Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

Sheria mpya ya uchaguzi imefuta kitu kinachoitwa "KUPITA BILA KUPINGWA", ikitokea akawa mgombea pekee atapigiwa kura za ndio au hapana, ngoja nimuite PASKALI mayala aje akuletee ule uzi.
 
Wananchi wa Bukombe,
Tunaitumia serikali na CCM Salaàm za Mwaka Mpya wa 2024.

Lkn pia tunasema 2025 hapa Bukombe ndani ya CCM na ikiwezekana uchaguzi Mkuu iwapo atakuwa tayari kuendelea kuwa mbunge basi asipaswe kuwa na mpinzani. Kazi alizofanya ni nyingi sana lkn kubwa zaidi amewekeza kwa wananchi (Sisi).

Pamoja na kuwa uchaguzi ni jambo la kikatiba lkn si lzm kumsumbua kiongozi huyu - CCM Bukombe imeungana, madhehebu ya dini yameungana, taasisi za umma zimeungana" mambo yako safiiiii".

Tutasikika!
Sawa kwani nani kawakataza huko CCM msimpinge? Mleteni kwenye uchaguzi atapambana na mgombea toka Chadema ambaye kapitishwa bila kupingwa.
Wajinga sana mnawaza wizi tuu acheni sisi wapinzani tuchague tunayemtaka.
 
Wananchi wa Bukombe,
Tunaitumia serikali na CCM Salaàm za Mwaka Mpya wa 2024.

Lkn pia tunasema 2025 hapa Bukombe ndani ya CCM na ikiwezekana uchaguzi Mkuu iwapo atakuwa tayari kuendelea kuwa mbunge basi asipaswe kuwa na mpinzani. Kazi alizofanya ni nyingi sana lkn kubwa zaidi amewekeza kwa wananchi (Sisi).

Pamoja na kuwa uchaguzi ni jambo la kikatiba lkn si lzm kumsumbua kiongozi huyu - CCM Bukombe imeungana, madhehebu ya dini yameungana, taasisi za umma zimeungana" mambo yako safiiiii".

Tutasikika!
Yawezekana ninyi ni wafaidika wa rushwa alzokuwa akijitajirisha kwenye madini, na yale mapato haramu aliyokuwa akiyapata kupitia mtusi mwenzake Evarii kwa kupora leseni halali za madini za watu wengine, kama zile za marehemu Mengi.

Haishangazi, kwa sababu hata mwizi ana watu wanaofaidika kutokana na mapato ya wizi. Anawafaa ninyi, lakini hawafai Watanzania wanaotaka nchi iongozwe na watu waadilifu.

Mkikubaliana mpige kura za ndiyo na hapana, hakuna cha ajabu, kwa sababu hakuna mwovu asiye na wafaidika katika wizi wake.
 
Bila kupingwa si umefutwa?
 
Sukuma gang kazini
 
Hstuhitaji wezi
 
Sukuma gang mmechanganyikiwa
 
Sina nilichofaidika nacho
 
Wananchi wa Bukombe,
Tunaitumia serikali na CCM Salaàm za Mwaka Mpya wa 2024.

Lkn pia tunasema 2025 hapa Bukombe ndani ya CCM na ikiwezekana uchaguzi Mkuu iwapo atakuwa tayari kuendelea kuwa mbunge basi asipaswe kuwa na mpinzani. Kazi alizofanya ni nyingi sana lkn kubwa zaidi amewekeza kwa wananchi (Sisi).

Pamoja na kuwa uchaguzi ni jambo la kikatiba lkn si lzm kumsumbua kiongozi huyu - CCM Bukombe imeungana, madhehebu ya dini yameungana, taasisi za umma zimeungana" mambo yako safiiiii".

Tutasikika!
Hivi ni Raia wa Tanzania,kafana fana na Raia wa nchi jirani.
 
Threads za namna hii zitakuwa nyingi mwaka huu
Yaani hapo badooo
 
Back
Top Bottom