Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Kujiua ni mtazamo wa kijamii ipo siku itabadilika ..Si umesikia kariakoo kuna mfanyabishara kajiuView attachment 3280979
Ndio, lkn kujiua Ni ujinga. Sisi wanadamu tunakosea Sana pale tunapofosi kuishi kwa matakwa yetu, Jambo ambalo haliwezekani.

Hata raisi pamoja na mamlaka zake lkn bado anaishi kwa mujibu wa....
Hawezi ishi atakavyo. Mungu ametuumba ili tuishi under control. Bila hivyo hakuna maisha Mr. Na tutajiua kweli kweli Kama tutashindwa kuelewa Mungu anataka tuishi vipi.
 
LIKUD huwaga yupo sahihi sana anapowaambia toweni watoto wenu EMS muwapeleke Kayumba. Mambo mengi kwenye maisha hayana maana kabisa.
Maisha ni useless ,hakuna kupumzika ..Unalelea watoto wakikua wakubwa wewe binafsi ushachoka.

Watoto wanaweza kwenda nje ya matarajio yako ; wengine wanakuwa mashoga ,vibaka ,shule hawataki ,unamuonea huruma mwanao hana hata ajira yupo yupo tu.
 
Ndio, lkn kujiua Ni ujinga. Sisi wanadamu tunakosea Sana pale tunapofosi kuishi kwa matakwa yetu, Jambo ambalo haliwezekani.

Hata raisi pamoja na mamlaka zake lkn bado anaishi kwa mujibu wa....
Hawezi ishi atakavyo. Mungu ametuumba ili tuishi under control. Bila hivyo hakuna maisha Mr. Na tutajiua kweli kweli Kama tutashindwa kuelewa Mungu anataka tuishi vipi.
Hatuwezi kukimbia mfumo uliopo sasa kwa kweli na ndiyo chanzo cha yote ,hizi depression ni hatari sana.
 
kupata mtoto kwenyewe ni furaha mkuu, ndio maana usipokuwa na mtoto unakuwa huna furaha
 
Wale wa Mbeya wliojinyonga hawana watoto...
kwani wamejinyonga kwa sababu ya watoto?

mtoto huleta furaha kwenye familia, familia isiyo na mtoto haina furaha

kujinyonga kunakuwa na sababu nyingi nyuma yake
 
Alietuumba alitushikamanisha na upendo kwa watoto wetu. Alitushikamanisha na upendo wa kuishi licha ya shida na majanga mbalimbali ndo sababu asilimia Ni ndogo ya wanaojiua. Pia Ni faida kuishi kwa sababu hujui baada ya kifo Nini kitafuata.
Binadamu hawaumbwi, Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hakuna muumbaji yeyote yule aliyeumba binadamu.
 
kwani wamejinyonga kwa sababu ya watoto?

mtoto huleta furaha kwenye familia, familia isiyo na mtoto haina furaha

kujinyonga kunakuwa na sababu nyingi nyuma yake
Unajikanyaga watoto wameshindwa kuwapa furaha ,hta uzae tabu ziko pale pale ni kupotea muda tu.
 
Maisha ni useless ,hakuna kupumzika ..Unalelea watoto wakikua wakubwa wewe binafsi ushachoka.

Watoto wanaweza kwenda nje ya matarajio yako ; wengine wanakuwa mashoga ,vibaka ,shule hawataki ,unamuonea huruma mwanao hana hata ajira yupo yupo tu.
So unakubaliana na theory ya LIKUD kutoa watoto EMS kuwarejesha Kayumba?
 
Unajikanyaga watoto wameshindwa kuwapa furaha ,hta uzae tabu ziko pale pale ni kupotea muda tu.
Kwani tabu zinaletwa na watoto mkuu? na kwa akili yako unafikiri ukiacha kuzaa tabu zitaisha au utakuwa umetatua tatizo?

Watoto wanaleta furaha na faraja katika tabu hizo hizo kama huna mtoto jaribu kupata mmoja itakuja kufuta uzi wako huu
 
Ndio, lkn kujiua Ni ujinga. Sisi wanadamu tunakosea Sana pale tunapofosi kuishi kwa matakwa yetu, Jambo ambalo haliwezekani.

Hata raisi pamoja na mamlaka zake lkn bado anaishi kwa mujibu wa....
Hawezi ishi atakavyo. Mungu ametuumba ili tuishi under control. Bila hivyo hakuna maisha Mr. Na tutajiua kweli kweli Kama tutashindwa kuelewa Mungu anataka tuishi vipi.
Ukishaweka neno Mungu maana yake umekubali kuwa chini ya mtesi wako... Bora ajue unaujua unyama wake ili akufutilie mbali kuliko kuwa chini ya utumwa mbaya kuliko zote
 
Kwasasa binadam wanaozaliwa kwa bahati mbaya ni wengi sana,mbaya zaidi wapo ambao wanazaliwa kwa bahati mbaya mpaka ndani ya ndoa
 
We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are a part of the mysteries we are trying to solve.

Kwanza hatujui na hatuelewi kwa nini tupo duniani, tumeshtukia tu tayari tumeshazaliwa duniani pasipo kuamua wala kuchagua.

Pili, Hatuelewi miaka bilioni moja iliyopita dunia ilikuwa vipi?

Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.

Endapo binadamu wote tukaamua kuacha kuzaa watoto kabisa, tutaendelea kufa na kupungua kabisa duniani na hatimaye tutafutika kabisa kwenye uso wa dunia.

Asili itabaki yenyewe kama ilivyo na viumbe wengine pamoja na mimea.
 
Back
Top Bottom