu ni mwaribifu kwa hicho anachokinadi ana akili🤔
 
Hapo uliposema ''Kwanza hatujui na hatuelewi kwa nini tupo duniani, tumeshtukia tu tayari tumeshazaliwa duniani pasipo kuamua wala kuchagua''

Sasa hapa ni pakufanyia kazi ili kuokoa wanaokuja ,kwa sasa tunajua mimba inakuwaje hata njia za kuzuia kwa kiasi fulani.
Binadamu wote tunaweza tukaamua kuacha kuzaa watoto.

Tukiamua kufanya hivyo, tutapungua kwa kufa na hatimaye mwisho wa siku tutafutika kabisa duniani.

Asili itabaki na viumbe wengine pamoja na mimea.

Kwa sababu hata sisi binadamu ni sehemu ya asili hiyohiyo.

Kwa hiyo tukiamua kujitoa kwenye asili, No problem.

Asili itabaki na viumbe wengine.

Mbona kuna species nyingi tu zimesha potea na asili inaendelea kuwepo tu.
 
Naona ni chaguo sahihi ,ishu ni ubinafsi wa binadamu.
 
Binadamu nae hataki kufutika kwenye uso wa dunia, ndio maana wana endelea kuzaliana.

Labda tukubaliane na tuamue tufutike kwenye uso wa dunia, tuache kuzaana.
Hapo sasa ni jambo gumu sana ila nchi kubwa washajitambua
 
Huwa nawazaga kuna namna binadamu nao watakuja kutoweka tu 🤔
Inawezekana.

Kwa mfano mabadiliko ya kijiografia yakatokea kama Tectonic plates movement, milipuko mikubwa ya volkano au maanguko ya miamba mikubwa kutoka kwenye space yatakayo igonga dunia, uwezekano wa binadamu kutoweka ni mkubwa sana.

Binadamu tunatamba tu hapa duniani, ila huko kwenye space kuna vitu vingi hatujui kinachoendelea.

Siku ya siku, Jua ☀️ likaamua kuzima tu ghafla, tutatoweka wote.
 
Hapo sasa ni jambo gumu sana ila nchi kubwa washajitambua
Vitu tunavyo vijua ni vichache sana kuliko vile ambavyo hatuvijui.

Kuna vitu vingi sana hatuvijui.

Kwa hiyo sisi binadamu tunaweza kujikuta kwamba tuna maarifa na akili nyingi kuliko asili yenyewe, Lakini tuna jidanganya tu.

Asili ikiamua yake tunaweza kufutika kabisa kwenye uso wa dunia.

Mfano ikatokea Tectonic plates movement na maji yaka amua kufunika sehemu yote ya nchi kavu , binadamu tutapotea tu. Tutake tusitake.

Au miamba mikubwa kutoka angani ianguke duniani, tutatoweka wote licha ya kujidai tuna maarifa.

Asili ni noma sana.
 
Back
Top Bottom