Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

Licha ya ushabiki wangu kwa Israel, ila hili la kuua kila kitu kunasababisha wanaua hadi mateka, hapana

Kuna wengine umewasahau vitani huku:

View attachment 2844140

Nyie kwenu ilianza hadi kwa unayemuabudu, tena nakuwekea kwenye maandiko kabisa
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245:


CQGBAI5W8AAi4mc.jpg
 
Yaani wanafyatua chochote kinachopumua, inaonekana jamaa hawana haja tena na hao mateka, wanaua tu chochote, dah! HAMAS popote walipo lazima imeshawaingia akilini hamna pakutokea ila kifo......kwamba hapa hata wakisema wako tayari kupokeza mateka hawatasklizwa.

Israeli hostages killed mistakenly in Gaza were holding white flag, official says​


Peter Beaumont
An initial IDF probe into the hostage killing incident suggests all three men were shirtless, with one carrying a makeshift white flag.

On seeing them, one Israeli soldier shouted “terrorists!” to the other forces, initiating fire at the men, according to reports.

While two hostages were hit immediately and fell to the ground, the third managed to escape into a nearby building where despite pleas in Hebrew, he was also shot and killed, a military official said.
Si unatetea wajomba zake mungu wako?


Kwisha kazi yao huko, wameanza kujiondowa Ghaza kimya kimya, wameomba poo.

Hamas, Hezbollah na Wayemeni wamesema watasimamisha mapigano kwa masharti yao tu.

Hiyo nakupa mpya kabisa ya sasa hivi:


View: https://youtu.be/BszcF1fNcn8?si=xmPsiTuu2WzbQ-G6
 
Tunakukumbushana tu lengo sio kuteketeza adui ambae ni hamas lengo ni kutokomeza kabisa hamas
Kama kuteketeza hamas hao israhell hawakuanza October 7 nawala hawatishia watakapoishia wataendelea nakuendelea nakuendelea ila suala la kuitokomeza ama kuifuta ambalo ndio lengo mama hilo sahauni kabisa
Kwasasa mupo ghaza sehem gani pale mazayuni?
Huwez kutokomeza Hamas bila kuwaua, ukitaka kujua IDF wapo maeneo Gani Gaza labda unijibu mara ya mwisho Hamas kurusha rocket Israel ilikuwa lini?
 

Huwez kutokomeza Hamas bila kuwaua, ukitaka kujua IDF wapo maeneo Gani Gaza labda unijibu mara ya mwisho Hamas kurusha rocket Israel ilikuwa lini?
Urushe rockets kwenda huku yakazi gani wakat adui kaja ghetto
Kwasasa wanafinyiwa humo humo ndani mpaka wakimbie
Ile pigo la October 7 ilikua mahsusi mazayuni yaje ghetto na kweli yamekuja angalia yanavyo finyangwa kama udongo
 
Ndio ukae ukijua mwabwana zenu HAMAS hawatapona, Israel wanapiga kila kitu, yaani hawana haja na mateka tena, wanaua hata vitoto, chochote kinachopumua, temaneni na Wayahudi.
Sasa wewe unalalama nini waache wapige tu kila wanachokiona uache kulia lia hakutakusaidia
 
Ndio ukae ukijua mwabwana zenu HAMAS hawatapona, Israel wanapiga kila kitu, yaani hawana haja na mateka tena, wanaua hata vitoto, chochote kinachopumua, temaneni na Wayahudi.

Wewe huna haja na mateka. Kumbe mwisraeli na hapa ni wa Kisii?

Screenshot_20231216-150900.jpg
 
Huwez kutokomeza Hamas bila kuwaua, ukitaka kujua IDF wapo maeneo Gani Gaza labda unijibu mara ya mwisho Hamas kurusha rocket Israel ilikuwa lini?
Hamas wanarusha maroketi nchini Israel karibia kila siku sema hayaleti madhara makubwa kwa sababu ya kuzuiwa na ulinzi wa anga, tena maroketi yanarushwa kutoka gaza kaskazini ambapo vikosi vya Israel vimejazana.
Na pia unacho takiwa kujua ni kuwa mpaka sasa hivi Israel inadhibiti%30 tu ya ukanda wa gaza.
 
Tangu mwanzo nilishawaambia mtemane na Myahudi, shobo zenu muendelee kuzifanya kwa Wakristo lakini mtemane kabisa na Myahudi, Mchina, na Mrusi, wale ni hatari tena makatili.
Mliua watoto wao mkategemea watulie, mumesababisha wanaua kila kitu chenu, mitoto yenu wanaipiga marisasi.
Nafurahi kusikia unamkubali mrusi japo kimya kimya [emoji1787]
 
Mambo ya kujifanya mchambuzi wa vita ,kuokoteza taarifa kweny blogs zako za vijijini ndio hayo.
Hao wenzio hawana huruma hata sisimi wanapelek na ulivyokuwa hanithi unasema wale watanzania wamechinjwa na Hamas.
 
Back
Top Bottom