OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Sawa kwani nani kawakataza huko CCM msimpinge? Mleteni kwenye uchaguzi atapambana na mgombea toka Chadema ambaye kapitishwa bila kupingwa.Wananchi wa Bukombe,
Tunaitumia serikali na CCM Salaàm za Mwaka Mpya wa 2024.
Lkn pia tunasema 2025 hapa Bukombe ndani ya CCM na ikiwezekana uchaguzi Mkuu iwapo atakuwa tayari kuendelea kuwa mbunge basi asipaswe kuwa na mpinzani. Kazi alizofanya ni nyingi sana lkn kubwa zaidi amewekeza kwa wananchi (Sisi).
Pamoja na kuwa uchaguzi ni jambo la kikatiba lkn si lzm kumsumbua kiongozi huyu - CCM Bukombe imeungana, madhehebu ya dini yameungana, taasisi za umma zimeungana" mambo yako safiiiii".
Tutasikika!
Yawezekana ninyi ni wafaidika wa rushwa alzokuwa akijitajirisha kwenye madini, na yale mapato haramu aliyokuwa akiyapata kupitia mtusi mwenzake Evarii kwa kupora leseni halali za madini za watu wengine, kama zile za marehemu Mengi.Wananchi wa Bukombe,
Tunaitumia serikali na CCM Salaàm za Mwaka Mpya wa 2024.
Lkn pia tunasema 2025 hapa Bukombe ndani ya CCM na ikiwezekana uchaguzi Mkuu iwapo atakuwa tayari kuendelea kuwa mbunge basi asipaswe kuwa na mpinzani. Kazi alizofanya ni nyingi sana lkn kubwa zaidi amewekeza kwa wananchi (Sisi).
Pamoja na kuwa uchaguzi ni jambo la kikatiba lkn si lzm kumsumbua kiongozi huyu - CCM Bukombe imeungana, madhehebu ya dini yameungana, taasisi za umma zimeungana" mambo yako safiiiii".
Tutasikika!
Bila kupingwa si umefutwa?Wananchi wa Bukombe,

Sukuma gang kaziniWananchi wa Bukombe,

Bado yupo malishoni
Hstuhitaji weziYawezekana ninyi ni wafaidika wa rushwa alzokuwa akijitajirisha kwenye madini, na yale mapato haramu aliyokuwa akiyapata kupitia mtusi mwenzake Evarii kwa kupora leseni halali za madini za watu wengine, kama zile za marehemu Mengi.
Haishangazi, kwa sababu hata mwizi ana watu wanaofaidika kutokana na mapato ya wizi. Anawafaa ninyi, lakini hawafai Watanzania wanaotaka nchi iongozwe na watu waadilifu.
Mkikubaliana mpige kura za ndiyo na hapana, hakuna cha ajabu, kwa sababu hakuna mwovu asiye na wafaidika katika wizi wake.
Sukuma gang mmechanganyikiwaWananchi wa Bukombe,
Tunaitumia serikali na CCM Salaàm za Mwaka Mpya wa 2024.
Lkn pia tunasema 2025 hapa Bukombe ndani ya CCM na ikiwezekana uchaguzi Mkuu iwapo atakuwa tayari kuendelea kuwa mbunge basi asipaswe kuwa na mpinzani. Kazi alizofanya ni nyingi sana lkn kubwa zaidi amewekeza kwa wananchi (Sisi).
Pamoja na kuwa uchaguzi ni jambo la kikatiba lkn si lzm kumsumbua kiongozi huyu - CCM Bukombe imeungana, madhehebu ya dini yameungana, taasisi za umma zimeungana" mambo yako safiiiii".
Tutasikika!
Sina nilichofaidika nachoYawezekana ninyi ni wafaidika wa rushwa alzokuwa akijitajirisha kwenye madini, na yale mapato haramu aliyokuwa akiyapata kupitia mtusi mwenzake Evarii kwa kupora leseni halali za madini za watu wengine, kama zile za marehemu Mengi.
Haishangazi, kwa sababu hata mwizi ana watu wanaofaidika kutokana na mapato ya wizi. Anawafaa ninyi, lakini hawafai Watanzania wanaotaka nchi iongozwe na watu waadilifu.
Mkikubaliana mpige kura za ndiyo na hapana, hakuna cha ajabu, kwa sababu hakuna mwovu asiye na wafaidika katika wizi wake.
Hivi ni Raia wa Tanzania,kafana fana na Raia wa nchi jirani.Wananchi wa Bukombe,
Tunaitumia serikali na CCM Salaàm za Mwaka Mpya wa 2024.
Lkn pia tunasema 2025 hapa Bukombe ndani ya CCM na ikiwezekana uchaguzi Mkuu iwapo atakuwa tayari kuendelea kuwa mbunge basi asipaswe kuwa na mpinzani. Kazi alizofanya ni nyingi sana lkn kubwa zaidi amewekeza kwa wananchi (Sisi).
Pamoja na kuwa uchaguzi ni jambo la kikatiba lkn si lzm kumsumbua kiongozi huyu - CCM Bukombe imeungana, madhehebu ya dini yameungana, taasisi za umma zimeungana" mambo yako safiiiii".
Tutasikika!
Ni mtanzania kwa njia za panya, ila ni mnyarwanda kwa asili na kuzaliwa.Hivi ni Raia wa Tanzania,kafana fana na Raia wa nchi jirani.
Pure Tanzanian!Hivi ni Raia wa Tanzania,kafana fana na Raia wa nchi jirani.