Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

Yaan kuna wanawake wanaringa hii dunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mada kama hizi hunifurahisha sana ebu imagine tu mtu unampa mambo anakubluetick na block juu[emoji23][emoji23][emoji23]ugomvi wangu na singo maza haotokaa uishe kamwe
 
Huyo aliyeku block ndiyo ulikuwa unamtongoza au?
 
Licha ya uzuri na elimu.....hivi unaweza kumjua kama dada yako ni mzuri au mbaya? Mzuri anakuwaje na mbaya anakuwaje (tukiacha elimu)? Unayemwona wewe ni mzuri, mtu mwingine anamwona mbaya (lakini simaanishi dadako), na unayemwona wewe ni mbaya, kwa mtu mwingine ni mzuri (this is how god made us). Kwahiyo tunaweza kusema uzuri au ubaya wa mtu (iwe sura, maumbile, nk), hiyo ni perception ya mtu mwenyewe (muoaji)
 
Naona watu wanadhihaki,

Sema ishu ya kuoa au kuolewa ni more spiritual,
Ingawa Tabia na maumbile vina play pati yake pia

Hujiulizi mtu anaoa barmaid,wadada wanaojiuza,na wakati wadada wazuri wapo.

Mtu anaolewa na jambazi na wakati vijana wazuri wapo.

Destiny,destiny destiny,is what guides us,
 
Katika maisha ya mwanamke yeyote lazima atakuja mwanaume mmoja ambaye atakuwa real kwake mwenye mapenzi ya dhati na nia ya kweli ya kujenga familia nae. Ubaya ni kuwa mara nyingi hii nafasi inakujaga mara moja kwa wanawake walio wengi. Wanawake wachache huiona na kutumia hiyo nafasi vizuri, nao ndio wale ambao huolewa na kuishia kuwa na familia zenye furaha na mafanikio sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atulie tu mi Dada yake nipo kwenye 30 na kitu ila huyu mwanaume niliyenae nishamchoka tayari badala ya kutamani kuolewa, natamani niwe single hili pepo la kukaa mwenyewe linaniandama kweli
Yawezekana wewe tayari una mtoto, yeye hata mtoto hana, akifikisha 35 itakua tabu zaidi, ni bora aingie kwenye ndoa yakimshida hatakua na stress kama sasa za kutaka kuolewa, dada angu si mwenye tabia mbaya, na muonekano anao, ni basi tu naona bahati haijamkalia sawa
 
Katika maisha ya mwanamke yeyote lazima atakuja mwanaume mmoja ambaye atakuwa real kwake mwenye mapenzi ya dhati na nia ya kweli ya kujenga familia nae. Ubaya ni kuwa mara nyingi hii nafasi inakujaga mara moja kwa wanawake walio wengi. Wanawake wachache huiona na kutumia hiyo nafasi vizuri, nao ndio wale ambao huolewa na kuishia kuwa na familia zenye furaha na mafanikio sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, kama mtu anaweza omba msamaha na dhambi ikasamehewa, hata hiyo bahati inaweza ombwa mara ya pili ikaja tena
 
Back
Top Bottom