Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

Habari zenu ndugu zangu ,

Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma!
Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki.

Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja kuwatesa watoto.

Kiuhalisia mimi mambo nisiyoyapenda sipendi mwingine yamtokee never katika maisha , uzoefu wa maisha yangu ni kwamba maisha ni ya hovyo; hayana furaha muda wote hata upate vitu vyote ,umaskini ,magonjwa ,upweke ,shida na mihangaiko,kejeli ,ulemavu , utapeli ,mauaji , utapeli ,unyonyaji.

Yote hayo bado binadamu tunapambana kuzaa tena kwa kuwa na furaha kabisa kuzaa watoto...Je, huu ni ubinafsi au laah.


Binafsi Mtu akijiua naona kafanya jambo la maana sana ,utawezaje kuvumilia vitu vinavyokutesa huku ukipewa motives za kinafiki..Mifumo inayotaka watu wazaliane ni mifumo inayotaka kupata faida; serikali (kupata kodi na kuendeleza taifa) , wazazi(kupata watumwa kama wasaidizi wa kuwasumbua wakiwa wazee) , matajiri (kupata cheap labor na wateja wa bidhaa zao?

Je , mtoto unayemzaa ataweza kuvumilia yote hayo ? Na kwa nini kusiwe na chaguo la mtu kuzaliwa?
​
Nyeghe..!!
 
Nilipata watoto kipindi sijajitambua... Ungekuta ndio kipindi hiki hata iweje nisingekubali kaleta wapendwa wangu kwenye huu ulimwengu wenye kila aina ya hatari... Alafu hiki kitu sio kwamba watu hawajui sema ndio hivyo wanafarijiana upumbavu wakati ni kitu kipo wazi kabisa kwamba kukubali kuzaa au kuzalisha ni kama kujikuta gerezani alafu ufanye juu chini umlete mpendwa wako aje kuishi humohumo gerezani
😂😂😂Unasikia ''Nina watoto watatu bado wawili wafike 5 '' kama ni jambo lina ulazima fulani hivi
 
Ataweza vizuri tu.

Kuzaliana ni lazima iwe kizazi cha binadamu ukiendelee kuwepo hayo mengine yanatatulika vizuri sana.
Ni kwamba baadaye maisha yatakuwa magumu mara mbili ya sasa ; kuingia mifumo AI ,ongezeko la watu kuliko rasilimali ,kutoweka mifumo wa kifamilia (kuishi kwa ndoa).
 
Nini faida ya kizazi cha binadamu kuendelea kuwepo miaka yote hapa ulimwenguni?
Faida za kizazi cha binadamu kuendelea kuwepo ulimwenguni ni nyingi, na zinahusiana na maendeleo, ustawi wa maisha, na hatima ya sayari yetu. Baadhi ya faida hizo ni:


1. Kuendeleza Maarifa na Teknolojia​


Kizazi baada ya kizazi, binadamu wamekuwa wakigundua na kuendeleza teknolojia mpya, sayansi, na falsafa. Bila kizazi kipya, maendeleo haya yangesimama, na ulimwengu ungebaki katika hali duni.


2. Kuendeleza Ustaarabu na Utamaduni​


Binadamu hujenga na kurithisha tamaduni, sanaa, lugha, na historia kwa vizazi vijavyo. Ustaarabu unakua kupitia elimu, fasihi, muziki, na mila, ambazo haziwezi kudumu bila kizazi kipya.


3. Kudumisha Maisha Duniani​


Binadamu huchangia mazingira kwa njia tofauti, kama vile kutunza misitu, kuhifadhi wanyama, na kuendeleza kilimo endelevu. Bila binadamu, mfumo wa ikolojia unaweza kubadilika kwa njia isiyoeleweka.


4. Ugunduzi na Utafiti wa Maisha Nje ya Dunia​


Binadamu wanaendelea kuchunguza uwezekano wa maisha katika sayari nyingine. Ikiwa kizazi cha binadamu kitaendelea kuwepo, kuna nafasi kubwa ya kugundua makazi mapya nje ya dunia.


5. Uendelevu wa Familia na Jamii​


Familia na jamii zinategemea kizazi kipya kwa ajili ya kuendeleza mahusiano ya kijamii, kusaidiana, na kujenga mustakabali bora. Bila vizazi vipya, jamii zingeanguka na kupoteza mshikamano wake.


6. Kukabiliana na Changamoto Mpya​


Binadamu hukumbana na changamoto kama vile mabadiliko ya tabianchi, magonjwa, na migogoro ya kijamii. Kizazi kipya huleta mawazo mapya na suluhisho za kukabiliana na changamoto hizi.


Kwa kifupi, kizazi cha binadamu kuendelea kuwepo ni muhimu kwa maendeleo, uendelevu wa jamii, na mustakabali wa sayari na ulimwengu mzima.

(Chatgpt)
 
Una akili sana,una mawazo kama yangu...nawaangalia wanangu ..naishia kusema ngoja niendelee kupambana juu yao maana si takwa lao kuwepo duniani...

At least umenikumbusha Tena,ngoja nikafunge kizazi aisee
 
Faida za kizazi cha binadamu kuendelea kuwepo ulimwenguni ni nyingi, na zinahusiana na maendeleo, ustawi wa maisha, na hatima ya sayari yetu. Baadhi ya faida hizo ni:


1. Kuendeleza Maarifa na Teknolojia​


Kizazi baada ya kizazi, binadamu wamekuwa wakigundua na kuendeleza teknolojia mpya, sayansi, na falsafa. Bila kizazi kipya, maendeleo haya yangesimama, na ulimwengu ungebaki katika hali duni.


2. Kuendeleza Ustaarabu na Utamaduni​


Binadamu hujenga na kurithisha tamaduni, sanaa, lugha, na historia kwa vizazi vijavyo. Ustaarabu unakua kupitia elimu, fasihi, muziki, na mila, ambazo haziwezi kudumu bila kizazi kipya.


3. Kudumisha Maisha Duniani​


Binadamu huchangia mazingira kwa njia tofauti, kama vile kutunza misitu, kuhifadhi wanyama, na kuendeleza kilimo endelevu. Bila binadamu, mfumo wa ikolojia unaweza kubadilika kwa njia isiyoeleweka.


4. Ugunduzi na Utafiti wa Maisha Nje ya Dunia​


Binadamu wanaendelea kuchunguza uwezekano wa maisha katika sayari nyingine. Ikiwa kizazi cha binadamu kitaendelea kuwepo, kuna nafasi kubwa ya kugundua makazi mapya nje ya dunia.


5. Uendelevu wa Familia na Jamii​


Familia na jamii zinategemea kizazi kipya kwa ajili ya kuendeleza mahusiano ya kijamii, kusaidiana, na kujenga mustakabali bora. Bila vizazi vipya, jamii zingeanguka na kupoteza mshikamano wake.


6. Kukabiliana na Changamoto Mpya​


Binadamu hukumbana na changamoto kama vile mabadiliko ya tabianchi, magonjwa, na migogoro ya kijamii. Kizazi kipya huleta mawazo mapya na suluhisho za kukabiliana na changamoto hizi.


Kwa kifupi, kizazi cha binadamu kuendelea kuwepo ni muhimu kwa maendeleo, uendelevu wa jamii, na mustakabali wa sayari na ulimwengu mzima.

(Chatgpt)
Achana na mtizamo ya AI, wewe kama wewe kwa mtizamo wako binafsi zipi faida za binadamu kuendelea kuwepo ulimwenguni wakati wote?
 
Back
Top Bottom