Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

Yaan mdada ukishakua na presha ya kuolewa lazima utavuruga tu. Muambie atulie apige kazi mume atakuja tu vinginevyo ataangukia kwa kitu cha ajabu aje jutia maisha yake yote.

Sent using Jamii Forums mobile app


Mume anakuja kama upo sehemu sahihi.

Mume ni kama maji ili uyapate lazima uwe kisimani, bombani, kwenye mvua, ama mtoni.

Maji utapata ukiwa sehemu hizo ila hayo maji hayafanani ubora. Quality ya maji ya bombani ni tofauti na ya mtoni na kisimani.

Ila sababu una shida ya maji utaamua mwenyewe utachote ya mtoni ama usubiri ya bombani
 
Aache kuchagua mda mwingine hisia zitakuja mbele ya safari
 
28 ana ukubwa gani? Haaaaah nikikwambia ya Umri wa Dada yangu na yupo owky kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siyo lazima apate kila kitu duniani wala asikose raha kisa aolewi, mm nimeingia kwenye mahusiano seriously mara kadhaa lakin nimeishia kugombana tu.
Nikaja kugundua nipo kwenye kundi la watu tusiopaswa kuoa hapa Duniani yaan tunafit kuwa single.
 
Kweli kabisa, nilichoona kwa wanawake wengi hasa wa umri huo wa kuolewa wanaangalia sana mwanaume mwenye kipato fulani. Bahati mbaya sasa hivi mambo magumu vijana wenye vipato vya kueleweka ni wachache mno
Ni wengi ila ndo hivy tumecharuka kama chizi vile
 
Shida imeanza hapa. Uzuri na elimu ndio your selling point, likija suala la kuoa kwa mwanaume it more than that.

Chunguza zaidi tabia za dada ako, kuna kitu hukifahamu
Kabisa, uzuri na elimu hakijawahi kua kigezo cha kuoa kwa mwanaume ambae yupo serious anaetaka mwenza wa kuishi nae, bali HESHIMA na UTII.

Ukichunguza yawezekana huyo dada ni FEMINIST (mdau wa 50/50) ndio maana waoaji wa maana wanampitia kwa mbali. Otherwise atafute ka marioo aishi nako.
 
Mwambie wanaume hawaoi uzuri, Wala elimu, abadilikie tabia halafu apunguze kugawa mbususu, kingine asitamtafute mwanaume ambaye yeye anampenda Bali mwanaume ampende yeye, mwanamke huwa anajifunza kupenda ndio maana unaweza mtongoza mwanamke akakutukanaaaa halafu baadaye akakubali na mapenzi yakawa yamejaa pomoni. Cha msingi mwambie aache kiburi na dharau, asipende kujibishana na wanaume kisa elimu yake, kama ameajiliwa ajitahidi kuwaheshimu wote bila kujali nafasi zao hapo kazini
 
Sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atafutae hachoki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…